macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,305
- 60,618
Hunijui, sikujui na wala hujui niko wapi na nafanya nini! Hudhani unaweza kuwa mjinga anayeongoza kwa dunaiani kwa muda uliokuwa unafikiria hivi kuhusu mimi? Angalia siku niliyojiunga JF halafu ujumlishe na kutoa.We maskini humfikii Manara kwa lolote. Pia jamaa anakojolea na amekojolea pazuri hususani pale kwa Rushayna. Mengine ni matatizo na changamoto zako binafsi.
Amka hapo kwa sister ako katafute hata kazi ya kuokota makopo kwani umri unakuenda na huna la maana ulilolofanya kama serikali ya CCM🤣😅😂😄😁😆