Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Unajua wengi wanaenda kwenye ulokole baada ya kupigika huko duniani, lakini walioanzia humo hawana shida hizo wewe fanya utafiti utasikia nimezunguka sana kwa wataalamu mara kwa babu sasa ulokole na wataalamu wapi na wapi, unajua hata waoaji wakilokole wanachumbia wanaofahamiana nao humo humo sio umetoka huko eti unakuja kutafuta mme kwa walokole utaishia kuimba mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ni mfundaji kama waswahili wengine tu. Sasa unasema msimpe shetani nafasi, wakati hujui hata misingi ya ndoa ya kikristo. Unachofundisha hakina msingi wa Kristo wala hakukufanyi ufurahie tendo la ndoa, ni upofu tu wa kiroho. Unahitaji kumpokea Kristo maishani mwako.

2 Wakorintho 4
ยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏ
ยณ Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
โด ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.


Amina.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Nyie walokole wa sasa mnazama chumvini??
Mnaongea dirty talk kumfanyia mwanaume asimamishe?!
Mnafanya doggy style?!
Mnfanya chumbani Tu au mpaka na jikoni??
Naomba majibu plz
Au mnaingiliana nyuma?
.... and the list goes on.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Leta mstari unaosema estther alikua ana onyesha mapaja kama hayo yako.

Usilazimishe maisha yako yawe ya wengine.. kama wanafurahia ndoa zao wewe inakuhusu nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unasakama sana walokole..? Shida yako nini? Si waache wateseke? Mbona wao hawana muda na issue zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!

Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi

Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi
LIKUD hufai......Eti gauni linaitwa YESU NI MWAMBA...
 
Wanashukuru wapi?!
Woi labda kanisani kwao ili sadaka zitolewe lakini ukweli WA Mungu angeshuka Mungu akaweka bayana ukweli WA Mambo, ungewapigia makofi wenye dhambi wenye ndoa zao

Me nakwambia walokole tunakutana NAO huku kwenye misele, disko, 5stars hotel wametoka kudunya mademu WA watu tena vitoto vya Miaka 25 mpaka 26, Ila MKE hajui anamshukuru Mungu Kwa ajili ya mumewe na kujitamba mume wangu mzuri, ananipenda, hachepuki, mwisho wa siku wanakuja kuletewa watoto wa nje washakuwa wakuubwa wanasoma vyuo vikuu

We anti embu ongea practicability na sio theory, utachekwa na Jamii
Cc: Bujibuji Smart911 KENZY kabanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ