Ndoa yangu ipo mashakani

Ndoa yangu ipo mashakani

Ndoa ngumu jamani loo wengine wake wanakataliwa na waume wengine waume wanalia
 
Hembu jaribu kukumbuka matukio hakuna siku alikufumania au aligundua hata kwa mess tu kama una mwanamke nje? Nakwambia hilo kwa kuwa hakuna mtu anakisasi kama mwanamke yawezekana sio msemaji huyo ni mbaya ameweka rohoni tu bila wewe kujua nn kipo achana na mwanamke noma.
 
Ahsantela personalities tutafanyaje? nipe mahali pa kuanzia kufanya personalities zi-match!!
Je mkeo anatumia dawa za uzazi wa mpango????? Nipe jibu faster nikushauri tena kama anatumia niambie ni njia gani.
 
Nadhani nina kazi ya ziada kuhusu hiyo "personalities" Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho....Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu(hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake(Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea..Nikiona amekasirika ninapomuhoji jambo hajalipenda.......Kuhusu kufanya kazi(Mimi nafanya kazi zangu"through ONLINE" Nina Kampuni ya utalii...Huwa kazi zangu naziratibu nikiwa nyumbani..(Ofisini huwa naenda kukagua na kufuatilia mambop muhimu( Nina ofisi Zanzibar)
kingasti na Nyani Ngabu nyie hamjamjua huyu bwana,

Kiukweli tatizo liko kwa huyu bwana, kwanza kabisa sitaki kumtia moyo ila ukweli ni kwamba mkeo toka siku ya kwanza hakukupenda ila tu alikubali kuolewa na wewe ili atimize azma yake ya kuolewa kwamba alitaka ndoa tu na wala sio kwamba alitaka mwenzi wa maisha.

sitak kukutia moyo ulikosea toka siku ya kwanza ulipokuwa unapropose kwake jst be frank ulilazimisha sana mkeo hakuwa anakufeel toka siku ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Kaka hapo kuna mambo kama matatu hivi; 2. Tatizo la kisaikolojia, kutokana na mgandamizo wa mawazo na mambo tu ya kawaida yanayoendelea hapo nyumbani au kwa wazazi yanaweza changia hali hiyo. Hapa muone mwanasaikolojia ukishajiridhisha baada ya kukaa nae na kumhoji maswari mawili matatu. 3.
Hiyo inaweza kuwa ni sababu kubwa sana. Hayo unayosema kuwa ni mambo ya KAWAIDA kwako kwake YEYE inaweza kuwa yanamuumiza kisaikolojia. Nina ndugu yangu ambaye ana tatizo hilo na limesababishwa na jinsi mume wake anavyomtreat yeye na baadhi ya ndugu zake. Kumtukana na kusema maneno ya ovyo mbele ya watoto na msaidizi ni jambo la kawaida kwake, kutukana ndugu za mke, kudharau kazi ya mke na maneno ya kuudhi ni maisha ya kawaida. Kumfanyia ubabe na vitu kama hivyo. Imefika wakati mwanamke anaona ni heri huyo mwanaume asafiri nyumba inakuwa na amani kuliko akiwepo nyumbani. Sasa wanaume wengi (sisemi kama huyu mleta thread yuko hivyo) hawajui kuwa kumfanyia mwanamke mambo kama hayo yanamuondolea sana mwanamke upendo aliokuwa nao kwake na yanamsababishia msongo wa mawazo na kumpotezea hamu ya kufanya mapenzi.
 
Nadhani nina kazi ya ziada kuhusu hiyo "personalities" Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho....Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu(hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake(Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea..Nikiona amekasirika ninapomuhoji jambo hajalipenda.......Kuhusu kufanya kazi(Mimi nafanya kazi zangu"through ONLINE" Nina Kampuni ya utalii...Huwa kazi zangu naziratibu nikiwa nyumbani..(Ofisini huwa naenda kukagua na kufuatilia mambop muhimu( Nina ofisi Zanzibar)

Jaribu kumsoma mwenzio ujue ni vitu gani vinamfurahisha zaidi kusudi muendane. Angalia mziki anaosikiliza, labda ujadiliane nae pia. Kwani hamna nafasi ya kucheza pamoja? Mfano muulize anataka kuimbiwa wimbo gani na kama hauujui basi muimbe pamoja nk. Ngoja kwanza, wakati ambapo unamsaidia kufua na kupika ili asichoke yeye anakuwa saluni. Ina maana wewe haufanyi kazi yoyote?

Mbingu - Nimejaribu kufuatilia stori yako kwa makini kabisa. Kulingana na mtiririko wa maelezo yako uliyoweka wazi tayari na kulingana na umri na uzoefu wangu (aka intellejensia yangu) ya ki maisha naweza kuona kuwa mkeo hakuwa na mapenzi ya dhati na wewe toka unamuoa.
Nikipiga picha haraka haraka inaonyesha kabisa nyinyi hamkuwa watu mlio 'fall in love' wenyewe. Kuna kila dalili kuwa wewe ndiye uliempenda zaidi yeye (mkeo) kuliko alivyokupenda wewe. Vilevile yaonyesha ulitumia msukumo na ushawishi mwingi zaidi kuweza kumu 'win' utashi wake yeye kuolewa na wewe. Inawezekana kuwa nduguze au wazee walishiriki kuweza ku 'override' will yake ya kuolewa na wewe.

Na hivyo pengine alijikuta ametumbukia kwenye ndoa akijaribu kukuridhisha au kuwaridhisha wazazi au wewe mwenyewe kwa ushauri wa kuwa atakupenda mbele ya safari. Na mara nyingi watu wanaoingia kwenye ndoa namna hii hufika wakati wabadilike wakupende kwa mwendelezo au warudi kwenye nafsi ya zamani na kuona wamefanya makosa makubwa na kuanza kuwa bored/ kusoneka (depressed). Na hili huwatokea watu wote wanaumme na wanawake.

Kwa wenzetu wa Western hufunguka na kuambiana ukweli na hapo masuala ya talaka huzungumzika. Waswahili hatuna hulka ya uwazi bali hupenda kutafuta sababu nyingineyo kabisa ya kuvunja ndoa japo moyoni anajua kabisa mtu hujua kuwa mapenzi yamesha chuja ,

Tazama hapa ...Quote "Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho..." Kauli hii inaeleza mengi sana...Mwanamke mwenye kukupenda kwa dhati hakufanyii mambo haya tena toka kitambo....Au mfano hii Quote "Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu (hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake (Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea."... Yaani mkeo yuko bored na amekuchoka sana aisee. Na hiyo sio ndoa ndugu yangu.

Suluhu ya kweli fikeni mahali muulizane maswali magumu (hard talk) na mjue hatima na mustakali wenu kiukweli mbele ya wazee au mashahidi. Na kisha muamue way forward. Lakini kwa mapenzi hakuna mnaishi kwa mazoea tu. Wala msijidanganye kwa wingi wa miaka ya ndoa au watoto. Hilo halijalishi lakini kiukweli mapenzi hapo hakuna.
 
Ahsante Mpendwa kwa "concern" yako..(Mke wangu anaonekana ameridhika na hii hali...Tena katika maongezi yake huwa anawakandia wanaume kiasi kwamba namshangaa sana..Anadriki kusema wanaume wote ni wanyama tu..Huwa na muuliza kama kuna jambo baya amewahi kufanyiwa na mwanaume ajaribu kusahau,lakini huwa anachukulia matukio ya unyanyasaji wa wanawake wengine kama la kwake kabisaa(Pengine ili nalo limemuathiri kisaikologia))
Kabla ya kuchukua hatua zote ulizoshauriwa je yeye anaona jambo hili kuwa ni tatizo au anaona poa tu. Kama ulivyoshauriwa na wengi mpeleke kwenye maombi au ikiwa wewe ni mwamini basi muombee mkeo utaona mabadiliko
 
kingasti na Nyani Ngabu nyie hamjamjua huyu bwana,

Kiukweli tatizo liko kwa huyu bwana, kwanza kabisa sitaki kumtia moyo ila ukweli ni kwamba mkeo toka siku ya kwanza hakukupenda ila tu alikubali kuolewa na wewe ili atimize azma yake ya kuolewa kwamba alitaka ndoa tu na wala sio kwamba alitaka mwenzi wa maisha.

sitak kukutia moyo ulikosea toka siku ya kwanza ulipokuwa unapropose kwake jst be frank ulilazimisha sana mkeo hakuwa anakufeel toka siku ya kwanza.

Ahsante kwa mchango wako...(Kuhusu kunipenda..Hilo sina shaka nalo) Alikuwa ananipenda sana tena saaana(Kuna wakati nilijaribu kumpima kwa kumwambia nina matatizo ya kijadi ktk familia yetu hiyo sitaweza kumwoa..(ali umwa wiki nzima) Mwanzoni mwa ndoa yetu maisha yalikuwa magumu sana hata kula ilikuwa taabu,lakini alivumilia yote hayo..Nashangaa siku za hivi karibuni mambo yamebadilika(Ndani ya miaka hioi miwili ya sasa)
 
Nashukuru Mungu mpaka sasa hivi(miaka 8 katika ndoa) Sijawahi kutembea nje ya ndoa..wala kuwazia jambo hilo...Alafu mimi nipo transparent sana kwa mke wangu(simu yangu anaweza kuitumia anavyotaka,passwords za facebook na mitandao ya kijamii nimempatia..(Na huwa namwambia akiona kitu,jambo lolote linalohitaji maelezo aniulize nita muelewesha..KWA UFUPI KATIKA SUALA LA UHAMINIFU SINA SHAKA NAJIHAMINI SANA..Na mwenzangu nimemuweka wazi juu ya hilo....
Hembu jaribu kukumbuka matukio hakuna siku alikufumania au aligundua hata kwa mess tu kama una mwanamke nje? Nakwambia hilo kwa kuwa hakuna mtu anakisasi kama mwanamke yawezekana sio msemaji huyo ni mbaya ameweka rohoni tu bila wewe kujua nn kipo achana na mwanamke noma.
 
Ahsante mudau kwa ushauri na angalizo lako...Sijui hata mwenzangu amekumbwa na matatizo gani..Mimi namuhoji sana juu ya anavyojiskia juu yangu hasa siku za hivi karibuni..(Maana inaonekana hatapoteza chochote asipofanya mapenzi na mimi.. (Kuhusu kunipenda,labda kama kaa cha kunipenda siku hizi(Lakini tangu mwanzo alikuwa akinipenda sana mbali na udhaifu wa kutopenda kuongea sana na mimi9Yaani kupiga story)
Mbingu - Nimejaribu kufuatilia stori yako kwa makini kabisa. Kulingana na mtiririko wa maelezo yako uliyoweka wazi tayari na kulingana na umri na uzoefu wangu (aka intellejensia yangu) ya ki maisha naweza kuona kuwa mkeo hakuwa na mapenzi ya dhati na wewe toka unamuoa.
Nikipiga picha haraka haraka inaonyesha kabisa nyinyi hamkuwa watu mlio 'fall in love' wenyewe. Kuna kila dalili kuwa wewe ndiye uliempenda zaidi yeye (mkeo) kuliko alivyokupenda wewe. Vilevile yaonyesha ulitumia msukumo na ushawishi mwingi zaidi kuweza kumu 'win' utashi wake yeye kuolewa na wewe. Inawezekana kuwa nduguze au wazee walishiriki kuweza ku 'override' will yake ya kuolewa na wewe.

Na hivyo pengine alijikuta ametumbukia kwenye ndoa akijaribu kukuridhisha au kuwaridhisha wazazi au wewe mwenyewe kwa ushauri wa kuwa atakupenda mbele ya safari. Na mara nyingi watu wanaoingia kwenye ndoa namna hii hufika wakati wabadilike wakupende kwa mwendelezo au warudi kwenye nafsi ya zamani na kuona wamefanya makosa makubwa na kuanza kuwa bored/ kusoneka (depressed). Na hili huwatokea watu wote wanaumme na wanawake.

Kwa wenzetu wa Western hufunguka na kuambiana ukweli na hapo masuala ya talaka huzungumzika. Waswahili hatuna hulka ya uwazi bali hupenda kutafuta sababu nyingineyo kabisa ya kuvunja ndoa japo moyoni anajua kabisa mtu hujua kuwa mapenzi yamesha chuja ,

Tazama hapa ...Quote "Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho..." Kauli hii inaeleza mengi sana...Mwanamke mwenye kukupenda kwa dhati hakufanyii mambo haya tena toka kitambo....Au mfano hii Quote "Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu (hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake (Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea."... Yaani mkeo yuko bored na amekuchoka sana aisee. Na hiyo sio ndoa ndugu yangu.

Suluhu ya kweli fikeni mahali muulizane maswali magumu (hard talk) na mjue hatima na mustakali wenu kiukweli mbele ya wazee au mashahidi. Na kisha muamue way forward. Lakini kwa mapenzi hakuna mnaishi kwa mazoea tu. Wala msijidanganye kwa wingi wa miaka ya ndoa au watoto. Hilo halijalishi lakini kiukweli mapenzi hapo hakuna.
 
Ahsante sana kwa angalizo lako mkuu.........(Yawezekana nina majibu ya mkato saa nyingine ktk maongezi yangu) Lakini siyo kejeli. jambo ninalolisimamia kwa nguvu zote ni kupinga lugha za matusi au kuudhi...Nakushuru si kwa watoto,mama au mtu yeyote ninayeishi naye anaweza tamka matusi au lugha ya kuuudhi(Kwasababu wanajua ni sivikubali wala si muumini wa vitu hivyo)..
Hiyo inaweza kuwa ni sababu kubwa sana. Hayo unayosema kuwa ni mambo ya KAWAIDA kwako kwake YEYE inaweza kuwa yanamuumiza kisaikolojia. Nina ndugu yangu ambaye ana tatizo hilo na limesababishwa na jinsi mume wake anavyomtreat yeye na baadhi ya ndugu zake. Kumtukana na kusema maneno ya ovyo mbele ya watoto na msaidizi ni jambo la kawaida kwake, kutukana ndugu za mke, kudharau kazi ya mke na maneno ya kuudhi ni maisha ya kawaida. Kumfanyia ubabe na vitu kama hivyo. Imefika wakati mwanamke anaona ni heri huyo mwanaume asafiri nyumba inakuwa na amani kuliko akiwepo nyumbani. Sasa wanaume wengi (sisemi kama huyu mleta thread yuko hivyo) hawajui kuwa kumfanyia mwanamke mambo kama hayo yanamuondolea sana mwanamke upendo aliokuwa nao kwake na yanamsababishia msongo wa mawazo na kumpotezea hamu ya kufanya mapenzi.
 
Ahsante mpendwa.. Alikuwa anatumia kitanzi(kikwa kina mpa matatizo ya kupoteza mpangilio wa HEDHI) Kwasasa nilimshauri atumie na ana kama miezi sita tangu aache kutumia zazi wa mpango
Je mkeo anatumia dawa za uzazi wa mpango????? Nipe jibu faster nikushauri tena kama anatumia niambie ni njia gani.
 
pole asee!
wewe ni bonge la commited huzzie!
ila hebu tusaidiane hapa!
-IMANI,mnashiriki ibada kama wanandoa (kwa pamoja)?
-mkeo anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango(za kisayansi)
-unamfahamu hasa mkeo,namaanisha unamfahamu mwili wake(hehhehe sijui niiwekaje hii iwe na koti juu)
-mna migogoro ambayo unaimalizaga kiume,like ile HAYAISHI,YANI BADO UNAYO TUU,SI TULISHAONGEA)
-aina yenu ya mahusiano ni ipi kati ya hizi, MUME NA MKE?BABA NA MTOTO?KAKA NA DADA?RAFIKI NA RAFIKI?MKWE NA MKAMWANA?DOKTA NA MGONJWA AU MWALIMU NA MWANAFUNZI,BOSI NA SURBODINATE?,MWANASIASA NA MWANACHI AU BOARD OF STAKE HOLDERS WA KAMPUNI?
-nyumba yenu ina uhuru wa kiasi gani?
-mna mtoto mchanga?
-mawasiliano yenu ni JUU KWENDA CHINI,CHINI KWENDA JUU AU KULIA KWENDA KUSHOTO?
-analitazamaje tendo la ndoa (hii unaichek kimatendo yake zaid,unaona anahis ANATUMIKA,NI WAJIBU WAKE,ANAFURAHIA?wewe unaonaje pia UNAMTUMIA,UNAFURAHIA KUSHIRIKI NAE TENDO?

hebu jipe pumzi kufanya hii homework hii kwanza unaweza kuchukua kidaftar kidogo kujibu maana nafkir yana majibu marefu refu
-
 
Ahsante mpendwa.. Alikuwa anatumia kitanzi(kikwa kina mpa matatizo ya kupoteza mpangilio wa HEDHI) Kwasasa nilimshauri atumie na ana kama miezi sita tangu aache kutumia zazi wa mpango

imenijibu swali langu la pili!
cheki hayo mengine best!
uyajibu ile kwa haki na kikweli kabisa!
 
katika kipindi cha mahusiano yenu hajawahi kukutuhumu au kukuhisi unatoka nje ya ndoa?? je alishawahi kukukuta na msg au umekaa na mwanamke mwingine kihasara?
 
if that had happened to you couldnt you feel bad?speak from your heart put yourself under the person's shoes.
Mbona comment yngu hujibu mkuu? Sex is for bringing children why should you complain of yo wife whilst already u have a nice famly
 
Ahsante mpendwa.. Alikuwa anatumia kitanzi(kikwa kina mpa matatizo ya kupoteza mpangilio wa HEDHI) Kwasasa nilimshauri atumie na ana kama miezi sita tangu aache kutumia zazi wa mpango
Vuta subira tatizo limechangiwa kwa kiasi kikubwa na matumizi ya hizo dawa. Mpe muda na usimlaumu kwani kufanya hivyo atakuchukia na recovery haitakuwepo. Wandugu hizi dawa siziafiki hata mara moja bora tutumie njia za Wazee wetu.
 
Nakuunga mkono kwa hilo dada gfsonwin ila kwa uapnde mwingine pia kwa mimi nilivyoona maelezo yake nahisi hata kama mkewe anampenda lakini amegundua kuwa mumewe ni mpole na anampenda sana kwa hiyo ni kama kamuweka mkononi,labda ajaribu kuanza kuwa dismainder awe bize na mambo yake amwache kama alivyo,hiyo ya kumpigisha stori aipige chini,akimuuliza kitu ajibu kwa ufupi tu,ajaribu kama miezi miwili hivi afu aone matokeo,kama mambo yateandelea hivyo hivyo basi ajue kuwa kweli hapo hakupendwa,ila akiacha ajue kuwa lifestyle yake inamfanya mke amdharau na kumfanya amfanyie lolote kwa kuamini kuwa hakuna side effect ya jinsi anavyomtendea mume wake.

copy J Mbungi.

Back
Top Bottom