Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Bora anune lakin kisamaki akupe kuliko anune na kidudu akunyime miez tisa hujamtomasa afu unamwita mkeo mi waifu ata nikimtia ngumi lakini lazima anipe dochi lasivyo asaini kama ameninyima ivo naruhusiwa kuchepuka
 
Mmmh pole sana Majaribu2013 mie sijaoa hili kabila ila na experience nilibahatika kupata naye mtoto dada wa kabila hili. kununa, kiburi, jeuri ni kweli. Nilikuwa nampa kila kitu lakini mnaweza kuwa mmelala kanuna na hasemi kitu wala tatizo nini. Kujibu makavu (short answers) ni muda wote. nika back off kumuoa coz atanikosesha amani na upendo kwa ndoa. Just ignore her akinuna and do your things.
 
Last edited by a moderator:
hii hapa naona ni expectation vs reality gap...yani kinachokuumiza ni vile tu uliyoyataka hayajatimia,u expect perfection from ur wife jambo ambalo HALIPO,wewe mwenyewe ARE U PERFECT???
nadhani jitahidi uende tu na the flow of life inavokuja,mwanamke akikupenda jmn anakupenda kweli,appreciate her kwa mema anayokutendea usikomae kumbadilisha to someone else,
mahusiano bwn utayafurahia sana kama u manage ur expectations au kama una expect less,kila atakachokufanyia kita kusuprise na kukufurahisha pale atakapozidi expectations zako,
nobody is perfect but ukiona mpenzio anajitahidi kukushika na we unashikamana
Ungelukuwa ni wewe ungelifanyeje?,maana wengi wetu tunakommenti tu pasipo kuichukulia hali hiyo km ingelikuwa kwetu nini tungelifanya.
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Kaka pole sana mtegemee Mungu zaidi yeye hashindwi na chochote,majaribu yapo kwaajili ya binadamu,kwa hiyo vumilia,suala la Lini Mungu atajibu hiyo siyo jukumu lako.Yeye atatenda wakati wowote.Chonde ucjiue ni kosa mbele ya Mungu maisha yako yote uliyoishi ukimtumikia Mungu hayatakuwa na maana endapo utaamua kujiua.
 
muache wewe.... ukiona kibri namna hiyo ujue hujafikia viwango vyake

hakuna mwanamke kibri bila mwamvuli duniani

lazma kuna kamanda mmoja anapiga kazi za chama utadhani yupo FORD Kenya au FORD Asili
 
Kwanini mume wake wa kwanza alioa mke wa pili?
Hukuwa na muda wa kuchunguza hilo.
Ukipata jibu litakusaidia kutatua hilo
 
Nakushauri kwa sababu hali kama hii nimewahi kukutana nayo.

Kuna mtu tulianza mahusiano vizuri sana. She was really in love hadi namuonea huruma. I loved her so much kwa sababu she was decent, very honest yani na ni msichana anayejiheshimu. We were so happy.

Ghafla akawa ni wa kununa, hana ushirikiano wa kimapenzi, ni mlazimisha mambo na wa kulaumu hata kwa kitu alichofanya mwenyewe analaumu ni kwanini sikumzuia (Hapo ukimwambia usifanye anakuambia unaleta mfumo dume kwenye mahusiano) . Nilikonda kwa sababu I really loved her and hata nikimpigia simu hatuelewani(It was so frustrating). Hataki tuonane. Nikajifunza kitu kimoja; nikawa naignore. Nikajifunza kuishi bila yeye na kumuaccomodate akirudi. It worked kwa sababu tunachuniana baada ya muda anakuja anaomba msamaha and we go on happy kisha inajirudia tena. That was our life. Nikajitahidi kumpan kila alichotaka kusuluhisha anaonesha ushirikiano kidogo kisha we are back to square one.

Nikaja kuwaza nikagundua SHE WAS NOT GETTING WHAT SHE WANTS! yani mapenzi hayakuwa vile anavyotegemea yangekuwa, na ndio alikuwa anarealize mapenzi hayako vile alivyokuwa anafikiria. Akakiri pia I was the best she could ever find lakini sasa its not what she wants!

Tafuta kumjua zaidi mkeo, tafuta anataka maisha yaweje. Just be crazy and date her all over again. Pay attention sana na ikibidi uandike ujue ANATAKA NINI OUT OF LIFE (NOT just out of u!) . Msaidie kupata maisha ayatakayo. Ndoto zake ni nini? Help her live her dreams. UJue fika kama ndoto zake hazifikii hata wewe maisha yako yanaathirika (Unfortunately that is one of the drawbacks of married life). Akiishi maisha yake happily you will have your marriage back and not before. Kama alitaka asome awe mtu fulani help her get there. Mfuatilie tu kwa sababu if we dont get what we have always dreamed about life is just working, eating and sleeping (Meaningless since we are not machines).

I always tell people, ndio unataka mke akupikie, atunze nyumba yako na watoto, akuhudumie na akupe company (Honestly this is what a man wants!). BUT If that's not all she has always dreamed about then NDOA YENU NI SHIDA!!
If you don't help her, is it worthy it to stay with a miserable wife??????

Ukiona mtu anasubbotage mahusiano makusudi hasa when you think you are happy. The hard truth is; They are not getting what they want!!!

kweli Ndoa imekufanya uwe mwanafalsafa. Nimejifunza jambo zuri.
 
Ukimwona mwanamke mzuri kaolewa alafu akaachika kuwa naye makini sana hawa wana matatizo sana.
Kama wengi tunavyojua hawa wazuri sana wanachukulia uzuri wao kama hisani ndo vile kiburi, majivuno na jeuri kwao ni mtaji usio na faida jwa ndoa.
Ogopa sana akikwambia eti mimi nilizaa kwa bahati mbaya au nilibakwa au wakati niko shule au mume wangu wa kwanza alikuwa hanipendi!
Kwa kuwa wewe ni mkiristo muumini wa dini yako nakushauri uvumilie tu vinginevyo ningesema achana naye hapo huna mke, yule anaetanjwa kuwa msaidizi wako sehemu ya ubavu wako siyo huyo labda Mungu anataka kukufundisha kitu usichojua kwa utukufu wake.
 
Nashukuru wewe ni mtumishi wa Mungu, utaelewa nitapokuelezea.
Kwa wanyakyusa kuna mashetani katika roho kuna mizimu ya nyoka(sina uhakika ni nini ila yanaathiri ndoa hata watu wanaharibikiwa mimba ) na simba( ukali, hasira, utawala yani huwezi ukamuweka mnyakyusa hata mwanamke chini yako ndo maana anakuwa mbishi hataki kuambiwa kitu maana ndani yake kuna utawala).
Mvumilie sio yeye, pia kuna mume wa kiroho anayesumbua na kuvuruga ndoa, waume wa kiroho wana wivu sana hatataka mwanamke atulie na ampende mwanaume na kumpa amani. Hawa nao huwa tunawapata kutokana na ukoo tulikozaliwa... Ule utani wa binti kuwa mke wa babu yake saa nyingine babu anawakilisha mwanaume mwingine katika ulimwengu wa roho hivyo binti anakuwa kama ameolewa kweli.
Kwa wanyakyusa ni rahisi kwa watu kuvunja ndoa au kuwa na wake wengine kwasababu ya haya mapepo yanayovuruga mustakabali wa watu kupitia kuharibu ndoa.
Suluhisho: mpeleke kwa mtumishi mwingine amuombee ili aweze kueleza wazi mfano iwapo anaota viumbe tajwa hapo juu, au anaota anafanya mapenzi, iwapo anakasirika haraka na anawazaje.
Kingine ni kwamba unayapa shida hayo mapepo hivyo yanataka kukunyima amani kwa kumtumia huyo mwanamke. Na huyo mwanamke hana amani pia wala hana furaha kwa sababu yanamkumbusha maumivu na kumpa mawazo mabaya kwamba na wewe ni sawa na mwanaume aliyemtesa ili kuwavuruga.
Kama uko Dar, hivi karibuni nimemfahamu mchungaji mmoja wa Lutheran ameokoka ana nguvu za Mungu na ana timu ya waombaji, nenda usharika wa kimara anaitwa mchungaji Mastai. Atafunguliwa mkeo na familia yako itakuwa ya furaha, upendo na amani.

PESAndogo..... usipende kuamini katika kuombewa......ni wewe mwenyewe kujisogeza katika imani timilifu na kuongea na Muumba wako.... hata hao wanaombea watu wana mapepo pia.......
 
Kama huamini katika kuombewa ni wewe umeamua hivyo, utamtoaje pepo aliye ndani yako wewe mwenyewe wakati huyo pepo ndo anayekufanya ushindwe kujiombea wala kwenda nyumba za ibada.? Pia ni ushauri anaweza akubali au akatae.
 
nilikuwa kijijini nikapitwa lakini sijachelewa sana. Kwanza mtumishi nikupe pole lakini amini kuwa hata kwa mkeo mambo si rahisi. Naye anaumia. Kwanza umeshashauriwa utofautishe matarajio na uhalisia. Hilo la kwanza.

La pili, usipeleke matatizo yako sijui kwa watumishi wenzio sijui maaskofu. Ni binadamu tu hao. Usishangae mmoja akatoka hapo akaenda kumtongoza mkeo kwa kuwa anajua ana ugwadu wa miezi tisa. Ni kweli yametokea.

La tatu, usiweke kichwani haya maneno unayoambiwa kuwa ulikosea kuoa mwanamke wa kinyakyusa, mwenye mtoto, aliyeachika au nini nini (na-declare interest ya kuwa na mtoto) na kuwa mmachame. Ndoa hata za waliooana mabikira zina matatizo. Wapo wanawake waliokuwa na machungu hata ya kubakwa na kunajisiwa utotoni lakini wameyashinda machungu na wanafurahia ndoa zao na wapo walioshindwa na wanaleta shida kwenye mahusiano. Wapo watu walioachika kwa wenza wao na wakakutana na wenza wengine bora zaidi na mahusiano yao yamedumu kwa furaha. Wapo watu waliofahamiana kwa miaka 10 lakini walipoaana tu wakaachana. Wapo waliofahamiana kwa miezi mitatu na sasa wana watoto watatu na ndoa zao ni mfano wa kuigwa. Wako watu kila wanapokwenda wanapata shida - hawawezi kuishi kwenye mahusiano. Ni mapema kujua mkeo yuko kundi lipi.

La nne, miaka 0 mpaka 5 kwenye ndoa ni muda wa kufahamiana rangi halisi kati ya wanandoa. Hivyo usikurupuke kujiona uko jehanam. Ndo kwaanza kunakucha. Ukimuuliza mkeo nae atasema umebadilika. Tabia ambayo wewe unajisifia kuwa ni nzuri mkeo anaweza kuiona ni kero. Nina kaka alikuwa na ndoto kama zako. Akaoa dada mzuri sana. Huyu kaka ndoa ilimshinda baada ya miaka 6. Mke aliondoka na begi la nguo na ujauzito mchanga. Alichoka tabia za kakaangu. Wote tulijiuliza, yule mke kimemuondoa nini mbona kaka ni mtu romantic sana, muda wote anamuongelea mkewe...... Huyu kaka mpaka leo anamlaumu mkewe. Anasema alikuwa akimpa kila kitu. Tendo la ndoa ilikuwa ni karibu kila siku na wakianza saa 8 usiku ni mpaka saa 11 mpaka mara nyingine mkewe akawa anamtumia mesej akiwa kazini mchana kuwa leo wasifanyane. Mimi nilipotafakari sana niliona tatizo halikuwa kwa mke bali kwa mume. Alimchukulia mkewe kama kitu ambacho alitaka akifanye kiwe kama alivyokuwa amepanga toka utotoni (nikija kuoa nitampenda sana mke wangu, nitamfanya hivi na vile, nitataka familia yangu iishi hivi na vile.....) bila kukumbuka kuwa unayemuoa naye ni mtu mwenye ndoto zake pia.

La nne, mkeo anaweza kuwa na matatizo ya kisaikolojia. Kwa kuwa wewe ni mtu wa kiroho basi unaweza kulikabili kiroho. Acha hasira na majuto. Anza kuchunguza maisha ya mke wako toka utotoni. Chunguza mahusiano ya baba yake na mama yake, chunguza mahusiano yake na ndugu zake hasa utotoni yalikuwaje. Kuna wanawake hawajui kuongozwa. Ukifatilia utakuta mama ndo alikuwa kila kitu kwenye familia, au binti alianza majukumu ya kutunza familia akiwa mdogo bila msaada wowote. Mtu kama huyu usitegemee atakuwa tayari tu kukusikiliza unachomshauri kisa tu wewe ni mume. Kuna mabinti wengine waliishi na mababa wabaya - waliowanyanyasa mama zao au hata watoto wao. Binti anakuwa mkubwa anapata wanaume wanaompenda lakini kichwani kwake anataka amkomeshe baba. Bila hata yeye kujua kuwa anamuadhibu baba yake basi kila mwanaume atakayeingia anga zake atakiona cha mtema kuni.

La tano, mkeo anaweza kuwa na tatizo la "mood swings". Ulishawahi kuchunguza pattern ya kununa kwake? Si ajabu anakuwa amekaribia siku zake!! Au ana "anxiety" flani, sijui ndo tunaita kihoro? au ana msongo (depression) si ajabu inayotokana na wewe au mambo mengine. Kama ni tatizo tu la kihaiba halijasababishwa na machungu au homoni za kike basi tafuta jinsi ya kuishi nalo. Akinuna we fanya mambo yako, mnuno ukiisha mnaendelea na maisha yenu. Kuna wakati mtu anahitaji "space" jamani. Siyo ndo kujidai unajali sana unataka umbembeleze na akwambie kinachomsibu.

Vinginevyo mi naona ukitulia uani kwa Mungu bila ku-surrender kwa mwovu uwezekano wa kupita hiki kipindi salama ni mkubwa. Ukiona jaribu limekuwa kuubwa, pale unapoona unataka kukata tamaa basi ujue ukombozi umekaribia. Hili hata watu ambao hawajaokoka ni mashahidi. Unaenda sehemu huifahamu. Unatumia akili zako kupatafuta wee... baadae unasema bora tu nirudi lakini kabla sijarudi ngoja niulize. Ukiuliza unashangaa kuambiwa "si hapo"! Kumbe ulikuwa umeshapafika. Cha msingi shusha kidole unachomnyooshea mkeo maana kinakufanya ujione mwenye haki na kujikosesha fursa ya kujitathmini. Jikabidhi kwa Mungu kisha andaa tukio. Mchukue mkeo mkakae sehemu nzuri umwambie haya uliyotuambia hapa (ndoto zako na ulichokiambulia), na uombe radhi kama kuna sehemu uliyoteleza katika harakati za kufanya ndoa yenu iwe kama unavyotaka (haikupunguzii uanaume wako) bali ni njia ya kumvuta mwenzio akusikilize. Mkeo aseme yake kisha mfikie muafaka. Mtumishi kama ni kuendelea na hii ndoa utakuwa na amani na kama ni kuivunja utakuwa na amani. Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uvivu wa wanandoa kuzijenga. Watu wanatumia nguvu nyingi na akili kusuluhisha migogoro kazini lakini linapokuja swala la ndoa tunatatarajia miujiza.
 
Umetoa pointi nzuri sana lakini nimemaliza kusoma nimepata hasira sana. Ungekuwa karibu huenda ningezaba kibao. Ila umeongea mambo ya msingi sana tupu. Nadhani kuna vitu umevichanganya vinakera, nimchukue nikae naye sehemu tulivu? unabahati uko mbali namimi. Otherwise ushauri wako ni mzuri nitaufanyia kazi.
 
Wanasema ukiona unafanya jambo lile lile na unapata matokeo yale yale
basi jaribu kufanya kinyume chake

Kuna aina ya watu 'ukiwadekeza tu umewaharibu'
watazidi kukuletea utoto hadi ushangae

dawa yake ni wewe ku sit back and do nothing..

akinuna usimuulize kitu...shika remote control and ignore her...
Si rahisi ivo....hali anayoipata mtu uwez kuielewa mpaka uipitie...inauma sana jamaniiii wenye mioyo ya unyongee wanaumia sana....ila kwa ninavoona unasema kuwa upo karibu na mola wako na unaiman nae...akilini mwako weka kwamba ni majaribu ayo unayoyapitia mola anataka kuijua imani yako....zidisha maombi ila usisahau kumjumuisha kwenye maombi yako inshaallah mola atakupa wepesi....
 
Umetoa pointi nzuri sana lakini nimemaliza kusoma nimepata hasira sana. Ungekuwa karibu huenda ningezaba kibao. Ila umeongea mambo ya msingi sana tupu. Nadhani kuna vitu umevichanganya vinakera, nimchukue nikae naye sehemu tulivu? unabahati uko mbali namimi. Otherwise ushauri wako ni mzuri nitaufanyia kazi.

inawezekana hata hii post umetania. hicho ndo kimekupa hasira? matatizo yenu yote mnayaongelea chumbani. matokeo yake akili zinahusianisha chumba cha kulala na malumbano mpaka mnakosa msisimko wa kungonoka. Basi niwie radhi kwa kukusababishia hasira.
 
Ulichokosa ni kikubwa kuliko 'ulichopata'...kama hakuna furaha unawezaje sema umepata vyooote isipokuwa....

Afu kuna mahali unasema mkeo ana hali nzuri kifedha...hilo ndio kosa la kwanza...wanawake wanaoolewa wakiwa tayari na pesa zao ni wachache wanakuwa submissive...

Pole sana...inawezekana huyo wa kwanza alibwaga manyanga kwa sababu hizo hizo...
Tabia haina dawa...
Kuna mdada alijimovuzisha kwa jamaa aliyekwisha ishi na wanawake wengine wawili...akajipa moyo miye mzuri bana...ninavyoandika ameshafungasha na watoto wake (maana alizaa watoto wawili) baada ya kuvumilia sana also because alikuwa anajua waliomtangulia walikuwa wanamsubiri atoke wamcheke...hivyo yeye ukilinganisha na waliopita amejitahidi kukaa kwa huyu bwana...si kwa mapenzi bali aibu ya kuchekwa...
kwaiyo iamaana ukiona mtu keshapitiwa na watu ata watatu uruhusiwi kuwa nae kwenye maisha ama???????
 
pole sana ndugu yangu

sijui nianzie wapi kukutia moyo mpendw pole sana kwa mapito unayopitia jua kuwa Mungu yuko hakuna kwak e lisilowezekana yote yanawawezekana yeye anasema kuwa ukimwitwisha fadhaa zetu /zako kwani yeye hujisihughulisha sana na mambo yetu hivyo usife moyo muombe Mungu na endelea kumtumianinia yeye atafanya mlango pasipo na njia na kubadilisha hiyo roho ya mkeo

usiseme kuwa wanawake wote wako hivyo hatuko hivyo huyo ni shetani ameamua kuingilia ndoa yako na kuharibu kwani yeye ni mharibifu wala siye mleta amani ni mgoambanishi na mleta maangamizi hivyo ndugu yangu usikate tamaa cha kukushauri fanya maombi na endelea kumtiisha chni ya uwepo wa Mungu naye atabadilika ipo siku utakula matunda ya furaha yako uliyoitegemea kwa muda mrefu

jua kuwa sio wewe unayepita katika mapito magumu niikianza kukuelezea mapito ninayopitia nadhani lako lina nafuu sana mpendwa mm nimeipita na ninapita katika mapito magumu lakini naendelea kumwomba Mungu na kusimamia katika misingi iliyobora najua ipo siku nitavuka ng'ambo ya pili ya mto usife moyo utapita ndu;gu yangu usipozimia roho yako jitie nguvu na endelea kusonga mbele usitake roho ya mauti ya kujiondoa ikuvamia wewe kuwa mwombaji kwani aombaye akati tamaa jitie nguvu sana.
 
inawezekana hata hii post umetania. hicho ndo kimekupa hasira? matatizo yenu yote mnayaongelea chumbani. matokeo yake akili zinahusianisha chumba cha kulala na malumbano mpaka mnakosa msisimko wa kungonoka. Basi niwie radhi kwa kukusababishia hasira.

Ndugu yangu unayoyangumza darasani ni 100% lakini field ni tofauti mno na uhalisia. Si kila chui hurarua, si kila nyoka huuma kwa kung'ata, si kila mwizi huiba kwa bunduki. Sikia kwa wengine tu hii theory yako mpaka ungeisahau.
 
Back
Top Bottom