Mungu hapendi watu wanaoishi kwa shida na dhambi wanatenda.Pole brother ,Mungu akiwa upande wetu ni Nani aliye juu yetu,Bibilia inasema Hakuna.
Brother,endelea kuwa mpole na kuendelea kufanya majukumu Kama baba wa Familia.
Note.Endelea kumpenda mke wako vizuri kabisa mwisho wa siku,Mungu atamrejesha na huo uovu wake.
Kitu ambacho unateseka nacho ktk kipindi hichi unapoona mwanamke Hana utii Maana wanaume wengi wanapenda utii kutoka kwa wake zake.
Turudi kwenye maandiko ya Neno la Mungu kidogo.
23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
24 Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
26 ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;
27 apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.
Efeso5:------
Acha utoto kwenye mambo sirias. Pitilia mbali kama huna ushauri.Mkuu ulivyo kuwa unataka kuoa ungetupa taarifa ni muhimu sana
Maana tunaona kama hayatuhusu mambo yenu
Muwe mnatoa taarifa
Kuna mahusiano kweli shemeji kati ya kuto kula ujana na kutokutulia katika ndoaMkuu pole sana
Huyo mwanamke mapenzi yameshaisha kwako ndio shida za kutokula ujana enzi za usichana hizi ukiamua kuingia kwenye ndoa ushamaliza kila kitu unatulia na ndoa yako hakuna cha kukusumbua
Huyo sasa hivi anajiuliza alikuwa wapi siku zote hajakutana na raha hizo anajuta ata kwa nn aliolewa pole sana mkuu
Kuna mahusiano kweli shemeji kati ya kuto kula ujana na kutokutulia katika ndoa
Kama kupiga unapiga fresh mie hapo tatizo nililogundua ni ndinga nunu gari ya kutembelea mzee huyo mkeo ni mshamba na gari,hebu jaribu kufanya hivyo mkuiPole sana
Haswa MaradhiWejamaa unamoyo aisee hongera,fukuza huyo atakuketea maradh shauriyako
@BILGERT alileta uzi humu jeiefu...in short ni kwamba aliachwa solemba na mamsi aliyekuwa anamfeel kinomaIlikuwaje kwako??
Wanawake wanapenda badboys ,,,wakuwapelekesha pelekeshaDah kiukweli mie nina wasifu kama wa mtoa mada, nina moyo wa kusamehe sana na mzito kuvunja mahusiano ila too bad sie ndio aina ya vidume tunaosumbuliwa sana na wanawake! Unakuwa very gentle ila unapata mtu asiejua ana nini ukimuacha anakuja kulia lia very lately!
Ujue alitoka namtu ambae hamwamini alipata mashaka baada ya kudo nae take care lakinimkuu to be honesy kila nikifikiria hii road naumiaga sana na niombe niwe imara kwa hili
Kuna siku nilikuta vyakujipimia ngoma anavyo..niliishiwa pozi kumuuliza nilisubir tupo outing tukiwa tume refresh nikamuuliza angependa tukapime sote maana nilikuta kachukua hatua mwenyew maana sijajua kama either mimi nilisababishia ahofie au yeye tu mwenyewe aliniuliza umeaza lin kupekua vitu vyangu..nikachoka
Hapo umenena inamana moyo wake hauko nae Ila mwili upo nae so if possible let her goMwanamke akishakwambia muachane hutakiwi kuendelea nae.
Hapo umenena inamana moyo wake hauko nae Ila mwili upo nae so if possible let her go
Come again haujasomekaNaww ulishanwambia mtu hivi?!