Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.

KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!

Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize ๐Ÿ˜€?
Mke wa sasa wa bro wangu ndoa yake ya kwanza ilidumu siku 2
 
Back
Top Bottom