KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,516
- 89,013
Sawa njoo uchukue mamy love..Milioni
Sawa njoo uchukue mamy love..Milioni
Sitaki kaa mbali hii chombo yangu!Subiri nikulipie wewe
Hapo najua mpaka kuachana nishajenga ghorofa kwa kila tendo milioni😁😁😋😋😋😋
Hhahah,.Sawa njoo uchukue mamy love..
Lee mshana ni mchawi usimsikilizeHhahah,.
Mshana usiwe mbishi, tafadhali rudisha ulipoitoa hii madaHapana sio hiki
Ya manara yapo sana mkuu,SEMA ni vile haturipoti kwenye social media!Mke anamuuzia mume itakua sio majini kweli hayo?
it's refundable just decideNon refundable
Mh!Sirogi tena wewe
Mkituma wote haina shida si ntachagua tu ya nani ina makato yakutolea makubwa ndio naenda hukohuko😃😃Asipotuma niambie nifanye ze needful😀
Watu wanakula hadi hela za majini sembuse za mchawi,. Tena mmoja😃😂😂Lee mshana ni mchawi usimsikilize
isingekuwa m-bishi Bugatti ningemshauri aende atafute albinism wezake maofisi ya umma mana wako kibaoNdoa za mchongoko
hujakosea na hili inaweza kuwa game yake ...... AlibetiMichongo ya stiv nyelele hiyo😀
Ujue nakupenda kwa dhati maneno yako yananiumiza!Watu wanakula hadi hela za majini sembuse za mchawi,. Tena mmoja😃😂😂