Ndoa zina matukio jamani

Komenti tulivu sana.

Unajua hili suala la ndoa watu tunalikompliketisha sana.

Ni kweli ndoa za siku hizi zimekuwa ni delicate sana, na zina misukosuko mingi.
Lakini hii haina maana ndoa ni jambo lisilofaa.
Naamini ndoa nzuri zipo pia.....tatizo siku zote mabaya ndo hua yanavuma kuliko mazurii...ndoa nzuri hazivumi ila mbaya ndo zinavuma
 
Maisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Ukiwa unafanya sana ibada na Mtu uko busy kutimiza malengo yako yani upweke utausikia tuuu maana akili Iko busy unawaza nifanye nn nifanyajefanyaje Yan unawaza maendeleo tu upweke hutaskia
 
Maisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Au uwe huna ela alafu Kuna mipango unataka uifanye huo upweke unatokea wapi....wanasemaga mapenzi yanauma nakataaa...mtu ukikosa ela maumivu yake mapenzi hayaingii ndanii
 
Ukiwa huna ela upweke huusikii
 
Unajua innovation zote duniania almost zimeanzia geto or garage ambako mtu anafanya different testing and ideas sio kukaa geto unaangalia juakali utakua mwehu,great thinkers watanielewa.
I support you...kama wewe sio introvert hawez kuelewa....great thinkers wote ni ma introvert na sifa Mojawapo kuu ya introvert ni alone time
 
Tukikupa mtihani kuanzia January hadi December ule ugali na dagaa utaweza?

Muhimu tuzidi kuombeana heri na kuchukuliana, hakuna aliye Mkamilifu
Kiukweli tu unachoshaa jamani ugali na dagaa januari to DecemberπŸ˜„πŸ˜„Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaa yaan basi tuu...halafu binadamu tumeumbwaa kuchoka na kukinai...vinachoshaaaa
 
Sure wenye ndoa nzuri wapo...ni sawa na wale watu wanawaambia watu siku hizi hakuna Ajira ukisoma course hii Ajira ngumu kupata unakuta yeye Yuko mtaani mwaka wa 6 Hana kazi unasoma zako unamaliza chuo ndani ya miaka miwili unapata kazii...inshory maisha hayafanani kama wewe unateseka ndoani mwingine anaenjoy.....inshort life is how you make it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…