Fredy Saganda alieimba Rafael! Big up kwa kina mama manka na wachagga wote!
Nakumbuka mwalimu wangu mkuu shule ya msingi enzi hizo ndio alikuwa anapenda sana hilo neno ndorobo kwa Wale trouble head na back bencher!
Sent from JamiiForums
Asante mkuu nilikuwa sijui!hivi bado anaimba?