Ndoa yangu haina amani

Ndoa yangu haina amani

Simama kama mwanaume,nguruma ndani kama simba; heshima itarudi
 
km ww biashara yako iliyumba na yake inaweza yumba any day, najua unajickia vibaya ila jikaze usikimbie home acha udhalilike ila komaa hapohapo wakati unaendelea kujipanga...ila mkuu punguza upole yaan ww ndio ulipiga mishe zako zkanyooka ukamuwezesha yy afu leo hii yy ndio wakukuelekeza kuwa hii biashara haifai funga nawe unakubali kweli!!!!! kimsingi huyo mkeo keshakusoma so anajua huwezi sumbua tena na hio slogan ya naogopa wanangu watapata shida ndio wanaipenda kweli maana hapo atatumia hio km ngao kukuyumbisha atakavyo, kuna mwana humu alileta issue km yako ila yy akaamua kukomaa hapohapo home baadae akapata mchongo akainuka tena maisha yakaendelea,
 
Hongera kwa kuvuka kiunzi nami naamini nitavuka.

Niliwaza kama wewe pia kuna mtu wa karibu anaweza nikopesha kaniambia mpaka mwezi wa 10 tarehe za katikati .

mm nilitaka asinione ili ajue tofauti nikiwepo na nisipo kuwepo

ikishindikana maisha yakitengamaa naoawa wa pili
hio ndio mistake wengi tunafny makosa, yaan mwanamke akifny kitu unachukulia labda kfny sababu ajajua vzuri umuhimu wa uwepo wako, ndugu yangu wanawake ni timamu kabisa km sisi na akifanya kitu ujue anajua nn anachofanya, hii changamoto ni km Mungu kakuonesha ni jinsi gani mtu huyu uliemuamini sana alivyo, ondoa kabisa huo mtazamo wa kufanya kitu flan ili ajue tofauti ya ukiwepo na usipokuwepo haitokusaidia chochote, km unafikiri kuwa haelew anachokfnya unakosea sana. anapata wapi power ya kukuamulia kuwa ufunge au usifunge biashara wakati ht hio yake we ndio ulimuonesha nuru? yaan umempa nafasi ya kukuamulia mambo yako afu yeye hakuruhusu ww kuamua chochote kuhusu yakwake bro hii ndio mistake kubwa uliofanya, ila nakuombea utakaa fresh tu braza
 
Ushauri wako umeuvuruga hata anaeomba ushauri hawezi kujua achukue lipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akiamua kukunyanyasa utatamani ardhi ipasuke uingie .pole yatapita ila ujifunze sasa kwamba unaishi na adui ndani.
kabisa mkuu, kwa nilipofikia tusipo achana haji kurudia tena
 
Nenda mkuu, kama unakuja huku nilipo nitakupa accomodations kwa miezi sita
wapi huko mkuu na kuna kazi gani?

sipendi kukaa bila kazi hata wewe utanichoja na kuniona mzigo
 
Kuna wale wanawake waajiriwa wa mama samia na wewe ukute kazi zako ni za kusimama simama, sasa maliza siku kazi haieleweki ndo utajua mwanamke alivyo.

Mwanamke sio mtu wa kumtegemea sana, hasa ukiwa katika hali tete mke hata awe na ajira yake, yupo radhi akatoe mchango wa 300k wa harusi ww asikupe kitu hata kama unauhitaji na kile unachokitafuta ni cha kwenu wote. Hela ya kwake ni yake ila ya kwako ipo kwenye bajeti ya matumizi, kula mavazi na kila kitu.

Laiti kama wanawake wangekuwa wao ndio wanaume na sie tukawa wanawake, tungeishi kwa shida sana humu duniani kwa hiyo mioyo yao ilivyo.

Ndio mana mwanaume mwenye tabia za kike kike huwa ni mtu mbaya sana
Hii comment inatakiwa iongezwe katika ubeti wa wimbo wa taifa ili vizazi na vizazi viukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akiamua kukunyanyasa utatamani ardhi ipasuke uingie .pole yatapita ila ujifunze sasa kwamba unaishi na adui ndani.
Ni kwasababu unaruhusu. Hata mimi nikija na kisu hapo nikawa nakukata nacho the more unanitumbulia macho the more utaumia na kupata majeraha makubwa.

Ila ukiact on time nimekukata kwa mara ya kwanza ukanidhibiti hautapata maumivu na majeraha makubwa. Jifunze jambo moja kwenye maisha, kuwa humble sio kibali cha watu kukuchezea sharubu au kukufanya wanachotaka.

Unatakiwa kuwa na standards. Sio mtu anakwambia ufanye au umfanyie jambo ambalo ni nje ya uwezo wako hata ujitutumue vipi unajikuta unapata shida kufanya ili aridhike.... Noooo. Mwambie hii nitakufanyia hii ipo nje ya uwezo wangu, akikataa mwambie akuteme.....

So hata mahusiano ukiona mwanamke kaanza kukupanda kichwani kukuletea tamaa za kijinga, mfungulie njia mwambie usinikaushe damu bure nenda huko unapoona pana faa na utapata zaidi mimi nimefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuvuka kiunzi nami naamini nitavuka.

Niliwaza kama wewe pia kuna mtu wa karibu anaweza nikopesha kaniambia mpaka mwezi wa 10 tarehe za katikati .

mm nilitaka asinione ili ajue tofauti nikiwepo na nisipo kuwepo

ikishindikana maisha yakitengamaa naoawa wa pili
pambana mkuu naamini pia ndio njia yako ya mafanikio bila changamoto maisha hayaendi pambana tena pambana sana ,kwangu mimi nachkua mfano wa nelson mandela kasamehe vita vyote ila ya mapenzi hakueeza kama shida ya yote ni mwanaume mwenzio amechkua nafasi anza sifuri maana sifuri ndio namba yakuanzia
 
Kuna vitu vinatia hasira kweli, yaani anasema sipiki ya ww unajilaza kisa mwanamke kakuzidi kipato unanyenyekea asije kukufuza nyumbani, be a man bro act like husband. Ntakuja kuua mtoto wa mtu
 
Back
Top Bottom