Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Kwahiyo nyinyi walokole wa zamani ndo mliambiwa muwe mnavaa ile miwani mikubwa kama dalali wa ng'ombe..??😂
 
Kwahiyo nyinyi walokole wa zamani ndo mliambiwa muwe mnavaa ile miwani mikubwa kama dalali wa ng'ombe..??😂
Walokole WA zAmani walikuwa wanavaa miwani wanaitoa wap sasa?!
Embu kuwa serious basi we mtoto, sie tupo serious wewe unatu-ektia?! Mxiuuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…