Tetesi: Ndoa ya Azam tv na serikali kupitia chanel ya azam 2 hawarushi taarifa ya habari na wao hawarushi LIVE matukio ya serikali

Azam walitakiwa wawe wazalishaji wa vipindi kwa hapa Tanzania ila leseni ambayo ilikuwa inawapa ruhusa ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ilikuwa ya nchi nyingine.

Kuna uzalishaji wa vipindi na urushaji wa vipindi moja kwa moja, vitu hivi ni vitu viwili tofauti.
Kwaio Live Broadcasting ya taarifa ya habari kipindi cha nyuma wakati wanarusha habari ilikua wapo kwenye kipindi cha maangalizi au
 
mbona mpira wanaonesha live? Au unamaanisha nini kwenye live broadcasting
Uliwahi kuona tangu toka waanze kurusha vipindi vyao kwenye App kuna siku mtangazaji ameingia kurusha matangazo ya moja kwa moja "Live Broadcasting" kwenye TV?

Hata haya matangazo ya Mpira Wachambuzi ulikuwa unawaona Studio kama awali?
 
Kwa hiyo watarejea kama kawaida wakirekebisha hilo tatizo??
 
Hata kama hawana leseni ya hapa nchini ya kurusha matangazo live si wapewe tu jamani.. Kuna mkono wa mtu nahisi..
 
Huko katika app yao taarifa ya habari ipo kama zamani??
Ndio kutumia App sio kosa ila kwa Television walitakiwa kurusha matangazo ya moja kwa moja kutoka kwingineko sio hapa Tz. Nadhani ni Mauritania kibali chao kilikuwa. (NADHANI NI MAURITANIA) NADHANI!
 
Jamani mpira upo palepale watu watatazama.

Ila uendeshaji wa vipindi hautaweza kwenda hewani kupitia TV duh.
Uliwahi kuona tangu toka waanze kurusha vipindi vyao kwenye App kuna siku mtangazaji ameingia kurusha matangazo ya moja kwa moja "Live Broadcasting" kwenye TV?

Hata haya matangazo ya Mpira Wachambuzi ulikuwa unawaona Studio kama awali?
Azam walitakiwa wawe wazalishaji wa vipindi kwa hapa Tanzania ila leseni ambayo ilikuwa inawapa ruhusa ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ilikuwa ya nchi nyingine.

Kuna uzalishaji wa vipindi na urushaji wa vipindi moja kwa moja, vitu hivi ni vitu viwili tofauti.
Ndio sheria mpya ya tcra kwa vyombo vya habari ktk kusajiri upya na kupitia leseni ? Nimekuelewa Mkuu
 
Mkuu kwani huko kwenye APPS si ni taarifa ya habari au uko wanaonyesha maigizo ya max na zembwela.
 
Leseni walionayo haiwaruhusu kufanya live Broadcasting kwa hapa Nchini, leseni yao ya urushaji wa matangazo ya moja kwa moja haikuwa ya hapa Tanzania.

Sijui kama umeelewa.
Nimekuelewa Mkuu. Shukrani sana. Na LIKE nimekupa! Nilidhani kwa kuwa wanamsifia JAMAA, basi hata kama hawana licence, wangepeta tu, yaani kama TWAWEZA vile...! Wakisifia.....!
 
Back
Top Bottom