Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,163
- 18,852
Mi mwenyewe hapa Nina machale ya kuoa maana sijui matukio nitakayokutana nayo huko ndoani.
Tuzidi kuombeana wakuu.
Tuzidi kuombeana wakuu.
Tena wao wameamua sasa ni kufata mzigo huko, yaani yupo tayari kuisafiria kwa Kidia One🤣🤣🤣 mara akifikia tu simba wasivyo na adabu wanaingia uwanjani🤣 ndio ile inabidi sasa watu wafanye "the abomination"...Naona kina dada nao siku hizi wapo mstari wa mbele kuikataa!
Nimecheka sana🤣🤣yaani kablaa hajaolewa sijui alikua ana weka nn ilikua inanukia marashi ya pwani saivi inanukia konyagi dah
Usipende kunukuu vitu usivyoelewa wewe. Ukishindwa kukaa kimya bora utembeze hilo kalio pichu ifurahi.Unahitaji kutomb(er) sio?
#YNWA
Kwamba uliemuoa ananuka?Mazoea yana tabu sana,
Fanyeni usafi kama kabla ya ndoa Mbona mlikua Smart sana no smell sasa ivi ni nini imetokea?
Wakati unapofikiria upande mzuri wa ndoa..je nyakati za changamoto umejipanga kuzikabili vipi?Sasa natokaje na wife kwa maswala ya kazi mkuu, yeye yupo home nikienda nakuta chakula safi kaniandalia, naamua nianzie wapi na weekend hii. Haya single na upweke wake anaona bora ale chips na pepsi yake siku iende, single anaona bora aende beach akakae peke yake huko kupunguza stress, guys ndoa pamoja na mapungufu yake yote ni tam, tena tamuuu
Huu ni ushairi na ushauri kwa wakati mmoja.
Hili linaitwa sikitiko la mahaba




Changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu mkuu, uwe single au married lazima ukubaliane na changamoto. Upo single? Umejiandaaje pindi ukikumbana na Changamoto?Wakati unapofikiria upande mzuri wa ndoa..je nyakati za changamoto umejipanga kuzikabili vipi?
Labda masharti ya utajiri...ila hivihivi tu uingie kwa ndugu ama baba kwakweli naona ngumuSiyo kuwadi tu, dunia ya leo, wengi sana huanzia nyumbani na kaka na baba zao.
Nimeshakumbana na kesi hizo.
watoa harufu bana ni wakoleza lip shines ambao hawaswaki, wabandika kucha na kope za bandia ambao hawawezi jisafisha vizur mbele na nyuma, wavaa mawigi ambao ni wanuka nywele na maskioni, na wale wenye mazoea nakujiapiza kwamba ntaosha baadae, ntajisafisha baadae matokeo yake hadi anapitiwa usingiz na inakua ndio imetoka ivo.....Achane hizo kwani una wake wangapi wewe? Anayenuka ni huyo wa kwako...
siwezi oa,Kwamba uliemuoa ananuka?
Kama mtu mnaelewana na mpo compatibleMtu unajisifu vipi kulala mwenyewe? Yaani kataa ndoa siwaelewi aisee!
Sasa utaoana na stranger mkuu? Tafuta mtu mnayewezana kwa kila jambo. Ila kuishi mwenyewe ni janga, upweke...usipende maisha ya upweke mkuu.Kama mtu mnaelewana na mpo compatible
Hao wote ni wake zako?watoa harufu bana ni wakoleza lip shines ambao hawaswaki, wabandika kucha na kope za bandia ambao hawawezi jisafisha vizur mbele na nyuma, wavaa mawigi ambao ni wanuka nywele na maskioni, na wale wenye mazoea nakujiapiza kwamba ntaosha baadae, ntajisafisha baadae matokeo yake hadi anapitiwa usingiz na inakua ndio imetoka ivo.....
Ukioa leo oct ukamfumania dec utaendelea nae?utachukua maamuzi gani?Sasa utaoana na stranger mkuu? Tafuta mtu mnayewezana kwa kila jambo. Ila kuishi mwenyewe ni janga, upweke...usipende maisha ya upweke mkuu.
Nimwamimi vipi yesu wakati hata yeye alikuwa hajaoa.
Mtu ambaye hajaoa atanipa vipi ushauri mimi niliyeoa?
Yesu aliona ndoa ni kisanga akaamua kula buyu


Kwa kauli hii it means hujaona kabisa mwanamke wa kukufaa?wote wabaya?siwezi oa,
siwez beba bomu likanilipukie nyumbani kwangu,
hiyo kitu siwezi fanya hata
Mwanamke mzinzi anaachwa, anapewa talaka, hafai kuwa mke wala mama wa watoto. Its simple mbona.Ukioa leo oct ukamfumania dec utaendelea nae?utachukua maamuzi gani?
Kwa hiyo kura yako inaenda team ndoa?Haswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!