Ndoa zina matukio jamani

Ndoa zina matukio jamani

Hao wote ni wake zako?

Hapa tunamzungumzia mke au mwanamke yoyote yule unayemuokota huko barabarani?
mi siwez oa aise,

Yaani muje mjazane ukumbini mle minyama na kufakamia mibia halafu mnashangilia mimi nikibeba bomu la atomic na kwenda nalo nyumbani ili likanilipukie vizur right?

ndicho unachotaka sio?
sioi ng'ooo mpaka muache izo tabia za mazoea.
 
Kumbe unaongelea kitu ambacho huna experience nacho🙄.
Usioe.
 
Kwa kauli hii it means hujaona kabisa mwanamke wa kukufaa?wote wabaya?
harufu ni kali sana aise,
naendelea kuchek but sijui na sina hakika kama ntafanikiwa .

ikishindikana bas itabid niinstall Irion dome ili kudhibiti hiyo hali na kuintercept madhara ya mlipuko wa mabomu ya atomic kwenye ndoa.
 
Yote haya husababishwa na MWANAMKE/WANAWAKE... tulieni nyie kenge!

Hakutakuwa na matatizo kwenye ndoa duniani.
Ndoa moja
Siku ya harusi ukumbuni kuna wale wasimamizi pembeni ya bi harausi wale wa kike..bwan harusi kmuomba namba.hii haitoshi katoroka honeymoon kumfata huyu binti na ndo ukawa mwanzo wa ndoa ilojaa vilio.
Hapo shida ni nani?
 
Ni kweli shida ni bwana harusi ambaye bado hajajitambua na hajielewi. We unamuona yuko sawa na timamu kiakili huyo?! Huoni kama binti kaolewa na Zwazwa?! 😀😀😀

Chagueni kwa makini, sio kila mwanaume ni chovyachovya... wachaneni na hawa vijana wa mjini wafuga ndevu na wachora tattoo... majority hawajielewi!
 
Ni kweli shida ni bwana harusi ambaye bado hajajitambua na hajielewi. We unamuona yuko sawa na timamu kiakili huyo?! Huoni kama binti kaolewa na Zwazwa?!

Chagueni kwa makini, sio kila mwanaume ni chovyachovya... wachaneni na hawa vijana wa mjini wafuga ndevu na wachora tattoo... majority hawajielewi!
Naona umegeuka sasa baada ya kusema matatizo chanzo kikuu ni wanawake..ukatuita kenge.
 
Back
Top Bottom