Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

unafkr!
Usimuulize habari za ilikuwaje sijui mbona yu guys seemed to be so perfect with each other!
WEEEEEEEEEEEEEEEH BANA WEWE!
Agiza mkia mnene ule wa juu ule! kuleni agiza kilauri kunyweni
Baas!
Zungumzieni hata Ubuyu wa babu Issa ulivyo mtamu.
Kwakweli.
 
Alafu kuna wimbi la hawa waimbaji kutumia umaarufu wao kufungua huduma! Mambo mengine inabidi uwe kichaa kidogo kuamini! Shusho anayo huko Manzese na Martha nimeona anatangaza pia akisema mhubiri ni yeye mwenyewe!! Simple like that!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine hawa waimbaji na wtumishi wanatukwaza sana na hata tunafikia mahali tunamkosea Mungu kupitia wanayoyatenda. Mungu atunusuru kwa kweli
 
Daah nikiwaza kuhusu hizi dini hasa ukristo ndio napoamini kuwa hakuna moto ule wausemao sema blabla tu za hadithi za waizilaeli
 
Kwa hiyo unataka kutuambia amekuwa mpira wa kona....kila anayeuwahi anatia kichwa golini!!...hatar sana
 
Inasadikika Martha Mwaipaja kaachana na mumewe

Kisa cha kuleta huu uzi ni kuelezea ninachokiona kwa waimbaji wa Muziki wa Injili hasa hawa wa kike.

Kadri mwanamke anavyokuwa na Jina kubwa ndivyo anavyohisi hawezi kuwa chini ya Mamlaka ya mtu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then hatakiwi kufanya mapenzi hadi mumewe afariki,kama akifanya mapenzi na mwanaume mwingine na ingali mumewe walieachana yupo hai then atakuwa anazini mbele za Mungu,so atakuwa mzinzi anayemuimbia nyimbo Mungu! what a shame,
The same goes to Frola Mbasha na wengine wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom