Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,454
- 25,168
Hongera sana hakikisha unawapenda kwa usawa bila kuzidisha upande wowote...... Hope wanaishi kwa amaniKwani mkuu hujawahi kuona zeshchriss ??
Mimi ni Mzee wa zamani[emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera sana hakikisha unawapenda kwa usawa bila kuzidisha upande wowote...... Hope wanaishi kwa amaniKwani mkuu hujawahi kuona zeshchriss ??
Mimi ni Mzee wa zamani[emoji3][emoji3][emoji3]
Nitazingatia ushauri wako, ila panapo majaaliwa unakaribishwa kuja kujifunza kwa hawa Bibi zako namna wanavyofurahia maisha ya uke wenza😀😀😀😀Hongera sana hakikisha unawapenda kwa usawa bila kuzidisha upande wowote...... Hope wanaishi kwa amani
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nitazingatia ushauri wako, ila panapo majaaliwa unakaribishwa kuja kujifunza kwa hawa Bibi zako namna wanavyofurahia maisha ya uke wenza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kafunge ndoa asubuhi saa 12 Ukimaliza Nenda kazini sio lazima sherehe, kama unaogopa aibu Gharama yote kwako tuje tuleHabari zenu wakuu.
Natumai ndani ya huu mwezi nitajiunga rasmi katika lile chama la watu wazima (nachukuwa jiko) ili na mimi niweze kupata utulivu wa nafsi. Chakushangaza ni kwamba hadi sasa nimepokea mchango kutoka kwa friend mmoja tu, tena na yeye amenipa shilingi 35,000/=. Hivi tuseme marafiki zangu wamesahau michango niliyowapa wakati wa ndoa zao au ndo vyuma vimekaza? Ama ni vipi wakuu nyinyi ambao mmeshaowa michango mlikuwa mnapokea kama siku ngapi kabla ya harusi? Maana kwa kweli zimebaki siku chache mno na sioni sms ya tigo pesa, au naonekana mimi ni tajiri kutokana na muonekano wangu hivyo sihitaji sapoti.
wacha nicheki itakuajeKafunge ndoa asubuhi saa 12 Ukimaliza Nenda kazini sio lazima sherehe, kama unaogopa aibu Gharama yote kwako tuje tule
Apo umenipa ushauri mzuri nipambaneMzigo utaenda Kula mwenyewe komaa kianaume. Kuomba ushairi jf haina msaada
Siku zote mtegemea cha nduguye hufa maskini. Funga ndoa kanisani alafu weka sherehe ndogo home. Life continues watakuja kuomba michango kwako.Apo umenipa ushauri mzuri nipambane
Ndoa mm ni mskitini mkuu. Thanks kwa ushauri na kujitia moyoSiku zote mtegemea cha nduguye hufa maskini. Funga ndoa kanisani alafu weka sherehe ndogo home. Life continues watakuja kuomba michango kwako.
Tena waislam wengi hawanaga complication za masherehe makubwa. Tena kama ni muislamu simple . Maliza mambo msikitini finish ajanza kujenga life .pia watakuwa wamekupunguzia mzigo wa kutoa michangoNdoa mm ni mskitini mkuu. Thanks kwa ushauri na kujitia moyo
Unataka tukuchangie na mke utatupa tuchangie yaan raha upate wewe pesa tutoe sisi
Akili mbovu una umri gani !!?kumchangia mtu afanikishe sherehe hadi uchangie na mke wake?Unataka tukuchangie na mke utatupa tuchangie yaan raha upate wewe pesa tutoe sisi
Sidhani kama umri wangu una msaada wowote kwako yeye kama kapanga kuoa ilitakiwa ajipange hayo ya michango ni ziada tu maana mchango ni hisani ya mtu na si lazimaAkili mbovu una umri gani !!?kumchangia mtu afanikishe sherehe hadi uchangie na mke wake?