KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,517
- 89,014
Ohoo!.. kumbeThere is always next time.. Remember that😎
Ohoo!.. kumbeThere is always next time.. Remember that😎
Mkuu haya ndiyo madhara ya kuoa mtu ambaye hakupendi. Unajua Manara ni mshamba mmoja wa hali ya juu sijui hata anawezaje kuwachota watanzania kiakili. Kuna ile clip moja alienda USA akachukuwa escote, akajirekodi akidhani watu wataona kama ameopoa demu mkali kweli kweli. Na mbaya zaidi yule escote ni kama alikuwa anamnyanyapaa hivi... ila anajikaza tu kwa sababu ya fedha. Naomba nieleweke kuwa situmii ulemavu wake kumsimanga ila tu jamaa ana ushamba wa kuopoa mademu ambao hawao level yake.Usitafute kesi ya uhaini tafuta suluhu.. We are all men
Inaumiza sana.... mapenzi tuachane nayo mkuu....kuumia sababu ya mtu asiyejua nini anataka ni kujidharaulisha sana.Just coolMahangaiko na kuhangaika.. Na harakati za kila siku duniania.. Wanaopenda hawapendwi.. Wasiopenda wanapendwa😭😭😭
Kumbe ilikuwa biashara......Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"
Manara..
Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
Sijambo kiongozi wangu...hebu nitafutie Subaru moja Kali nije kuchukua huko mjini!Za masiku mkuu wangu.. Wrong time no see u.. Natumai hujambo
Kumbe ilikuwa biashara......
Kwa bei gani boss...show room!A cha na na subaru njoo nikupe Mazda diesel uta enjoy
We maskini humfikii Manara kwa lolote. Pia jamaa anakojolea na amekojolea pazuri hususani pale kwa Rushayna. Mengine ni matatizo na changamoto zako binafsi.Mkuu haya ndiyo madhara ya kuoa mtu ambaye hakupendi. Unajua Manara ni mshamba mmoja wa hali ya juu sijui hata anawezaje kuwachota watanzania kiakili. Kuna ile clip moja alienda USA akachukuwa escote, akajirekodi akidhani watu wataona kama ameopoa demu mkali kweli kweli. Na mbaya zaidi yule escote ni kama alikuwa anamnyanyapaa hivi... ila anajikaza tu kwa sababu ya fedha. Naomba nieleweke kuwa situmii ulemavu wake kumsimanga ila tu jamaa ana ushamba wa kuopoa mademu ambao hawao level yake.
Itakusaidia nini ukijua lini wameachana? 😅😅😅Lini tena wameachana? Wengine tupo nyuma ya wakati Sana hatuna taarifa
Ikiwa alikuwa anakubali basi alipenda vinginevyo angeoa wanaojitambua.Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"
Manara..
Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040