Ndoa za watu maarufu zina mengi

Ndoa za watu maarufu zina mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,435
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"

Manara..

Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyo
FB_IMG_1744367353751.jpg
 
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"

Manara..

Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
Hela inatafutwa kwa njia ngumu sana, kwenda kunyonya domo la huyo sope, maana pombe, sigara, bangi, shisha, mirungi, na ugoro yataka moyo wa ujasiri kweli kweli.
 
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"

Manara..

Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
Yale yale, anaoa for public attention, Dula makabila was right after all.
What sad is circle will tepeat itself. Manara arekebishe msimamonwake or he is heading to total failure
 
Kama alikua analipia ina maana akiridhia akalipa hadi leo ni makubaliano yao na hatakiwi kulalamika.

Ngoja Zai aje atuambie kuhusu makubaliano ya bei ya tendo🤣🤣

Zai ni mjasiria kwa kweli!!!! 400K kwa tendo si haba
 
Kume_ntain umaarufu sio kazi ndogo.. Bahati mbaya Manara ameupata akielekea uzeeni na inambidi kufanya Mambo yasiyoendana nae ili aongelewe..

Hata hivyo wacha wafu wazikane
Imagine hadi umri huu alikuwa bado kapuku,hapa mbususu alikuwa anazila kwa macho tu.
 

Attachments

  • IMG-20240808-WA0005.jpg
    IMG-20240808-WA0005.jpg
    35.7 KB · Views: 24
Back
Top Bottom