Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
mie nimependa jamaa anaposema panga....du.
mie nimependa jamaa anaposema panga....du.
mimi ndiyo limenisaidia kupatanisha ugomvi na mke wangu. Tulikuwa tumenuniana hasa na gafla tukaskia hilo tangazo tuliangua kicheko balaa mpaka wife akanilalia
Haaaaaaa jaman wife akakulalia na ugomvi ukaisha
Ndorobo ni mdudu anawasumbua sana ng'ombe