Ndoa yangu ipo mashakani

Ndoa yangu ipo mashakani

Kitu kimoja ambacho hajakijua. Kitu cha kwanza muhimu sana katika ndoa ni kumemegedana. Kama chakula hata magengeni kipo. Mi wife akijaribu kuninyima hiyo makitu ndo kanipa tiketi ya kumtafutia msaidizi, na kwa hilo naamini Mungu hanihesabii dhambi.

mwambien huyu mwenzenu aache kuseek empathy kwa mkewe bali atake mandatory
 
Hahahahahahaha hana bwana si ndio maana hataki. Yaani wewe mtundu sana

aje atujibu hapa............
kwa mwanamke mwenye nyege kabisaa huwez kulala na mwanaume mwaka mzima kama kaka na dada..............
hapa pana atatizo zaid ya tunavyodhani............huyu kaka kakosa sifa moja ya kiume
 
aje atujibu hapa............
kwa mwanamke mwenye nyege kabisaa huwez kulala na mwanaume mwaka mzima kama kaka na dada..............
hapa pana atatizo zaid ya tunavyodhani............huyu kaka kakosa sifa moja ya kiume
Hahahahahahahaha duh job true true. Muda mwingine mwanaume inampasa asimame kiume kweli
 
tabia hizi hua zipo kwa wanawake japo haiwi kila siku na haichukui muda mrefu. mke wako nadhani ana matatizo, either penzi limeisha kwako au wewe ndio una tatizo au na kiserengeti cha siri.
pamoja na yote yenye busara ulioshauriwa hapa, nadhani kuongea nae direct ni muhimu pia. mueleze unavyojisikia juu ya tabia yake, huenda na yeye ana lake atakuambia. hizo holiday unazoandalia watu, na wewe pia ungeandaa ya kwenu mkaenda ili muongee vizuri mbali na nyumbani kusiko na kero wala bughudha maana sidhani kama kuongelea nyumbani atakuelewa.
Unajua wakati mwingine mwanamme unaweza kua na kitu au kijitabia fulani ambacho mwenzio hakimfurahishi, lakini panapokua na penzi la dhati, unajifanya hukioni, lakini penzi likichuja sasa ndio unaona lile tatizo tena kwa ukubwa zaidi.
ukiwa open na kumueleza mkeo jinsi ambavyo unakwazika na tabia yake, nina imani kama ana ubinadamu atakueleza tatizo lake kubwa kwako ni nini ili uweze kujirekebisha.
Pole sana.
 
mkuu pole sana kwa tatizo ulilonalo.. binafsi sijaoa ila naweza kukusaidia kidogo kwa mawazo..
kwa hali ya kawaida kwa mke uliyemuoa ingekua hapendezwi na lolote jambo asingeacha kukuambia...kukaa mwaka mzima bila kupata hamu ya kufanya mapenzi na mume hilo si suala la kawaida...ni zaidi ya msongo wa mawazo...hata kama angekua amepata njemba nje si rahisi akunyime mwaka mzima...suala lako ni la kiroho zaidi

mkuu nimekua nikiangalia vipindi vya dini kwa muda mrefu..haswa emmanuel tv ya TB Joshua...wanawake wengi sana wamekua wakisumbuliwa na "spiritual husband"... yani hili pepo limetesa ndoa nyingi sana ambapo mke anakua mkali sanaaa....hapendi kufanya mapenzi na mumewe maana mumewe wa kiroho ndo anamzuia....
mkuu kwa haraka haraka na kwa maelezo yako nadhani mkeo ana spiritual husband ambaye ni mharibifu wa ndoa na akiingia hata mkeo akipata mimba inatoka
nakushauri maombi ili uokoe ndoa yako..pia kuna spiritual husband wengine hufikia hadi hatua ya kutoa roho za watu so nakushauri ukimbilie kwenye maombi...si kawaida mke uliyemuoa na mliyependana asiwe na hamu na wew mwaka mzima
 
Nakuunga mkono kwa hilo dada gfsonwin ila kwa uapnde mwingine pia kwa mimi nilivyoona maelezo yake nahisi hata kama mkewe anampenda lakini amegundua kuwa mumewe ni mpole na anampenda sana kwa hiyo ni kama kamuweka mkononi,labda ajaribu kuanza kuwa dismainder awe bize na mambo yake amwache kama alivyo,hiyo ya kumpigisha stori aipige chini,akimuuliza kitu ajibu kwa ufupi tu,ajaribu kama miezi miwili hivi afu aone matokeo,kama mambo yateandelea hivyo hivyo basi ajue kuwa kweli hapo hakupendwa,ila akiacha ajue kuwa lifestyle yake inamfanya mke amdharau na kumfanya amfanyie lolote kwa kuamini kuwa hakuna side effect ya jinsi anavyomtendea mume wake.

copy J Mbungi.

mimi naomba sasa nikae kikazi zaid juu ya huyu kaka manake kwakua anataka huruma basi ngoja na mimi nimwonee huruma

kaka mzuri nije kitabibu zaid

1) mkeo anapanga uzazi ama anatumia njia yyte ya uzazi??
2) je ana muda gani toka amalize kutumia ama aanze kutumia njia hiyo??
3) je ana mabadiliko gani ambayo ameyapata kwa kutumia dawa hizo?
4) wewe na mkeo ni marafiki ama ni mtwa na mtwana?
5) je mkeo ana maumivu yyte ambayo anayapata?
6) umewah kuchunguza utoko wa mkeo? ukoje?
7) alijifungua kwa njia gani mtoto wa mwisho??
8) aliwah kuchanika msamba?


kama unaona tabu kuyajibu hapa usoni just pm kisha nitakupa njia ya kumfanya mkeo ajiskie tena hamu ya tendo la ndoa. usi-ignore comment zangu zilizopita la hasha ila hapa nimekuja kitabibu zaid.
 
Mkuu ukijiridhisha kuwa hali hiyo ya mkeo:
  1. Haina uhusiano na tatizo la kiafya,
  2. Sio imani za kishirikina (yaani ametupiwa pepo)
  3. Sio psychological stress - labda kuna issue imetokea ikambadili kisaikolojoa
Basi unatakiwa utumie "negative approaches" maana inaweza kuwa ni mtu mwenye character ya kuzoea kitu na kupoteza mvuto nacho hivyo kudharau. Badili approach za kuinteract naye, kama alizoea kukuona ni wa nyumbani basi mda mwingi asikuone. Kama alikuzoea wewe kuomba game sana mpotezee, akuone kama sio kitu unachokijali (pengine aamini kuwa kuna sehemu unapata). Kifupi muonyeshe the other side of yours. Hii pia ni njia ya kujua kama tatizo lake ni kukuchoka tu au kuna kichocheo. Kama akifurahia treatment ya namna hii, ujue tatizo ni zaidi ya personal attributes zake. Kaa chini utafute chanzo zaidi (zinaweza kuwa kati ya mbili za kwanza nilizokutajia hapo juu)
 
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni...
Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa...
Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani..
Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao(Mara anasikia usingiz sana,mara hajisikii,mara amechoka sana)..Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwanguvu)..
Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zoote za nyumbani(Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu..
ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI(WALA HAONI TAABU)..
Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini(Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu..
Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana..( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa??? Na mke ninaye???!
JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE(HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU...

Kama unaamini mpeleke kwenye maombezi. Huenda ana jini mahaba na kamwe lile halitaki mwanaume!!!! Kwani mkeo ana umri gani pia??? Hata kama ni miaka 50 kukaa mwaka bila tendo si mchezo!!! Hata kama ana bwana kama ulivuosema si rahisi kila siku awe na huyo Bwana, vinginevyo ndoa nyingi za wanawake wenye vidumu ungekuta zimeshakatikia mbali.
 
aje atujibu hapa............
kwa mwanamke mwenye nyege kabisaa huwez kulala na mwanaume mwaka mzima kama kaka na dada..............
hapa pana atatizo zaid ya tunavyodhani............huyu kaka kakosa sifa moja ya kiume

labda anasubiri kutengewa... maana kawaida ya mwanaume huwa nikudai sasa kama huna sauti hiyo duh
 
Ya wezekana akawa natatizo japokuwa huwa inatokea tho kipindi cha mwaka ni kirefu kwa kweli,ni vyema mkaenda kwa daktari ili ujue tatizo. Mambo menginge yanayochangia mbali na afya ni maumivu ya moyo,hiki wanaume jueni kabisa kinamaliza hamu ya kukutana na mwanaume wako. Mwanamke unaeza ukamkosea jambo kubwa sana ambalo mwanaume yy akitendewa mnaweza kuachana, Mfano kugundua mwenza wako ana mahusiano na mtu mwingine. Wanaume wapo too reactive kwa hili,mwanamke anaweza kulia ukajua yameisha lkn hicho kitu kikabaki kinamuumiza sn na kidogo kidogo anapoondoa kukuamini anaweza poteza hamu ya kukutana kimwili na wewe hata kama ni mke wako. Kingine pia wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huzoea wake zao kiasi cha kuwa wavivu katika kuwaandaa kabla ya tendo. Jueni tu hata process ya kuandaliwa ina raha yake na tendo lenyewe lina raha yake kwa mwanamke. Ukiwa mvivu si rahisi mtu awe na hamu na ww unaeza jikuta hata kwa wanaopata hiyo haki wao ndo wakuanzisha game kila siku. So ni swala la kujichinguza ww mwenyewe na yy ndo mchukue hatua ya kwenda kwa wataalamu wa afya ikishindikana hata wataalamu wa psycologia.
 
Hiii ndo unajua kwamba dini ya kiislam ni ya haki kwa mfano hilo tatizo lako lingekua lishakwisha pindi ungeengeza mke

Nakubaliana na wewe mkuu, taratibu za ndoa za ki-islam ziko very logical kwa maisha ya binadamu ingawa wengine wanazitumia vibaya, lakini za ki-kikristo mmmh, hazina logic kabisa, how can you love some body for the rest of your life? na mwana ndoa hapewi anaother chance kama mambo yameenda mrama eti mpaka mmoja afe!
 
Mkuu,,,sasa akae afkirie Mara ngapi wakat mwenzio kafiriki kaona aje Kuomba Msaada ..
 
Hili jambo ni gumu wala si rahisi.
hivi mkeo anakumbuka kweli maagizo ya kwenye kitabu kitakatifu "peaneni wala msinyimane"

haonyeshi kukerwa na kukosa hamu kwake! kama hakerwi kuna makusudi hapa, ila sababu ya makusudi si rahisi kuijua.

umetuambia ubembelezi wako haufui dafu! hili ndio msingi wa tatizo. kiburi kimetawala sehemu kubwa ya ubongo wake ndio maana mwili wake ume jam kila wakati.

utatuzi ni kutafuta vitu vya kumchekesha, yaani acheke sana. simaanishi kumtekenya. Naamini utaona mabadiliko ambayo utapaswa kuyapalilia.
 
anza kufuatilia nyendo zake utafanya fumanizi tu ....
 
Ahsante Mpendwa kwa "concern" yako..(Mke wangu anaonekana ameridhika na hii hali...Tena katika maongezi yake huwa anawakandia wanaume kiasi kwamba namshangaa sana..Anadriki kusema wanaume wote ni wanyama tu..Huwa na muuliza kama kuna jambo baya amewahi kufanyiwa na mwanaume ajaribu kusahau,lakini huwa anachukulia matukio ya unyanyasaji wa wanawake wengine kama la kwake kabisaa(Pengine ili nalo limemuathiri kisaikologia))


mimi nadhani naielewa hali ya mkeo kwa kiasi kikubwa.

ishu ni kwamba umeshamuumiza na ameshakuchoka.

she is fed up. PERIOD

THERE IS NOTHING U CAN DO ABOUT IT, IMEKULA KWAKO
 
We ni kamanda, wenzie tunapewa home kila siku lakini bado nje tunakula! Ukiendelea na tabia hiyo utakujaenda mbinguni straight. Yaani ningekuwa kama wewe ningemshukuru mungu kila baada ya dakika tano. Kwa story nilizowahi zisikia ni kwamba huyo mkeo anasumbuliwa na jini mahaba. Nadhani dawa ni kumpeleka akaombewe au mpeleke kwa sheikh, kutegemea na imani yako. Lakini mzee unawezaje kuepuka vishawishi? Tusaidiane basi!!
 
Majibu mengi ni kweli unahitaji kuyafanyia kazi.
sasa sijui uko wapi usaidiwe kwa karibu zaidi
 
Back
Top Bottom