Ndoa zina matukio jamani

Ndoa zina matukio jamani

Na mwisho wa siku yakikufika Yule mbabe anashangaa huyu si zuzu langu jamani haliwezi ishi bila Mimi wa logic 😂😂
Hayo ni matokeo Sasa inategemea lakin imagine mke kapika chakula watoto wamekula wamelala saa mbili usiku anakupigia simu napitia Kwa rafikiyangu maramoja Lisaa anarud saa nne usiku hiv uispokuwa chiz utaweza 😂😂😂
 
Ndugu usifanye hilo kosa la kuingia na akili namaanisha unaoana na mtu hamfanani chochote hawez kuwa unavotaka Sasa ukitaka utimamu ndo utaharibu inabid nawe ulegeze fuvu
Ni kweli huwezi kumpata aliyekamilika kwa vile unavyotaka
Ila kuzingatia awe na asilimia kubwa vile unavyotaka, hilo ndilo linalotakiwa.

Na vile vilivyopungua utamvumilia, lakini viwe ni vile visivyoathiri afya ya ndoa yenu.
Vinginevyo hakuna ndoa hapo.
 
Hayo ni matokeo Sasa inategemea lakin imagine mke kapika chakula watoto wamekula wamelala saa mbili usiku anakupigia simu napitia Kwa rafikiyangu maramoja Lisaa anarud saa nne usiku hiv uispokuwa chiz utaweza 😂😂😂
Lazma ujione wewe huthaminiki hata ujitahidi vipo, mwisho unaanza kupile up na mengineyo madogo yajayo
 
Bora Mimi nimepata changudoa limeshakula maisha linasubir kifo tu,, yaan linavyojua kupetipeti unaweza sema hakuna kifo. La muhimu ni kwamba hakuna starehe ambayo hajafanya hivyo amejitoa sadaka Kwa mwamba na ametuliaaaa mnooooo aseeeeeee. Swala la ndoa ni msiba wa Dunia nzima hasa ukizingatia haki za ndoa zinamlinda sana mwanamke!
 
muongo, wakati nalala kama panga lililotupwa
mqdefault.jpg

Mhh Mhhh mhhhh hii chai yamotu.
 
Ndoa inampa mwanamke kiburi sana, yaani mnaweza kuwa kwenye mahusiano ya bila ndoa akawa very submissive heshima kama zote, lkn ukimuoa tu anaanza kubadilika. Ndo maana unaona watu wanaishi muda mrefu sana kwenye dating lkn wakiingia kwenye ndoa mambo huwa magumu.
Ninachoweza kusema kwa sasa ni KATAA NDOA
 
Kuishi tu alone kuna changamoto nyingi, yaani alone pale ghetto kwako kuna changamoto kibao, kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
...iwe ndoa au single, bado maisha yana changamoto nyingi sana.
Hakuna sehemu nafutahia kuwepo km geto naweza nisitoke hata wiki maana nakua nafanya mambo mengi ya maendeleo yangu kuliko sehemu yyt
 
Back
Top Bottom