Ndoa ya Mchina na Mbongo

Jamaa ajiandae vyema. Akipiga nje mchina wake akajua ni balaa tupu. Atawatafuta marafiki wake wa karibu ili awape uroda na atakwambia wazi kuwa rafikio kanila uroda ili ukasirike.
 
kuna kipindi kila wakienda out kwenye migahawa ya kichina, binti akawa anakutana na wenzake, wakianza kuongea kikwao yanapita zaidi ya masaa matatu ndipo binti anamkumbuka mshikaji kwa kumuuliza viswali viwili kisha anarudi tena idhaa ya Beijing.
Kuna siku jamaa akamleta kwenye baa za uswahilini, wacha tumuweke binti pending...
Sasa wamekubaliana wakitoka hamna kukutana na marafiki

Ajifunze kichina tu.
 
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.

Hiyo siyo kweli..na sio utamaduni wa wachina,.. Nimeishi na kufanya kazi China kwa muda najua hilo..
 
Back
Top Bottom