Tetesi: Ndoa ya Azam tv na serikali kupitia chanel ya azam 2 hawarushi taarifa ya habari na wao hawarushi LIVE matukio ya serikali

Wamefuta ITV,CLOUDS,STARTV,EATV,TVE,DIZZIMTV,CHANNEL10 n.k Nimeshangaa imejiupdate yenyewe halafu hazimo hizo channels
 
Leseni walionayo haiwaruhusu kufanya live Broadcasting kwa hapa Nchini, leseni yao ya urushaji wa matangazo ya moja kwa moja haikuwa ya hapa Tanzania.

Sijui kama umeelewa.
Kufanya bihashara Tanzania ni ngumu sana. Mambo ya kisiasa yanaingilia vitu vingi muhimu sana.
 
Back
Top Bottom