Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
Wewe ni Kidawa tu acha kijipapatua hapa ... Ukuni unaupenda lakini unaogopa kupigwa ban?Unataka tupigwe ban wakutombw(er) WEWE.
Mi Niko TAYARI Malay(er) wewe..
#YNWA
Wewe ni Kidawa tu acha kijipapatua hapa ... Ukuni unaupenda lakini unaogopa kupigwa ban?Unataka tupigwe ban wakutombw(er) WEWE.
Mi Niko TAYARI Malay(er) wewe..
#YNWA
Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..Vitunguu ukimaanisha nini?
Mnaoishi single mpo na upweke mwingi sana, sema huwa hamtaki kuwa wazi.
Hata hivyo huyo jamaa yako anapitia changamoto ya kawaida kwenye maisha, sema huenda ameingia kwa ndoa kabla hajawa tayari, pamoja na changamoto zote za ndoa, hakuna kitu kitamu kama ndoa.
Wao wameamua kuweka shida zao hadharani, singles wanakufa na tai shingoni. Again, a life alone is a lonely life...
Ndio unisaidie kushangaa. Huko ndiko kunakoongoza kwa wapweke pia.Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..
Kila mtu anavutia upande wake mkuu, ndio maana ya argument mkuu. Mimi nasimama na ndoa, pamoja na mapungufu mengi yaliyopo katika ndoa, hakuna kitu kizuri kama ndoa.Unataka kila mtu aangalie hili swala kwa mtazamo wako. Sio kila mtu anakuwa mpweke ghetto. Ukiwa mwenyewe unaweza kuamua nini kiku entertain, iwe TV, usingizi, kuchat hata kumuita mpenzi aje muwe wote baadae aondoke. Ila ukiishi na kiumbe kingine huwezi kuamua nini kikupe furaha, ukiangalia TV anabadili chanel, ukinunua tv nyingine ukaweka chumbani gharama na lawama, ukiamua ulale upumzike hata masaa mawili kila mara anafungua mlango anapitapita tu Ili mradi tu. Ukiwa mkimya tatizo,ukiongea ongea ni tatizo. Ndo maana watu wengine tunathamini sana kuishi peke yetu, hatutaki kelele na kupangiana maisha. Na wewe usiyependa kuishi mwenyewe upo sahihi, ila usilazimishe kila mtu afikirie kama wewe. Mlioamua kuishi na wanawake ishi nao, na tulioamua kuishi wenyewe mtuache. Tusipangiane namna ya kuishi. Kila mtu ashinde mechi zake.
Unaenda nje kufanyaje auntie na hili jua 🤣Kama wiki ni kweli shida ila Kwa siku mojamoja na mm muhanga movement za nje zinahesabika
Naamini hivyo, naamini maisha ya kuishi peke yako yanazaa upweke, hakuna raha ya kulala na kuamka peke yako, sitaki kulazimisha kuaminisha watu hivyo, nasimamia ninachoamini mkuu, tofautisha.Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..
Vitunguu means most of the times mtu anakutoa machozi, anakukasirisha.. tabia za kitunguu ukikikata.
Au ukute anafurahia kutokuwepo kwake nyumbani na kutamani asirudi haraka.Mfano ERoni
Ukute hapo hayupo nyumbani… mkewe kabaki na upweke 🤣🤣
Ndoa ambazo hazina vitunguu hao labda ndio hawana upweke. Wkend wanatoka na watoto, ama wanakuwa busy na usafi nk
Kweli kabisa Huwa nashinda ndani nacheck movie napika nakula nachat wee nikichoka napakua Tena chakula nakula 😂😂😂awe u single raha sanaUnaenda nje kufanyaje auntie na hili jua 🤣
Kaa ndani
Check movie
Piga wine sijui maji
Akili ikichoka kuangalia movie, nenda kwa Amina mkapate dinner.
Kama boyfriend ni wa long distance, kama yuko hapo hapo mfate mkacheze karata.
Eti single tuko lonely?? Nautafuta ulonely siuoni mie!?
Kuna siku kweli unachoka kukaa ndani.. nishawahi panda bus hadi Moshi, nikafika nikala nikarudi Arusha 🤣🤣
Una uhakika gani kama kwenye ndoa kunazalisha upweke? Nineishi single so naweza kuongelea maisha ya usingo. Ups na downs za ndoa hazimaanishi kuwa basi wanandoa wanaishi ugumu all the time. Ila knowing unalala na kuamka kama wewe, huna mtu wa ubavu wa kushare issues bunafsi, huwezi kupanga na kupangua na mtu wako, hupati papa kila ukiitaka, yani hadi appointment 🤣🤣 huo ndio upweke kwa tafsiri yanguNdio unisaidie kushangaa. Huko ndiko kunakoongoza kwa wapweke pia.
TutaolewaSasa unajifungia ndani week nzima alone upo sawa kweli?
Hata hivyo kurudi home jioni na kukuta familia inakusubiri ni jambo jema kuliko yote.
Kataa upweke mkuu!
Kabisa wiki nzima kazini j mo's anatak akamchungulie Mchepuko jumapili kanisani 😂😂😂Au ukute anafurahia kutokuwepo kwake nyumbani na kutamani asirudi haraka.
Walio single ndani ya ndoa ni wengi sana na sonona yao ni next level.
Sipo nyumbani mda huu, lakini pia kuwa home hakunifanyi niwe naongea na huba wangu mda wote, kuna ma wa kuongea, kucheka na kuchapana, kuna mda wa kuangalia kina Depal wanasemaje🤣🤣🤣Mfano ERoni
Ukute hapo hayupo nyumbani… mkewe kabaki na upweke 🤣🤣
Ndoa ambazo hazina vitunguu hao labda ndio hawana upweke. Wkend wanatoka na watoto, ama wanakuwa busy na usafi nk
Inaonyesha kuishi kwako single kulikupa experience mbaya 😂😂Una uhakika gani kama kwenye ndoa kunazalisha upweke? Nineishi single so naweza kuongelea maisha ya usingo. Ups na downs za ndoa hazimaanishi kuwa basi wanandoa wanaishi ugumu all the time. Ila knowing unalala na kuamka kama wewe, huna mtu wa ubavu wa kushare issues bunafsi, huwezi kupanga na kupangua na mtu wako, hupati papa kila ukiitaka, yani hadi appointment 🤣🤣 huo ndio upweke kwa tafsiri yangu
Sifuti kauli, 🤣🤣singles wengi wanakaa nalo rohoni, some girls are crying kwenye vitanda vyao daily, wanataka kupapaswa usiku....waaapi.Tutaolewa
Hatujakataa
Ila kuishi single hakuna upweke aisee
Tufutie kauli 🤣🤣
Huu ni ukweli kabisa 🤣Au ukute anafurahia kutokuwepo kwake nyumbani na kutamani asirudi haraka.
Walio single ndani ya ndoa ni wengi sana na sonona yao ni next level.