Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,735
- 4,762
Mambo hayadumu ya staili hiyoSijafikiria kuoa kwa sasa ila kwa kuwa na demu tu napenda awe msela sana tuwe kama marafiki tunda unakula na ushkaji kunakuwepo napenda sana
I miss you Zainab
Mambo hayadumu ya staili hiyoSijafikiria kuoa kwa sasa ila kwa kuwa na demu tu napenda awe msela sana tuwe kama marafiki tunda unakula na ushkaji kunakuwepo napenda sana
I miss you Zainab
Forever gani hiyo?Ndoa haijavunjika ila wao ndo wametengana!
Sio Kwa wakristo tu but hadi Kwa waislamu
Once mmeapa kuwa mke na Mume na watu wakashudia hata mahakama iwatenganishe nyinyi bado ni mume na mke forever
๐๐๐๐๐๐๐ unalia nini sasa๐ฟ๐ข๐ฟnimelia sana mkuu baada ya kuona jamaa alikua anajmba usiku
si hvo anavojamba mkuu aibu hyo๐๐๐๐๐๐๐ unalia nini sasa
๐๐๐๐๐๐si hvo anavojamba mkuu aibu hyo
ROMAN CATHOLIC (RC) hiyo waachie warumi sio kweli ni TANZANIA CATHOLIC (TC) ndio yetu tzMkuu harusi yao ilifana, MC kalipwa pesa kibao, Sendoff na mizawadi kibao
Ndoa imefungwa ROMAN CATHOLIC, lakini yote tisa iko chali!!!
๐Mmh.
Sawa endelea kutafuta wa hivoLabda kwako
Ndo mana sitoagi michango mmHapa wanaoumia zaidi ni wale waliotoa michango mkuu
Wewe mpk mwaka huu ukaishe utakuwa umekufa kwa kulia, maana kila mada inayoandikwa kwenye hili jukwaa inakuliza.aisee ninelia sana
Wewe mpk mwaka huu ukaishe utakuwa umekufa kwa kulia, maana kila mada inayoandikwa kwenye hili jukwaa inakuliza.aisee ninelia sana
Khaaa jambo ambalo halijaonekana kwa miaka 8....hahahhah sijui ni mchawi? Au anafuga jini humo kwakeHadi mwanamke akatae kabisa kurudi, hapo kuna jambo zito la aibu ndio maana hawaongei.
Pole, shida nini mkuu?acha tu mkuu nina masikitiko leo acha nilie
Hapa itakuwa mwanaume kakutwa ana mke mkubwa.Hadi mwanamke akatae kabisa kurudi, hapo kuna jambo zito la aibu ndio maana hawaongei.
Mke wa sasa wa bro wangu ndoa yake ya kwanza ilidumu siku 2Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.
KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!
Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize ๐?
Inawezekana sana.Khaaa jambo ambalo halijaonekana kwa miaka 8....hahahhah sijui ni mchawi? Au anafuga jini humo kwake
Hilo la kwanza mbona linasemeka tu, ila la pili hiloooooo๐๐๐๐๐Hapa itakuwa mwanaume kakutwa ana mke mkubwa.
Ama kama siyo hivyo mwanaume kabainika ana bwana wake.
Kwahiyo mambo yakiwa hivyo ndio uhakika wa ndoa kudumu?Mkuu harusi yao ilifana, MC kalipwa pesa kibao, Sendoff na mizawadi kibao
Ndoa imefungwa ROMAN CATHOLIC, lakini yote tisa iko chali!!!