Ndoto gani hutaisahau?

Ndoto gani hutaisahau?

mimi,niliota nimepata remote ya kuforward na kurewind maisha,nikawa naji-rewind nakua mtoto naonekana bright kweli,sasa nikataka nione future ikoje,nikaji-forward,nkajikuta nimeshazikwa na remote iko juu.sitasahau ndoto hiyo.

Hhaaa hhhaaa u made my day.
 
wajameni ndoto niliyoota miaka 15 iliyopita siwezi kuisahau tena,niliota napaa angani halafu natua chini kama helicopter halafu watu wengi sana wanakuja kuangalia tukio,halafu nikapaa tena na kuondoka kuacha watu midomo wazi wakishangaa,kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana ya hii ndoto

Maana yake siku moja utazimia kisha watu wakiwa wanakutegemea uamke utaamka na baada ya kuamka utazimia tena .
 
wajameni ndoto niliyoota miaka 15 iliyopita siwezi kuisahau tena,niliota napaa angani halafu natua chini kama helicopter halafu watu wengi sana wanakuja kuangalia tukio,halafu nikapaa tena na kuondoka kuacha watu midomo wazi wakishangaa,kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana ya hii ndoto
Lazima ulikuwa kwa bibi sumbawanga
 
mimi ndoto ambayo sitaisahau na nimeota mara nyingi nikiwa mdogo ni ile nacheza mpira na wenzangu halafu mkojo unaniuma so naomba nikakojoe najiona kabisa nakojoa porini nikistuka nishajikojolea kitandani.
 
Mimi niliota wana JF wote tumealikwa kwenye hafla kubwa ya kumpongeza Dhaifu kwa kuchaguliwa tena kipindi cha tatu. Basi tulikula, tulikunywa yale maji yetu, kiasi kwamba wote tulizima injini. Baada ya ss kuzima, dhaifu akafuta threads zote kwenye JF.

Basi nikakurupuka kutoka usingizini nikakuta ninaandika thread hii.
 
Back
Top Bottom