Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Kuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujue kama umejitwika bomu ipo siku litalipuka tu hata ukilishikilia kama yai....wanaume hawanaga shukrani, ukifanya hili wanatamani lile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ntatongozaje sijamuona ? weka picha mkuu, utakua umesaidia wengi
Hiyo hapo
martha-na-john.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom