Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Siyo kuwatisha na inawezekana wa kwako akawa vizuri tu na ukadumu naye, ni sawa na mtu akisema Sumbawanga kuna wachawi haina maana kila mtu wa sumbawanga ni mchawi unaweza kuta wachawi ni asilimia 5 au 10. Ndivyo ilivyo kwa wanawake wa kinyakyusa, hasa mnyakyusa aliyekulia kwenye jamii ya wanyakyusa ukitoa hawa wanyakyusa wa Dar.
Mnyakyusa hanaga inferiority complex, anajitutumua na kujiona bora kuliko kitu chochote. Huo mfumo dume wa wanawake wa mbeya ni ile kujiamini sana na kujiona anaweza, sasa akizidisha mwanaume hatakubali kuwa chini ya mwanamke. Kujiamini na kujisikia kukizidi ndiyo kiburi na dharau zinazaliwa. Sasa ukimkuta mlokole ndiyo hicho kiburi cha uzima kila mtu anamuona hana Roho Mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asikudanganye mtu sumbawanga wote ni wachawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe humjui Martha Mwaipaja.Pichq Iyo imetokea vibaya tu.Kati Ya waimbaji Bomba kwa sura Na shepu Ni Martha kama huamini tembelea page yake ya Insrao @marthamwaipaja.Dada Ni mrembo kupita maelezo.Hiyo Picha yaelekea aliyepiga alitumia techno whatever
Ana sura ngumu...kama siku ya harusi ndio kapigwa make up lkn bado muonekano ndio huu.


Samahani lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada alikuwa muumuni wake.Mana Baada ya kutengana Martha Na Huyo Baba mchungaji kila MTU alifungua kanisa lake.Huyu Baba akibaki Ba waumini wake Na wanaomkubari Martha wakahamia huko.I think Tabata.Chanzo cha mgogoro Na hatimaye kuvunjika kwa ndoa.Inasadikika mume alianza kuwatamani wana kondoo wake Na martha Mara kadhaa kumfuma.Dada wa watu akiimba nyimbo za mialiko akilipwa Pesa anapeleka kwa Bwana ili kanisa lao likue bwana Handsome boy anahonga.Martha anaona bora nikimbie.(chanzo Rafiki wa karibu Na Martha)
Inasadikika Martha Mwaipaja kaachana na mumewe

Kisa cha kuleta huu uzi ni kuelezea ninachokiona kwa waimbaji wa Muziki wa Injili hasa hawa wa kike.

Kadri mwanamke anavyokuwa na Jina kubwa ndivyo anavyohisi hawezi kuwa chini ya Mamlaka ya mtu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom