Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Kwani huyo mtalaka wake alokuwa mumewe ni kabila gani?

Kwani nae Mnyaki?

Maana nimejaribu kukumbuka ule uzi wa wanawake wenye asili ya mkoa wa Mbeya sifa zao kwenye mahusiano.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom