Ndoa ya Mchina na Mbongo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,856
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
 
mbona kuna wachina wanapata huo ..... kila siku tena dozi mala 4,uyooo mwongo,jamaa aendelee kumpa kitu cha nguvu atabadilika tu
 
huyo rafikiyo njunji anaomba ndo maana....tengeneza mazingira uone kama sio kila siku pilau
 
kuna kipindi kila wakienda out kwenye migahawa ya kichina, binti akawa anakutana na wenzake, wakianza kuongea kikwao yanapita zaidi ya masaa matatu ndipo binti anamkumbuka mshikaji kwa kumuuliza viswali viwili kisha anarudi tena idhaa ya Beijing.
Kuna siku jamaa akamleta kwenye baa za uswahilini, wacha tumuweke binti pending...
Sasa wamekubaliana wakitoka hamna kukutana na marafiki
 
Ndio avumilie sasa, ameacha wabongo wenzake kaenda huko mwenyewe hakulazimishwa, ndoa nyingine bana hapo anajitafutia balaa tu, coz lazima atatafuta mwanamke wa pembeni
 
Huyo mchina inabidi afuate tu desturi za kibongo,kila siku dozi mwendo moja
 
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
nawe kama co umbea mkuu,mambo ya wa2,tena ya faragha,we umeyajulia wap jaman?
 
buji, kwani we ulijuaje kuwa wachina uroda ni mara moja kwa mwezi?
 
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
Bujibuji mshauri jamaa yako ajitahidi ili mchina aadopt utamaduni wetu, mchizi aendelee kumbana hivyo hivyo. Amweleze wazi huyo mchina kuwa amevunja mwiko kwa KUMPENDA MTU ASIYE NA WOWOWO, WA'AFRIKA TUNAPENDA WANAWAKE WENYE VICHUGUU, Mchina hana so asiwe mbishi!
 
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.

Jamaa ako anasema kweli au anatania...maana mie navojua wachina wanapenda acha....tena mpaka mwenyewe utakimbia..uliza waliokaa china watakwambia...kuhusu tamaduni ni kazi mtu wangu, kama jamaa hajakaa China itakuwa kazi sana tena kazi anayo.....
 
kuna kipindi kila wakienda out kwenye migahawa ya kichina, binti akawa anakutana na wenzake, wakianza kuongea kikwao yanapita zaidi ya masaa matatu ndipo binti anamkumbuka mshikaji kwa kumuuliza viswali viwili kisha anarudi tena idhaa ya Beijing.
Kuna siku jamaa akamleta kwenye baa za uswahilini, wacha tumuweke binti pending...
Sasa wamekubaliana wakitoka hamna kukutana na marafiki

dah umenchekesha we kaka jaman...!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom