Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Wanasema ukiona unafanya jambo lile lile na unapata matokeo yale yale
basi jaribu kufanya kinyume chake

Kuna aina ya watu 'ukiwadekeza tu umewaharibu'
watazidi kukuletea utoto hadi ushangae

dawa yake ni wewe ku sit back and do nothing..

akinuna usimuulize kitu...shika remote control and ignore her...
The Boss kwenye ubora wako
 
Last edited by a moderator:
Kuoa ni jambo zuri ila kutokuoa kwa ajili ya Mungu ni jambo zuri zaidi
Pole kwa majaribu ila usikate tamaa
 
Mkuu hapa ndiyo umegusa pointi. Ningekuwa namke mwema tangutuoane nadhani huenda kazi ya Mungu kupitia utumishi wangu. Niko wild sana kwenye huduma nikiwa gifted sana na huduma nyingi, preaching, neno la maarifa, neno lahekma, intersession, healing n.k lakini ndo hvyo nimepambana mno na hili lakini naona halifikii hali niitakayo. Nasali madhehebu ya kiroho (Penteçostal)

mm ni mchungaji nipo ktk huduma ya "mlima wa neema" shetani amejua changamoto zote ungeweza kuzshinda lkn ametumia iyo ili ukiingilika uchepuke aharibu kusudi la mungu ndani yako. kumbuka adui ni yule ambaye amesisma kwny njia yako ya mafanikio na hapo hata ni mzazi lazma apigwe lungu, unaabudu pentecoste ipi kwa chessa???
 
kwanza hapo tuanze na uhalali wa ndoa yako mkuu..huyo mwanamke kama mume wake wa kwanza yuko hai basi hapo ndoa yako ina uwalakini mtumishi...kama mkristo na mtumishi wa Mungu makini usingeweza kufunga ndoa na mwanamke ambaye bado "ana mume

"
 
mm ni mchungaji nipo ktk huduma ya "mlima wa neema" shetani amejua changamoto zote ungeweza kuzshinda lkn ametumia iyo ili ukiingilika uchepuke aharibu kusudi la mungu ndani yako. kumbuka adui ni yule ambaye amesisma kwny njia yako ya mafanikio na hapo hata ni mzazi lazma apigwe lungu, unaabudu pentecoste ipi kwa chessa???

Mimi ni FPCT mkuu! Nipe muda nizungmz3 na kanisa kwa habari a imani.
 
umemuendekeza mwenyewe. jaribu kumuonesha ujeuri na mdharau pindi awapo na hizo dalili. usimbembeleze Kama ulivyozoea. atakupanda hadi kichwani. badilika within one WK utaona. hata mi nilikua hivyoooooo
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Wakati nasoma nimeona tatizo lipo pia ktk jina kama baadhi ya wadau walivyojadili hapo mwanzo, hii inaonesha umekua mtu wa kujitamkia mabaya tu na hili ni tatizo. Hayo maisha tayali umeyapata cha msingi ni kusonga mbele tu na si kukata tamaa na kujiita majina ya ajabu ajabu, kinywa chako kinaweza kukutendea muujiza. Hebu jiite NEEMA2015, halafu utatuletea majibu hapa.
 
hakuna mapepo wala mdudu. mazoea tuuuu!! inaonesha pia nawe mkuu una mapungufu. haiwezekani afanye vituko vyoooote. upo tu unabembeleza. unazijua wickness zako. au?..............?
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

pole sana kaka! cha kukushauri mimi kutoka na maelezo yako umejitahidi sana kumweka sawa lakini imeshindikana, inaonekana huyo mwanamke ndio tabia yake ndiyo ndoa ya kwanza ilimshinda. wanawake kama hao wapo sana wanachoweza kuishi wenyewe hawajui thamani ya mume,na wew kosa lako inaonekana ukupata muda wa kumchukuza kabla ya kufika maamuzi yakumuoa kwahyo achana nae na uanzishe maisha yako tu vingnevyo utakufa mapema kwa mawazo,
 
mtimue, very simple :smow:, kipindi cha kulilia wanawake kishapta hawasomeki kabisaaaaaaaaaaa, wanawake kibao kaka mkubwa, kuwaza kujiua ni utoto, ana nn cha kuwashinda akina miss chagga, preta na vitaimana? atembee mbele
 
Mtumishi pole ma majaribu makubwa.

Kosa la kwanza lilikuwa wewe ku fast track ndoa
Kosa la pili kuoa mtu aliyeachika bila kufanya background check. Huenda hayo ndio matatizo yaliyomfanya aachike
Kosa la tatu ulioa sura na si mke
Kosa la nne ni kuendelea kuamini kuwa huyo mke ndio atakutimizia ndoto zako na hakuna mwingine zaidi yake

Mtumishi
Chukuwa maneno haya. Unapoteza muda wako wa maana. Amka hapo ulipoanguka, jikung'ute mavumbi, pangusa machozi na songa mbele.

Wewe si wa kwanza, wala hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho.

Nakutakia kila la kheri katika kufanya maamuzi magumu
 
Shukrani
 
The Method of Deduction states that.."when all things have been decided as impossible, whatever remains should be possible, no matter how improbable it is"

kwa maana hiyo basi yooote ambayo umeyafanya hayajabadilisha hali hiyo, so la kufanya ni doing the opposite

sala na maombi hayo ni ceteris paribus
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Majaribu2013,

Pole sana. Yawezekana hakuna cha mapepo wala ndg yake na mapepo. Yawezekani ni:

1. Mkeo mjamzito! Ujauzito mwingine bwana, wa ajabu sana! Mke anakuchukia mpaka unatamani kuhama mji...hahahaha. Chunguza.

2. Yawezekana hutambui hisia zake. Ama humsikilizi, au humtimizii tendo la ndoa vizuri, au huwajali ndg zake, au hupendi kwenda anakotaka, au unakuja muda unaotaka ambao yeye hakubaliani nao, au unajazia wageni ambao anashindwa kuwahudumia, au ndugu zako, nk! Chunguza.

Kumbuka kila shilingi inasehemu mbili.
 
Ndoa ina mapito yake!! Ndo maana wanasema ukubwa dawa. Mie yangu mapito yalianza mwaka 2008 yakaisha 2014; miaka 6, naam miaka 6!! Hatimaye yaliisha. Jipe moyo hayo yataisha. Miezi 9 bila intimacy ni mingi na inachosha mwili. Ila bwana unayemuamini katika roho na kweli hataacha uanguke.
Hakikisha afya yako ya mwili iko safi kwa kula vizuri matunda na mboga kwa wingi Kisha fanya mazoezi Ya kimwili ili uimarishe afya yako ya mwili. Siku akikutaka hata kama kisaikolojia huko safi, Ila kama kimwili na kiroho uko safi hutashindwa. Si mapepo wala roho chafu; hayo mapepo na roho chafu kwako yanatetemeka. Ni mabadiriko ya kawaida binadamu wote hupitia. Hapo bado ni kipindi kifupi tu. Kwa kuwa wewe ni mtu wa roho, unatakiwa usiwe na wasiwasi, Mungu unayemuamini anajua na anaweza. Jenga sasa mwili kwa mazoezi na vyakula bora. Kwa kuwa wewe ndo huwa unakosa hamu naye sababu ya tabia zake, jijenge kkimwili. Tembea kilomita kumi kila siku kwa siku tano kwa wiki.
 
wamekupa msaada wa kiimani.. tayar.. lakini hebu jaribu hili kwa ajir yako.. jaribu kuomba likizo ya kama mwezi hv.. ukatafakar kwa kina ushaur ulopewa hapa.. nenda mbali na usiwe na simu.. uko ukatengeneze marafiki wapya then.. ukirud utakuwa umekusanya nguvu mpya za kushikiria ndoa yako.
 
Back
Top Bottom