Kwa misifa yule hamalizi hata mwezi utasikia anaoa tenaManara asioe tena atajitaftia matatizo zaidi na alivyo na kamdomo.
So round 3 at per ni 1,200,000😭😂Kama alikua analipia ina maana akiridhia akalipa hadi leo ni makubaliano yao na hatakiwi kulalamika.
Ngoja Zai aje atuambie kuhusu makubaliano ya bei ya tendo🤣🤣
Zai ni mjasiria kwa kweli!!!! 400K kwa tendo si haba
🤣🤣🤭Kwani ina mgodi hiyo nanihii?🤣
Ila manara ana mbwembwe sana, washamuona fursa.Kwa misifa yule hamalizi hata mwezi utasikia anaoa tena
Hilo pozi tu ni la malaya aliyekubuhu.Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"
Manara..
Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
Maslayqeen wa mchongo ni wasumbufu sanaHahahaha maana haichovywi bure🤣
Yap yapWatu wa Dar wana vituko. Hivyo, ya watu wa Dar tuwaachie watu wa Dar
🤣🤣🤣Acha uzururaji 🤣🤣🤣 Kuna siku utazama mazima na hakuna wa kukuokoa 🥴Halafu 99% ni break P🏃🏿🏃🏿🏃🏿