Tom_Mbayeye
Member
- Aug 3, 2018
- 15
- 17
Hairisha tarehe panga Dec then wakabe koo hao marafiki zako watoe michango hakuna namna
Hawa ni lazima niwaalike na table yao hakiamungu naweka maji ya kandoro tu.
Hairisha tarehe panga Dec then wakabe koo hao marafiki zako watoe michango hakuna namna
Kwani ukishaoa utashare mkeo na rafiki zako?Habari zenu wakuu.
Natumai ndani ya huu mwezi nitajiunga rasmi katika lile chama la watu wazima (nachukuwa jiko) ili na mimi niweze kupata utulivu wa nafsi. Chakushangaza ni kwamba hadi sasa nimepokea mchango kutoka kwa friend mmoja tu, tena na yeye amenipa shilingi 35,000/=. Hivi tuseme marafiki zangu wamesahau michango niliyowapa wakati wa ndoa zao au ndo vyuma vimekaza? Ama ni vipi wakuu nyinyi ambao mmeshaowa michango mlikuwa mnapokea kama siku ngapi kabla ya harusi? Maana kwa kweli zimebaki siku chache mno na sioni sms ya tigo pesa, au naonekana mimi ni tajiri kutokana na muonekano wangu hivyo sihitaji sapoti.
FANYA HIVYO HIVYOOOO!!Mimi ni ndoa ni masjid
Mnapenda sherehe kuliko ndoa.Nenda kanisani funga ndoa wewe...tatizo mnapenda sherehe kuliko ndoa...na hii ndio chanzo cha wanaume kuendekeza uzinzi..
Sherehe sio lazima...
Nimewataarifu tu kw kuwapigia sim na text mssage cjatoa kadi. Na cjamwambia mtu kiasi cha kunichangiaKwanini lazima uwaalike na wanajua uliwaomba michango?
Au haukuwaomba na zile hata barua sijui kadi mnatoa kuombea michango?
kwa vile zangu walizitumiaMmmmmh
Umeandika kama vile hao waliletwa duniani kuwa lazima pesa zao azitumie kwa harusi yake.
HATA MKE UNAYEMUOA HATATENDA SAWASAWA UNAYOMTENDEA!!kwa vile zangu walizitumia
Ivi cheti cha ndoa kina gharimu bei gani?hio pesa hata cheti cha ndoa hupati labda wilayani
Tena unapata na boda boda juuDah....eti Jana nimeungwa kwenye kundi LA sherehe ya ndoa ya 65m...
Nimecheka usiku kucha....hiyo bajeti haiwezi kujenga zahanati kule ikwiriri kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23]