Ndoa yangu ipo mashakani

Ndoa yangu ipo mashakani

Barikiwa kwa mchango wako.........Imani-Tunashiriki,--Uzazi wa mpangoalikuwa akitumia sasa hivi hatumii yapata miezi sita sasa, =Mwili wake naufahhemu maalum inayomsisimua(huwa natumia ujanja kuvinjari mwili wake..
pole asee!
wewe ni bonge la commited huzzie!
ila hebu tusaidiane hapa!
-IMANI,mnashiriki ibada kama wanandoa (kwa pamoja)?
-mkeo anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango(za kisayansi)
-unamfahamu hasa mkeo,namaanisha unamfahamu mwili wake(hehhehe sijui niiwekaje hii iwe na koti juu)
-mna migogoro ambayo unaimalizaga kiume,like ile HAYAISHI,YANI BADO UNAYO TUU,SI TULISHAONGEA)
-aina yenu ya mahusiano ni ipi kati ya hizi, MUME NA MKE?BABA NA MTOTO?KAKA NA DADA?RAFIKI NA RAFIKI?MKWE NA MKAMWANA?DOKTA NA MGONJWA AU MWALIMU NA MWANAFUNZI,BOSI NA SURBODINATE?,MWANASIASA NA MWANACHI AU BOARD OF STAKE HOLDERS WA KAMPUNI?
-nyumba yenu ina uhuru wa kiasi gani?
-mna mtoto mchanga?
-mawasiliano yenu ni JUU KWENDA CHINI,CHINI KWENDA JUU AU KULIA KWENDA KUSHOTO?
-analitazamaje tendo la ndoa (hii unaichek kimatendo yake zaid,unaona anahis ANATUMIKA,NI WAJIBU WAKE,ANAFURAHIA?wewe unaonaje pia UNAMTUMIA,UNAFURAHIA KUSHIRIKI NAE TENDO?

hebu jipe pumzi kufanya hii homework hii kwanza unaweza kuchukua kidaftar kidogo kujibu maana nafkir yana majibu marefu refu
-
 
mimi naomba sasa nikae kikazi zaid juu ya huyu kaka manake kwakua anataka huruma basi ngoja na mimi nimwonee huruma

kaka mzuri nije kitabibu zaid

1) mkeo anapanga uzazi ama anatumia njia yyte ya uzazi??
2) je ana muda gani toka amalize kutumia ama aanze kutumia njia hiyo??
3) je ana mabadiliko gani ambayo ameyapata kwa kutumia dawa hizo?
4) wewe na mkeo ni marafiki ama ni mtwa na mtwana?
5) je mkeo ana maumivu yyte ambayo anayapata?
6) umewah kuchunguza utoko wa mkeo? ukoje?
7) alijifungua kwa njia gani mtoto wa mwisho??
8) aliwah kuchanika msamba?

kama unaona tabu kuyajibu hapa usoni just pm kisha nitakupa njia ya kumfanya mkeo ajiskie tena hamu ya tendo la ndoa. usi-ignore comment zangu zilizopita la hasha ila hapa nimekuja kitabibu zaid.

naomba unijibu post yangu hii namba 87.
 
Sahamani mpendwa =Ziwezi kuwa- IGNORE" Kwasababu ushauri wenu ni muhimu saaaaana tena saana kwangu..(Majukumu yalikuwa yamenibana..Sasa naweza kupitia michango yenu na kuwajibu pale mliponiuliza maswali.
naomba unijibu post yangu hii namba 87.
1) mkeo anapanga uzazi ama anatumia njia yyte ya uzazi??= TUMIA KITANZI..KWASASA HATUMII MIEZI-6 ILIYOPITA
2) je ana muda gani toka amalize kutumia ama aanze kutumia njia hiyo?? =KAMA 6MOTHS
3) je ana mabadiliko gani ambayo ameyapata kwa kutumia dawa hizo? = HATUMII DAWA ZOZOTE KWASASA
4) wewe na mkeo ni marafiki ama ni mtwa na mtwana?= HAPANA HPA KWANGU HAKUNA ANAYEMGOMBEZA AU KUMSEMESHA MTU KWA UKALI(KUMBUKA KUNA MAHALI NIMESEMA HUWA NAMUIMBIA HADI NYIMBO& HADITHI PIA(UMEONA MAHALI NIMESEMA NAMSAIDIA HADI KUPIKA NA KUFUA NGUO
5) je mkeo ana maumivu yyte ambayo anayapata?= KWASASA YUPO SAWA TU..JAPO ZAMANI ALIKUWA ANAPATA MAUMIVU YA TUMBO9KAMAMIAKA-4 NYUMA)
6) umewah kuchunguza utoko wa mkeo? ukoje?= HANA UTOKO KABISA.. HUWA ANALAINIKA NA "LUBRICANT" NYEPESI WALA HUWEZI KUONA ZAIDI YA KUHISI UTELEZI TU WA KAWAIDA LAKINI JEMBE UINGIA NA KUTOKA LIKIWA SAFI KABISA..NA HAKUANA KITU KINACHOTOKA NJE ..LABDA ANAPOFIKA KILELENI NDIO HUWA ANATOA LUBRICANT PIA LAKINI SI NYING PIA KIASI KIDOGO TU..(MAJI MEPESI YASIYO NA RANGI WALA ARUFU)
7) alijifungua kwa njia gani mtoto wa mwisho?? ..HUWA ANAJIFUNGUA KWA NJIA YA KAWAIDA KABISA BILA MATATIZO..
8) aliwah kuchanika msamba?= MTOTO WA KWANZA NADHANI ALICHANIKA KIDOGO TU..
 
Sahamani mpendwa =Ziwezi kuwa- IGNORE" Kwasababu ushauri wenu ni muhimu saaaaana tena saana kwangu..(Majukumu yalikuwa yamenibana..Sasa naweza kupitia michango yenu na kuwajibu pale mliponiuliza maswali.1) mkeo anapanga uzazi ama anatumia njia yyte ya uzazi??= TUMIA KITANZI..KWASASA HATUMII MIEZI-6 ILIYOPITA
2) je ana muda gani toka amalize kutumia ama aanze kutumia njia hiyo?? =KAMA 6MOTHS
3) je ana mabadiliko gani ambayo ameyapata kwa kutumia dawa hizo? = HATUMII DAWA ZOZOTE KWASASA
4) wewe na mkeo ni marafiki ama ni mtwa na mtwana?= HAPANA HPA KWANGU HAKUNA ANAYEMGOMBEZA AU KUMSEMESHA MTU KWA UKALI(KUMBUKA KUNA MAHALI NIMESEMA HUWA NAMUIMBIA HADI NYIMBO& HADITHI PIA(UMEONA MAHALI NIMESEMA NAMSAIDIA HADI KUPIKA NA KUFUA NGUO
5) je mkeo ana maumivu yyte ambayo anayapata?= KWASASA YUPO SAWA TU..JAPO ZAMANI ALIKUWA ANAPATA MAUMIVU YA TUMBO9KAMAMIAKA-4 NYUMA)
6) umewah kuchunguza utoko wa mkeo? ukoje?= HANA UTOKO KABISA.. HUWA ANALAINIKA NA "LUBRICANT" NYEPESI WALA HUWEZI KUONA ZAIDI YA KUHISI UTELEZI TU WA KAWAIDA LAKINI JEMBE UINGIA NA KUTOKA LIKIWA SAFI KABISA..NA HAKUANA KITU KINACHOTOKA NJE ..LABDA ANAPOFIKA KILELENI NDIO HUWA ANATOA LUBRICANT PIA LAKINI SI NYING PIA KIASI KIDOGO TU..(MAJI MEPESI YASIYO NA RANGI WALA ARUFU)
7) alijifungua kwa njia gani mtoto wa mwisho?? ..HUWA ANAJIFUNGUA KWA NJIA YA KAWAIDA KABISA BILA MATATIZO..
8) aliwah kuchanika msamba?= MTOTO WA KWANZA NADHANI ALICHANIKA KIDOGO TU..

ngoja kwanza twende chemba. nitakupa majibu ya kila kitu
 
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni...

Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa... Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani..

Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao(Mara anasikia usingiz sana,mara hajisikii,mara amechoka sana)..Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwanguvu)..

Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zoote za nyumbani(Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu.. ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI(WALA HAONI TAABU)..

Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini(Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu..

Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana..( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa??? Na mke ninaye???!

JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE(HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU...

ukiandika hivi unatuambia kabisa mara yamwisho kula tunda ni lini jamani ..nasema hivi wanaume kulalamika nawajua yawezekana umemis juzi tu ...ila sisemi uongo kaka najua kinachokukuta mie niliivamia canter enzi hizo weeeeeeeeee niakrukia kwa juu sikuwahi kuingia kanisani nayo bahati nikaomba iwe inakuja nyumban kwa muda mwanzoni si mchezxo ilipoaanza kungelea ndoa nikaona inaanza kutoa kwa VAT loh wala sikutulia...infact kuna kitu katika haya kinamsibu mkeo

1.MAHUSIANO YENU KABLA YA NDOA
Naseme yawezekana mmoja wenu alichaguliwa na shangazi na sio kutoka oyoni sababu mila inamruhusu shangazi akukuwa najinsi mkabebeana kama vile
2.MAHUSIANO BAADA YA NDOA
Kama ujuavyo kama mlikutanishwa na ndugu ndani akuna ndugu so ni ninyi wawili tu mnaamua sasa hata hao watoto kwa miaka ulioandika nawiwa kabisa kutoka rohoni ukawapime DNA
3.MAHUSIANO YENU NA MUNGU
HILI NI SWALA MUHIMU SANA WAPO WENGI WANATESEKA NA KUHUSUZINIKA KWENYE NDOA LAKINI UKARIBU WENU HATA MMOJA WENU NAMUNGU UNASAIDIA KUWAONDOA KWENYE VISHAWISHI AMA MATATIZO YA NDOA..SIKUZOTE NDOA INAYOONGOZWA NA MUNGU SHETANI AIDANDIII KIRAHISI HATA KAMA WATOTO WATACHELEWA KUPATIKANA
SO MRUDIE MUUMBA WAKO ANGALIA WAPI UMEKOSA NA WAPI UKO KARIBU NA MUNGU WAKO IKIWEZAKANA MUULIZE NAMWENZAKO MSALI PAMOJAKILA SIKU NAWATOTO WENU KAMA WAKO AMA UMEBAMBIKIZIWA AIJLISHI MUNGU NDIE MWEZA YOTE NAAMINI KADRI UTAKAVYOWATUNZA MUNGU ATOKUACHA AIJALISHI NI WANANI

4.MAHUSIANO YAKO NA MKEO
KUNAWANAUME WENGINE WAMEKUWA WAKIISHI NA WAKE ZAO KAMA MABARMED..SISEMI KWA UBAYA ILA KUNA WATU HASA WANANDOA NAWAJUA KABISA WAMEKUWA WAKIAMKA ASBH WAKIMALIZA KAZI WANAKIMBILIA BA SIO KWA AJILI YA UTAMU WA BIA BALI BAADA YA KUMALIZA BIA WANAONDOKAJE NA WATUMISHIWA BAR..NA HILI SISEMI KWAKO NARUDI KWENYE MAHUSIANO ZAIDI...MFANYE MKEO KAMA MKE MWEMA AIJALISHI UMEMPATA WAPI..HUYO NDIE UMEPEWA NA MOLA...UKISOMA BAIBO MWAANAUME ANATAKIWA AMFURAHISHE MKEWE SKU ZOTE ..SO SWALA LA WEWE KUTOKUWA NA AMANI NI LAKI BINAFSI WEWE NDIE UNATAKIWA KUMFURAHISHA MKEO ....

5.OUTING
WENGI WANAAMINI BFRIEND N GFRIEND TU NDIO WANATAKIWA KUTOKA OUTING WATU WENGI WAMEKUWA WKAITYESEKA SIO TU WAMEVAMIA GARI KWA MBELE BALI HATA TAIRI ZAKE ZINA PANCHA ..UNAPOKUTANA NA PANCHA USIKU UKO MWENYEWE TAIRI YA KUSHOTO NA KULIA NYMA NA MBELE UNAWEZA JUA UNAUUMIAJE

USIMFANYE MKEO AISHI KAMA YUKO KWA MKWEWE...KAMA MLIKUWA MNATOKA OUTING MMEONA NINI KIMEWASIBU MSITOKEOUTING ..JE HISIIA ZINAOONGEZEKA MNAKUWA AMUAMINIANI..SAS LINAPOKUJA HILI UNAKUTA MKEO MAISHA YAKE KUANZI AKIWA MDOGO NA BABAKE WAMEKULIA FUNCITY ..SASA NDANI YA NDOA HATA AFRIKA SANA KWAKO GARAMA LAZIMA AKUNYIME SISEMI WEWE NANUKUU
 
6.mahusiano yenu na wazazi
kuwa makini sana yawezekana uko na mzazi mmoja ayuko happy na ndoa yenu ama uliwahi kumjibu vibaya wakati wa ndoa yenu..pengine usitese watoto wako kama wako hai niwakati muafaka wa kuombaradhi ...nakwambia kuokoa mateso ya watoto weenu sio leo hata miaka 15 ijayo..mzazi hata akikosea dec unayo wewe lakini uwe makini kwenye kuwajibu..ninao mfano wa uncle wangu mamake alimweleza kitu sio kwa ubaya ...leo anateseka mama ayuko duniani..na mwisho wa kukata roho alisema kama ataoa nikiwa duniani ama sipo atofurahia ndoa..akusema ataachana atofurahia ndoa .kuachana na makubaliano yenu wawili..nandio maana mnachukua talaka mnaenda kurudiana baada ya mwaka ...

Mahusiano yako na ndugu
hapa nasemea wakubwa zako hasa shangazi na wajomba...ndgug ni watu muhimu sana kwenyendoa
sijui zaidi lakini nasema haya ya mahusiano umweleze namwenzio sio wewe mwenyewe ..kama mwenzako ana tatizo na mojawapo hata ukaombe radhi kwa mungu kaeni chini wmelekezane muangalie wazai gani mliwakosea ama ndugu gani shangazi mjomba mliwakosea kipindi cha ujana wenu kuelekeandoani

nawatakia ndoa njema kwetu wakristo wanasemaalichokiunganisha mungu jf awezi kukivunja sitokaa ama kutarajia kuona majibu ya kuwahachanisha ndoa yenu ila matokeo yanabaki siri yenu
natumaini kama mlivyotushirikisha kwenye mchango basi kwenye maombi ya shida kama haya mtushirikishe pia

alamsiki

wa hali
basiasi

.
 
pole sana
kwa maelezo yako na jinsi ulivyojibu maswali mkeo ana SPIRITUAL HUSBAND!!

na kwasbb huwa hataki kushare hizo ndo styl zake, na huwa anakikisha ndoa inavunjika.
bahati mbaya wana ndoa wengi mmejisahau.
mnafikiri mkishaoana basi mmemaliza kumbe ndo kazi inaanza.

ushauri wangu, km unaweza mpeleke mkeo kwny maombi haijslishi ni imani gani
 
Mchango wako una mbolea..Nitaufanyia kazi.. ahsante..!
ukiandika hivi unatuambia kabisa mara yamwisho kula tunda ni lini jamani ..nasema hivi wanaume kulalamika nawajua yawezekana umemis juzi tu ...ila sisemi uongo kaka najua kinachokukuta mie niliivamia canter enzi hizo weeeeeeeeee niakrukia kwa juu sikuwahi kuingia kanisani nayo bahati nikaomba iwe inakuja nyumban kwa muda mwanzoni si mchezxo ilipoaanza kungelea ndoa nikaona inaanza kutoa kwa VAT loh wala sikutulia...infact kuna kitu katika haya kinamsibu mkeo

1.MAHUSIANO YENU KABLA YA NDOA
Naseme yawezekana mmoja wenu alichaguliwa na shangazi na sio kutoka oyoni sababu mila inamruhusu shangazi akukuwa najinsi mkabebeana kama vile
2.MAHUSIANO BAADA YA NDOA
Kama ujuavyo kama mlikutanishwa na ndugu ndani akuna ndugu so ni ninyi wawili tu mnaamua sasa hata hao watoto kwa miaka ulioandika nawiwa kabisa kutoka rohoni ukawapime DNA
3.MAHUSIANO YENU NA MUNGU
HILI NI SWALA MUHIMU SANA WAPO WENGI WANATESEKA NA KUHUSUZINIKA KWENYE NDOA LAKINI UKARIBU WENU HATA MMOJA WENU NAMUNGU UNASAIDIA KUWAONDOA KWENYE VISHAWISHI AMA MATATIZO YA NDOA..SIKUZOTE NDOA INAYOONGOZWA NA MUNGU SHETANI AIDANDIII KIRAHISI HATA KAMA WATOTO WATACHELEWA KUPATIKANA
SO MRUDIE MUUMBA WAKO ANGALIA WAPI UMEKOSA NA WAPI UKO KARIBU NA MUNGU WAKO IKIWEZAKANA MUULIZE NAMWENZAKO MSALI PAMOJAKILA SIKU NAWATOTO WENU KAMA WAKO AMA UMEBAMBIKIZIWA AIJLISHI MUNGU NDIE MWEZA YOTE NAAMINI KADRI UTAKAVYOWATUNZA MUNGU ATOKUACHA AIJALISHI NI WANANI

4.MAHUSIANO YAKO NA MKEO
KUNAWANAUME WENGINE WAMEKUWA WAKIISHI NA WAKE ZAO KAMA MABARMED..SISEMI KWA UBAYA ILA KUNA WATU HASA WANANDOA NAWAJUA KABISA WAMEKUWA WAKIAMKA ASBH WAKIMALIZA KAZI WANAKIMBILIA BA SIO KWA AJILI YA UTAMU WA BIA BALI BAADA YA KUMALIZA BIA WANAONDOKAJE NA WATUMISHIWA BAR..NA HILI SISEMI KWAKO NARUDI KWENYE MAHUSIANO ZAIDI...MFANYE MKEO KAMA MKE MWEMA AIJALISHI UMEMPATA WAPI..HUYO NDIE UMEPEWA NA MOLA...UKISOMA BAIBO MWAANAUME ANATAKIWA AMFURAHISHE MKEWE SKU ZOTE ..SO SWALA LA WEWE KUTOKUWA NA AMANI NI LAKI BINAFSI WEWE NDIE UNATAKIWA KUMFURAHISHA MKEO ....

5.OUTING
WENGI WANAAMINI BFRIEND N GFRIEND TU NDIO WANATAKIWA KUTOKA OUTING WATU WENGI WAMEKUWA WKAITYESEKA SIO TU WAMEVAMIA GARI KWA MBELE BALI HATA TAIRI ZAKE ZINA PANCHA ..UNAPOKUTANA NA PANCHA USIKU UKO MWENYEWE TAIRI YA KUSHOTO NA KULIA NYMA NA MBELE UNAWEZA JUA UNAUUMIAJE

USIMFANYE MKEO AISHI KAMA YUKO KWA MKWEWE...KAMA MLIKUWA MNATOKA OUTING MMEONA NINI KIMEWASIBU MSITOKEOUTING ..JE HISIIA ZINAOONGEZEKA MNAKUWA AMUAMINIANI..SAS LINAPOKUJA HILI UNAKUTA MKEO MAISHA YAKE KUANZI AKIWA MDOGO NA BABAKE WAMEKULIA FUNCITY ..SASA NDANI YA NDOA HATA AFRIKA SANA KWAKO GARAMA LAZIMA AKUNYIME SISEMI WEWE NANUKUU
 
NYANI GABU - Ahsante kwa ushauri wako na angalizo( Natumia muda wangu mwingi kumuuliza namna gani anataka niwe au nifanye ili ajisikie,lakini sijafanikiwa) Suala la kunuka makwapa ua mwili sina tatizo hilo kabisa(Niapenda usafi na ninazingatia usafi wa mwili na mavazi.)

nasikia vidonge/sindano vya kupanga uzazi nazo huwa zinaondoa hamu ya mapenz kabisaa.je anavitumia?
 
Mbungi..

pole sana, inawezekana mkeo ana tatizo kweli.

je anatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango?? hizi nazo huwa zinacheza sn na hormone na zinaathiri pia hamu ya tendo.
 
Last edited by a moderator:
Mkeo ana tatizo la kiafya linalojulikani kitaalamu kama FRIGIDITY au FEAR OF SEX.Hali hii inatokana na sababu kadhaa ambazo zimegawanyika katika mafungu makuu mawili.Sababu za kisaikolojia (psychological factor) na magonjwa (pathological factor).Sababu za kisaikolojia ni kama vile hofu,mashaka,woga,wasiwasi nk, juu ya mambo yaliyoko ndani ya ubongo wake kwa mfano kama gubu,kutokuelewana na mwenzi, ugomvi,hofu ya kupata ukimwi na magonjwa ya zinaa,kharaa,kuchukia ulevi nk.Sababu za kimagonjwa ni pale mke anapokuwa na magonjwa ya kawaida au ya zinaa katika via vya uzazi.Mara nyingi anapokuwa na magonjwa haya humletea maumivu makali.Maumivu haya huzaa woga wa kufanya mapenzi kwa sababu atatoneshwa.Kuchanika uke wakati wa kuzaa na kuachwa bila kushonwa husababisha uke kuwa mkubwa kama wa ng'ombe na hivyo kusababisha uume kupwaya na kutobana vizuri.Hali hii huondoa hamu ya mapenzi.Magonjwa mengi chronic huondoa pia hamu ya mapenzi.Ndoa za kulazimishwa na kutoka nje ya ndoa ni moja sababu ya kutopenda penzi la ndani.Magonjwa ya akili na mengi mengineyo yaweza kuwa sababu pia.Namshauri huyu mheshimiwa ani PM nitamsaidia zaidi kitaalam.
 
Jaribu kujenga mazingira ya kuomba tendo la ndoa zaidi kwa vitendo siyo kuwa kama ndugu zangu chagulaga, muangushane ndiyo muanze mchezo.

Siku ya kuomba huduma jaribu kutomkwaza mwenzio kwa hali yoyote ile naye awe huru na kuandaa akili yake. Wanaume wengine wanachukulia tendo hilo kama haki hata kama mmekwaruzana akidhani kuwa usuluhishi utakuja wenyewe through mapenzi. Unatakiwa kusafisha njia kwanza na huduma hiyo utaipata kilaini tu.

Pia unaweza pia kufuatilia nyendo zake kama hana mahusiano mengine nje.
 
Unamegewa, full stop, wewe unaonekana kero tu mbele yake, anashindwa kukuchana kwasababu ya hao watoto, chunguza vizuri jombaa. Na hiyo kazi ya saloon uliyomtafutia ndo majanga kabisa, inaonyesha kulitoa a job straight nyumbani, pitia vijiwe vya mtaani uongee na watu. Nakuhakikishia kuna mtu anakusaidia, halafu mwenzako anajituma zaidi, mbaya zaidi umemuachia kwa muda mrefu sana mpk mama kakolezwa. Pole ila ndo life.
 
Kuna story fupi nilikutana nayo salon naona ni vema nawe uijue na uifanyie kazi.

Binti mmoja alikuwa anatengeneza nywele, nje kukawa na jamaa yake anamsubiri amalize shughuli zake. Binti akaanza kusema pale salon kuwa jamaa huyo anampendea pesa tu lakini majambozi hata angekesha kifuani kwake usiku kucha hamtoshelezi, Ila bwana ake wa Mbeya hana pesa ila wakikutana anamridhisha anaweza kuaa mwezi bila kuhitaji mwanaume.

kwa story hii umejichunguza kama unamridhisha mkeo? husije kuwa unakesha kwa kumchosha bure bila kumtimizia haja yake. Yafanyie kazi.
 
Kashishi umemaliza yote... Kwa kuongezea tu hapa, kuna ile style ya wadada anaamua kuoelewa na mtu ambaye hampenda lakini katika group yake ya usichana wote wameolewa, sasa anaona kabaki mwenyewe na umri unamtupa mkono. Akiangalia ampendae kwa dhati hana mpango wa ndoa naye, ghafla katokea Mbungi anayempenda kwa dhati lakini yeye hana mapenzi, ila anajipa moyo kwamba with time nitampenda. Siku zinakwenda mnazaa watoto pasipo mapenzi. unaona haya kuonyesha makucha mapema mwanzoni, hivyo unajikaza. Miaka kadhaa ikipita uzalendo unakushinda, unaweka mambo hadharani. Ndio inakuja sasa mambo ya nimechoka, kutopenda story na mumewe na mengine mengi.
dah... kazi kweli kweli...

Mbingu - Nimejaribu kufuatilia stori yako kwa makini kabisa. Kulingana na mtiririko wa maelezo yako uliyoweka wazi tayari na kulingana na umri na uzoefu wangu (aka intellejensia yangu) ya ki maisha naweza kuona kuwa mkeo hakuwa na mapenzi ya dhati na wewe toka unamuoa.
Nikipiga picha haraka haraka inaonyesha kabisa nyinyi hamkuwa watu mlio 'fall in love' wenyewe. Kuna kila dalili kuwa wewe ndiye uliempenda zaidi yeye (mkeo) kuliko alivyokupenda wewe. Vilevile yaonyesha ulitumia msukumo na ushawishi mwingi zaidi kuweza kumu 'win' utashi wake yeye kuolewa na wewe. Inawezekana kuwa nduguze au wazee walishiriki kuweza ku 'override' will yake ya kuolewa na wewe.

Na hivyo pengine alijikuta ametumbukia kwenye ndoa akijaribu kukuridhisha au kuwaridhisha wazazi au wewe mwenyewe kwa ushauri wa kuwa atakupenda mbele ya safari. Na mara nyingi watu wanaoingia kwenye ndoa namna hii hufika wakati wabadilike wakupende kwa mwendelezo au warudi kwenye nafsi ya zamani na kuona wamefanya makosa makubwa na kuanza kuwa bored/ kusoneka (depressed). Na hili huwatokea watu wote wanaumme na wanawake.

Kwa wenzetu wa Western hufunguka na kuambiana ukweli na hapo masuala ya talaka huzungumzika. Waswahili hatuna hulka ya uwazi bali hupenda kutafuta sababu nyingineyo kabisa ya kuvunja ndoa japo moyoni anajua kabisa mtu hujua kuwa mapenzi yamesha chuja ,

Tazama hapa ...Quote "Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho..." Kauli hii inaeleza mengi sana...Mwanamke mwenye kukupenda kwa dhati hakufanyii mambo haya tena toka kitambo....Au mfano hii Quote "Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu (hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake (Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea."... Yaani mkeo yuko bored na amekuchoka sana aisee. Na hiyo sio ndoa ndugu yangu.

Suluhu ya kweli fikeni mahali muulizane maswali magumu (hard talk) na mjue hatima na mustakali wenu kiukweli mbele ya wazee au mashahidi. Na kisha muamue way forward. Lakini kwa mapenzi hakuna mnaishi kwa mazoea tu. Wala msijidanganye kwa wingi wa miaka ya ndoa au watoto. Hilo halijalishi lakini kiukweli mapenzi hapo hakuna.
 
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni...

Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa... Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani..

Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao(Mara anasikia usingiz sana,mara hajisikii,mara amechoka sana)..Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwanguvu)..

Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zoote za nyumbani(Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu.. ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI(WALA HAONI TAABU)..

Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini(Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu..

Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana..( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa??? Na mke ninaye???!

JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE(HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU...

Kaa kimya, usifanye inniative zozote za kutaka tendo la ndoa, utafanyaje sisi hatutaki kujua. Unajua sometimes ukionyesha uhitjai wa kitu fulani, upande mmoja unavimba kichwa as if huwezi kupata kwingine. Kaa kimya usimuombe chochote, uione atakavyokurukia ndani ya mwezi mmoja tu.
 
Nimeshakupa ushauri wa kitaalam kwenye coment yangu humu nakushauri pia kuni PM lakini naona kama hujasoma maoni yangu kwa sababu naona bado unaendelea kuomba ushauri zaidi na zaidi.Pengine sasa subiri ushauri wa kutoka mbinguni.
 
Nendeni mkafanyiwe maombi bila hivyo hamna suluhu.wengi wameombewa na wamekutwa na mapepo ya kikahaba.Yesu ndiye jibu.aliwafungua na kuwaweka huru hata walioshindika.Marko 5:1-20
 
Back
Top Bottom