Ndoa yangu ipo ICU !dah

Ndoa yangu ipo ICU !dah

tehe... mbona unamtetea sana? Usije ukawa teja lake. Yeye ndiye anayejua kwa nini anafanya vituko. Hayo mambo ya kuwa anafanya ujana kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa "mdogo"? Au wewe ni mkubwa sana kwake mpaka unakuwa na hisia hizo? Hakuna kinachohalalisha ubazazi katika ndoa ila kama unadhani anasumbuliwa na ujana basi mwachie nafasi; akimaliza na akili ikishamkaa sawa umpokee mwendelee. Ni uamuzi sahihi kama "assumption" yako ni sahihi.
Sijamtetea mku
Najaribu kumzumgumzia kwa upande wake ili watu wasione maybe ni one sided story
So nasema na mtazamo ambao unazunguka kauli zake
 
Naelekeza masikio yangu kwenye vyombo vya habari, maana kwa hali hii naweza sikia mtu kajipiga kitanzi Kora hill sababu ya mapenzi.
 
Daaah ....kuna wanaume mnapitia magumu!

Na huyo hawezi badilika mpaka yamkute yakumkuta!

Pole mkuu
 
Haya yanayotokea yanazidi kutuvunja moyo wa kuoa sisi wengine...

Pole Mkuu Fanya maamuzi kwa ajili ya afya ya mwili na moyo wako, am sure ipo siku atarudi akuombe msamaha


Haend mbinguni huyu mwanamke
 
Pole sana mkuu,najarbu kuvaa viatu vyako ila nna ona ww n mvumilivu na mwenye mapenzi sana na mkeo,,mm upendo kwa mwanumke umepita pembeni achana na huyo mwanamke hana upendo tena kwako yaan kwa nnayoshuhudia sintokuja kuingia kwenye ndoa
 
Pole sana mkuu,najarbu kuvaa viatu vyako ila nna ona ww n mvumilivu na mwenye mapenzi sana na mkeo,,mm upendo kwa mwanumke umepita pembeni achana na huyo mwanamke hana upendo tena kwako yaan kwa nnayoshuhudia sintokuja kuingia kwenye ndoa
usisemehe hivyo mkuu la msingi nikushika imani usije badilikiwa mbele ya safari ase
 
pole sana mkuu Inauma lakini huna jinsi.

Mtu akiwa mwema unajuwa na akibadilika pia unajuwa .
Ni wazi kuwa mkewe kashikwa masikio na mtu na kama umemshaur ila imeshindikana NDOA CYO KIFO ETI LAZIMA MZIKANE.

Itisha pande zote za wazazi mkae uwambie na kama anataka talaka basi muachane kwa uwazi.

Ila ipo cku tu utakutafuta maana anatema jojo kwa karanga za kuoteshwa.
 
Siku moja nikaenda Moro ghafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa Moro; nilimdunda hatari. Tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane yaani ndo ukawa wimbo.
Usipuuze hili neno, Fanyia kazi mapema.
 
Pole sana kaka yangu naomba tu ujitahd kukubaliana na hali ujue mambo ya kulazimisha huwa so mazur fanya mpango peleka watoto wako mwache aishi na maisha yake najua kuna mtu anamdanganya atamuoa amekengeuka kidogo wakat unamwachia uhuru huo usiache kumwambia kwamba anapotea njia kaz yako itakuwa imeisha endelea na maisha yako kwa aman
 
Pole sana ndugu kwa shida na uvumilivu wako.Ushauri wangu kama una ushahidi ya kuwa ana mahusiano mengine muache mara moja. Watoto kwa kuwa umri wao bado mdogo waache wakae na ama yao,ni mama yao hawezi wadhuru ni rahisi kupata madhara kwa mama yao wa kambo hata kama unaishi nao nyumba moja. Wakifika umri ambao wanajitambua unaweza kuwachukua. Ukiendelea na uvumilivu huo utakujashindwa na ukamuua ikawa shida zaidi
 
Mkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu
Sàsa wewe endekeza izo tabia zake akulete maukimwi ndani nakushauri kama unawapenda wanao achana na uyo mwanamke sasa maana ni mpumbavu kweli, fikiria duniani apa ni nan anawwza kuwapenda watoto wako kama unavyowapenda ww then waza ndo mmekufa zenu kwa ukimwi future ya watoto wako nan ataisimamia? Ebu chukua hatua saiv n do it for your kids man utawaepusha pia kujifunza au kurithi upumbavu wa mama yao, pita ivi na zote, yaan et mke wa mtu anagawa alaf unaita uyo mke ata bible imeandikwa aachwe tu kwa kuzini,hakufai tena uyo acha kulea hatar ni bora ww uwepo kuliko watoto wako wawe mayatima, watateseka saana huoni hawa yatima mitaan taabu wazazopata je ndo ivyo unataka watoto wako waishi maana nna uwakika ipo siku utauliwa kwa maradhi ausumu au vyovyote kisa unawazuia wazinifu kuzini na mkeo
 
Back
Top Bottom