Ndoa za watu maarufu zina mengi

Ndoa za watu maarufu zina mengi

isingekuwa m-bishi Bugatti ningemshauri aende atafute albinism wezake maofisi ya umma mana wako kibao

waendelee uzao wao....haikwepeki
Bugati tatizo lake ni kamdomo , uswahili na drama nyingi kwenye ndoa . Hata akipata hao albinism wenzie hawez kuishi nao , wataachana tu.

Yule ana act km ni kijana wa 20 na wakat ni mzee /babu kabisa.
 
Kwani ina mgodi hiyo nanihii?🤣
Inarusha
Screenshot_20250409-145118_Chrome.jpg
 
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"

Manara..

Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
Mapenzi hisia sio kujiamulia. Unajua Kama una uwezo mzuri wa kumfikisha kumkojoza. Ataileta tuu. Mzee mmoja askari mstaafu wa JWTZ aliwai kuniambia MASIKIO YA MWANAMKE YAPOGO UKENI ""MASIKIO YA MWANAMKE YAPOGO KWENYE UCHI WAKE""

so pia wanawake walio tembea na wanaume wengi wengi hisia zao zinakuaga complicated.
 
Manara bado hajapata mwanamke anaempenda kwa dhati hao wote anaokuwa nao wapo kimaslahi ipo hivo kwa wanawake asipompenda mwanaume na akawa nae kwa sababu fulani masharti huwa kibao
 
Ya manara yapo sana mkuu,SEMA ni vile haturipoti kwenye social media!

Kuna watu wananyimwa kisa hawajapeleka watoto shule za kulipia private eti hawataki kayumba!

Wengine Hela ya gauni hajatoa,au hajatuma Hela kwao,mara Hela ya mchezo!!

Tunanunua sana mkuu!ninmwanamke Gani anataka mwanamme asiekua na hela!!?nani anamtaka broke Ili waanze kuzitafuta pamoja!!?wote wanataka uhakika wa Hela ndio watoe!!

Bora machangudoa wapo honest kabisa wanauza real kuliko hai tunaoishi nao wakiuza Kila leo!
All women are prostitutes the only difference is that married women work in private sector while single women work in public sector.
 
Back
Top Bottom