namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 611
kifutu raha sana aisee
kifutu ni yule mfupi halafu kibonge, aisee wanatisha sana asikuambie mtu mie kama huko hivyo sikutaki
kifutu raha sana aisee
mimi ndiyo limenisaidia kupatanisha ugomvi na mke wangu. Tulikuwa tumenuniana hasa na gafla tukaskia hilo tangazo tuliangua kicheko balaa mpaka wife akanilalia
mzima za kwakoMzima miss chagga?
najua hata mimi nipo hivyokifutu ni yule mfupi halafu kibonge, aisee wanatisha sana asikuambie mtu mie kama huko hivyo sikutaki
rudi basi tena mbona ulikimbia ?Salama tu!
Nimewamiss kweli kuleee pasheni!
haya TangoporiNtarudi mama muda sio mrefu!
C.c 'Valentina'
Ntarudi mama muda sio mrefu!
C.c 'Valentina'
Usiogope bibie naja!
Hivi ndorobo ndo wadudu gani tena wale!
Ndorobo ni kabila, hii tabia ya kudhalilisha makabila ya watu wengine ni dharau! Mbaya sana hii