dah too naive !too much!
nikwambie kitu TUPO WANAWAKE AMBAO TUNATAKA THE OPPOSITE OF THIIIS TYPE OF A MAN!
too way naiiive!tooo much!
nahs mkeo anaimisuse hii!badala ya kukusaidia!
af wewe!usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa
Kutokana na maelezo haya basi ana tatizo la kiroho anahitaji kuombewa manake ziko roho zilizo kinyume na ndoa so anza maombezi. Hebu muulize kama anaona wanaume wote ni wanyama je kwanini aliolewa , haoni kwamba alikosea. Jitahidi kumuonyesha ukubwa wa tatizo alilo nalo na ashirikiane nawe ktk kuliondoa. Mungu akusaidie ktk hili lkn nina imani kubwa atafunguliwa na atakua huru. Ukishaanza huduma huduma utashangaa sana kwani mkono wa Bwana ni waajabu sana.Ahsante Mpendwa kwa "concern" yako..(Mke wangu anaonekana ameridhika na hii hali...Tena katika maongezi yake huwa anawakandia wanaume kiasi kwamba namshangaa sana..Anadriki kusema wanaume wote ni wanyama tu..Huwa na muuliza kama kuna jambo baya amewahi kufanyiwa na mwanaume ajaribu kusahau,lakini huwa anachukulia matukio ya unyanyasaji wa wanawake wengine kama la kwake kabisaa(Pengine ili nalo limemuathiri kisaikologia))
usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa
Mambo vipi habari za siku nyingi. Jamani uthimwambie hivyo mwenzio thio vizuri , haya lkn mi simooooooaf wewe!
subiri kwanza ngoja tumalize hili!
A miaka nane kweli?mwanaume hakuwa na kitu chochote kuwa bidada alifata kitu!
hicho nilichoandika hapo ninaweza kukitetea
huyu bwana kaka ni aina ile ya wanaume wa kutaka kuonewa huruma,(no offense)lakini ukweli hii ndo personality yake!
imagine mtu anakuomba tu msamaha huna hata kosa
anakuimbia mapambio
anakuoshea vyombo wakati we umeenda saluni kubandika kope
anakulilia
anakuongelesha (kuongelesha sijasema kuongea nawe)unakuwa na nguvu ya kumjibu anakuchosha
C'AMON!!!
Dhambi ipo pale pale usijustify.Kitu kimoja ambacho hajakijua. Kitu cha kwanza muhimu sana katika ndoa ni kumemegedana. Kama chakula hata magengeni kipo. Mi wife akijaribu kuninyima hiyo makitu ndo kanipa tiketi ya kumtafutia msaidizi, na kwa hilo naamini Mungu hanihesabii dhambi.
Halafu anaonyesha mjeuri flani hivi. Yaani haoni kabisa kama hili ni tatizo huenda kuna kitu nyuma ya pazia sisi hatujui. Sipati picha mwaka mzima mmmh.usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa
Majibu mengine mnaweza mkaua hivihivi...unamegewa mkuu yani unasaidiwa na serengeti boy
This might be true.Mbingu - Nimejaribu kufuatilia stori yako kwa makini kabisa. Kulingana na mtiririko wa maelezo yako uliyoweka wazi tayari na kulingana na umri na uzoefu wangu (aka intellejensia yangu) ya ki maisha naweza kuona kuwa mkeo hakuwa na mapenzi ya dhati na wewe toka unamuoa.
Nikipiga picha haraka haraka inaonyesha kabisa nyinyi hamkuwa watu mlio 'fall in love' wenyewe. Kuna kila dalili kuwa wewe ndiye uliempenda zaidi yeye (mkeo) kuliko alivyokupenda wewe. Vilevile yaonyesha ulitumia msukumo na ushawishi mwingi zaidi kuweza kumu 'win' utashi wake yeye kuolewa na wewe. Inawezekana kuwa nduguze au wazee walishiriki kuweza ku 'override' will yake ya kuolewa na wewe.
Na hivyo pengine alijikuta ametumbukia kwenye ndoa akijaribu kukuridhisha au kuwaridhisha wazazi au wewe mwenyewe kwa ushauri wa kuwa atakupenda mbele ya safari. Na mara nyingi watu wanaoingia kwenye ndoa namna hii hufika wakati wabadilike wakupende kwa mwendelezo au warudi kwenye nafsi ya zamani na kuona wamefanya makosa makubwa na kuanza kuwa bored/ kusoneka (depressed). Na hili huwatokea watu wote wanaumme na wanawake.
Kwa wenzetu wa Western hufunguka na kuambiana ukweli na hapo masuala ya talaka huzungumzika. Waswahili hatuna hulka ya uwazi bali hupenda kutafuta sababu nyingineyo kabisa ya kuvunja ndoa japo moyoni anajua kabisa mtu hujua kuwa mapenzi yamesha chuja ,
Tazama hapa ...Quote "Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho..." Kauli hii inaeleza mengi sana...Mwanamke mwenye kukupenda kwa dhati hakufanyii mambo haya tena toka kitambo....Au mfano hii Quote "Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu (hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake (Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea."... Yaani mkeo yuko bored na amekuchoka sana aisee. Na hiyo sio ndoa ndugu yangu.
Suluhu ya kweli fikeni mahali muulizane maswali magumu (hard talk) na mjue hatima na mustakali wenu kiukweli mbele ya wazee au mashahidi. Na kisha muamue way forward. Lakini kwa mapenzi hakuna mnaishi kwa mazoea tu. Wala msijidanganye kwa wingi wa miaka ya ndoa au watoto. Hilo halijalishi lakini kiukweli mapenzi hapo hakuna.
kuna mtu mmoja tu ninayemjua anayeweza kuwa kaandika maneno haya!Damn it!!!
AND YOU ARE YET A MAN!!!!!!!!!!!!!!!!!C'MON BRO!!
Unahitaji huruma kwa mwanamke/ mke?
Eti namwimbia mapambambio..........................., does this make you to be a real man?
DUDE!!!!!!!!!!!!! YOU ARE POOOR,
ACHA KUTAKA HURUMA KWA MKEO ACHA KUMSEMEZESHA TAKA MSEMEZANE, ACHA KUTAKA KUOMBA TAKA MUOMBANE HUO NDIO UANAUME....................
Ngoja kwanza nitoke nawahi kete zangu kwa mzungu!!!!!!!
Mambo vipi habari za siku nyingi. Jamani uthimwambie hivyo mwenzio thio vizuri , haya lkn mi simoooooo
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni...
Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa...
Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani..
Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao(Mara anasikia usingiz sana,mara hajisikii,mara amechoka sana)..Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwanguvu)..
Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zoote za nyumbani(Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu..
ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI(WALA HAONI TAABU)..
Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini(Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu..
Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana..( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa??? Na mke ninaye???!
JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE(HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU...
af wewe!
subiri kwanza ngoja tumalize hili!
A miaka nane kweli?mwanaume hakuwa na kitu chochote kuwa bidada alifata kitu!
hicho nilichoandika hapo ninaweza kukitetea
huyu bwana kaka ni aina ile ya wanaume wa kutaka kuonewa huruma,(no offense)lakini ukweli hii ndo personality yake!
imagine mtu anakuomba tu msamaha huna hata kosa
anakuimbia mapambio
anakuoshea vyombo wakati we umeenda saluni kubandika kope
anakulilia
anakuongelesha (kuongelesha sijasema kuongea nawe)unakuwa na nguvu ya kumjibu anakuchosha
C'AMON!!!
Halafu anaonyesha mjeuri flani hivi. Yaani haoni kabisa kama hili ni tatizo huenda kuna kitu nyuma ya pazia sisi hatujui. Sipati picha mwaka mzima mmmh.