Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Ulichokosa ni kikubwa kuliko 'ulichopata'...kama hakuna furaha unawezaje sema umepata vyooote isipokuwa....

Afu kuna mahali unasema mkeo ana hali nzuri kifedha...hilo ndio kosa la kwanza...wanawake wanaoolewa wakiwa tayari na pesa zao ni wachache wanakuwa submissive...

Pole sana...inawezekana huyo wa kwanza alibwaga manyanga kwa sababu hizo hizo...
Tabia haina dawa...
Kuna mdada alijimovuzisha kwa jamaa aliyekwisha ishi na wanawake wengine wawili...akajipa moyo miye mzuri bana...ninavyoandika ameshafungasha na watoto wake (maana alizaa watoto wawili) baada ya kuvumilia sana also because alikuwa anajua waliomtangulia walikuwa wanamsubiri atoke wamcheke...hivyo yeye ukilinganisha na waliopita amejitahidi kukaa kwa huyu bwana...si kwa mapenzi bali aibu ya kuchekwa...
 
Hilo nalo neno...
Sometimes unaweza ona mtu kanuna ukadhani kakununia wewe...kumbe amenunia maisha...bila kumsikiliza na kumjali hutapata majibu au utapata majibu ya 'nani kakwambia nimekasirika' huku anasomeka kabisa kuwa kanuna...

Nakushauri kwa sababu hali kama hii nimewahi kukutana nayo.

Kuna mtu tulianza mahusiano vizuri sana. She was really in love hadi namuonea huruma. I loved her so much kwa sababu she was decent, very honest yani na ni msichana anayejiheshimu. We were so happy.

Ghafla akawa ni wa kununa, hana ushirikiano wa kimapenzi, ni mlazimisha mambo na wa kulaumu hata kwa kitu alichofanya mwenyewe analaumu ni kwanini sikumzuia (Hapo ukimwambia usifanye anakuambia unaleta mfumo dume kwenye mahusiano) . Nilikonda kwa sababu I really loved her and hata nikimpigia simu hatuelewani(It was so frustrating). Hataki tuonane. Nikajifunza kitu kimoja; nikawa naignore. Nikajifunza kuishi bila yeye na kumuaccomodate akirudi. It worked kwa sababu tunachuniana baada ya muda anakuja anaomba msamaha and we go on happy kisha inajirudia tena. That was our life. Nikajitahidi kumpan kila alichotaka kusuluhisha anaonesha ushirikiano kidogo kisha we are back to square one.

Nikaja kuwaza nikagundua SHE WAS NOT GETTING WHAT SHE WANTS! yani mapenzi hayakuwa vile anavyotegemea yangekuwa, na ndio alikuwa anarealize mapenzi hayako vile alivyokuwa anafikiria. Akakiri pia I was the best she could ever find lakini sasa its not what she wants!

Tafuta kumjua zaidi mkeo, tafuta anataka maisha yaweje. Just be crazy and date her all over again. Pay attention sana na ikibidi uandike ujue ANATAKA NINI OUT OF LIFE (NOT just out of u!) . Msaidie kupata maisha ayatakayo. Ndoto zake ni nini? Help her live her dreams. UJue fika kama ndoto zake hazifikii hata wewe maisha yako yanaathirika (Unfortunately that is one of the drawbacks of married life). Akiishi maisha yake happily you will have your marriage back and not before. Kama alitaka asome awe mtu fulani help her get there. Mfuatilie tu kwa sababu if we dont get what we have always dreamed about life is just working, eating and sleeping (Meaningless since we are not machines).

I always tell people, ndio unataka mke akupikie, atunze nyumba yako na watoto, akuhudumie na akupe company (Honestly this is what a man wants!). BUT If that's not all she has always dreamed about then NDOA YENU NI SHIDA!!
If you don't help her, is it worthy it to stay with a miserable wife??????

Ukiona mtu anasubbotage mahusiano makusudi hasa when you think you are happy. The hard truth is; They are not getting what they want!!!
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Wewe Ni Muongo!
​
 
Mkuu hadithi yako inasikitisha imenifanya nami Muda huu nianze kuombea swala la Àman na Upendo ktk ndoa yangu hapo baadae..(maana sina mke,mchumba wala mtoto)
Ili niwe na akiba ya maombi katka Benki yangu.
Pole sana..Endelea kusimama ktk maombi ili shetani aweze kuaibika..
Mungu atukuzwe.
Mungu wetu hawajawahi kushindwa..
Hivyo kwenye hili jaribu lako ,mlango wa kutokea upo...
Mungu hakuruhusu jaribu lizidi uwezo wetu, hivyo naimani utashinda ukivumilia,,jipe moyo.
Mungu ni Mwema.
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Kosa namba moja. Ulisikiliza upande mmoja wa hadithi na inawezekana ulimuamini tungo zake juu ya ndoa yake ya kwanza - ulitakiwa umchunguze sana maana kitu ndoa ukiona mwenzio katema ujue kuna jambo.

Pili, ulimuonyesha mapenzi zaidi na inawezekana ulionyesha uko desperate. Huo ni udhaifu mkubwa sana kisaikolojia na nyie mnaohificha madhabauni ni wahanga wakubwa wa haya mambo.

Tatu, watu wa madhabauni mnaamini kila tatizo ni pepo, kuna mengine ni ya kisaikolojia hivyo kabla ya kukimbilia maombi ulitakiwa ufanye uchambuzi uwe na ufahamu hasa.

Nne, mwananke kyishi naye kwa mafanikio siyo upole, ni hekima. Tumia muda mwingi kumsoma mwanamke saikolojia utaweza kila kitu. Unaweza kukuta umemkosea lkn kwa kuwa unaelewa master CD ya saikolojia ya mkeo unashangaa anakupigia magoti anakuomba msamaa kwa kosa lako. Upole haimaanishi uwe duwanzi.

Tano. Hakuna popote kwenye Biblia ilupokatazwa kwamba usioe wake wengi isipokuwa tu ukiwa shemasi au askofu sasa kama wewe ni kati ya hao sawa.

Huyo mwanamke ameshajua udhaifu wako na uhusiano wako na hofu yako juu ya kuchafua jina lako mbele ya jamii.

Mwisho. Ukitaka heshima irudi, japo hupendi chukua mwingine na ufanye makeke ajue kama umenunua benzi. Kaa huko kwa wiki mbili mfululizo ila uwe unakuja kubadilisha nguo alafu unachomoka. Mkeo atanyooka mwenyewe. Hiyo nayo ni hekima. Kumbuka kuna wakati Ibrahimu alikubali mke wake Sara kumeng'enywa wakati walipokwenda Misri kutafuta chakula hivyo Mungu anatumia njia nyingi kurekebisha.

Usijiue nitakuona boya kweli. Wanawake wapo wengi wenye sifa za kuishi na wanaume sema wewe ulijifanya Roho amekuonyesha so hukutaka kuangalia mara mbili.

Ndo hayo
 
kuna kitu kimoja umekosea, ni kutojua vita. wewe unaonekana ni mtu wa kiroho, na unatakiwa kupigana vita vya kiroho. nitakusaiia kitu kimoja ambacho ukikifuata, utapata furaha ya milele.

kwanza kabisa, kila kabila lina pepo lake, na pepo mojawapo la wanawake wa kinyakyusa ni kiburi na kutosikiliza waume zao na uzinzi. naona hilo la uzinzi mkeo kapona lakini la kiburi lipo. nina experience na wanyakyusa, na nimeolea huko pia. usishindane nao, sio wao ni roho iliyoko ndani yao. ni kama roho ya wahehe tu kuwa na hasira, au ya wamachame kupenda hela kupita chochote. its a spirit ambayo unatakiwa kudeal nayo kiroho na si kimwili.

kuna kipindi ndoa yangu ilishawahi kuwa hivyo, kiburi sana na kununiana sana hivyohivyo, na ilitokea hivyo kwasababu alijua mimi ni mlokole siwezi kufanya chochote. ilitupelekea hata matumizi ya kutumia nguvu kidogo jambo lililonifanya nijute sana. ila nikapata suluhisho kwenye bible.

zipo roho zilizowekwa kabisa na shetani kazi yake ni kuvuruga ndoa, kukosesha ndoa amani na kuwagonganisha vichwa mtaumizana mioyo wee na shetani yupo pembeni anawacheka tu. dawa yake, unatakiwa kushambulia mashetani hayo kwa maombi, usifunge tu, tumia neno la Mungu kushambulia kuchinjachinja kwa Jina la Yesu na Damu ya Yesu, fanya hivyo kwa kutumia mistari ya kwenye Bible, mfano: imeandikwa tumepewa mamlaka kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui shetani wala hakuna kitakachotudhuru,....wewe sasa tamka kwa Jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu ninakanyaga nguvu zote za giza, roho za kuvuruga ndoa kati yangu na mke wangu, roho ya kiburi kwa mke wangu etc...chinjachinja kwa mwezi mmoja hivi, hali hiyo itapotea na mkeo utafikiri amefufuka hutamwona tena na hali ile na yeye atajisikia mwepesi. ilinitokea hivyo, na kila ikitaka kurudia hata akinijibu vibaya huwa najua ni shetani tu anatafuta mimi nami nireact ili apate nafasi ya kuingilia, na akiingia huwa anavuruga kwa maangamizi makuba utakapokuja kuomba atakimbia lakini ameshasababisha madhara makuuubwa. hii ndio siri pekee ya vita vya rohoni.

zaidi ya yote, wamwabuduo Mungu imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli. lazima Roho mtakatifu ahusike katika maisha yako, katika kuabudu kwako, katika kuomba kwako everything you do, Roho Mtakatifu atakuwepo kwako kama utashuka mbele za Mungu, kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi, na mwombe Mungu akujaze Roho wake, utabubujina na ukipata neema hiyo, chochote utakachoongea, utakachotamka, utakachofanya huwa kina upako wa nguvu za Mungu na kinatendeka. Roho mtakatifu ni moto ulao ambao mapepo ndani yako au kwa mkeo/ubavu wako yatayeyuka yenyewe. Yesu anabatiza kwa Roho mtakatifu hata leo hii, Yohana aliwaambia ,mimi nabatiza kwa maji lakini ajaye atawabatiza kwa Roho mtakatifu na kwa moto. Roho Mtakatifu ambaye ndiye Mungu mwenyewe ni moto ulao. ukivumilia, ukashuka mbele za Mungu, ukamtafuta Mungu kwa moyo wako wote ukawa na kiu ya maji yake ya uzima/Roho, utapata neema na vita vyako vyote vitakuwa vizuri sana na ndoa yako itakuwa bora.

Roho mtakatifu ni wa muhimu sana katika maombi, kwasababu yeye analia 'aba" na anaomba kwa kuugua kusikoweza kutamkwa ndani yetu ndio maana uombapo kwa Roho moyo wako huwa unapondeka to the maximum. Mungu akusaidie.

Comment nzuri sana. Nimeipenda. Mungu amsaidie huyu mja wake...
 
Binafsi nakushauri uombe bila kukoma. Yaani hapo unapoona umefikia mwisho, ndipo Mungu anapooanzia. Never give up kabisa.. keep on praying hard.
Poleh sana maana hayo ni majaribu ya aina yake, Mungu akutie nguvu sana ndugu. Ila omba bila kukoma..that's my final say. Poleh
 
Pole Sana ndugu, usifikirie mabaya kwa sasa....mueleze mwenzio hali yako labda hajui....ila pia gaya ni matokeo ya kutomsoma mwenzio vzuri kabla ya kumuoa, pole
 
Mimi mke wangu alinishinda kwakweli.Mimi ni mtu wa vituko(uchesi na utani) na furaha, napenda mtu anaye furahi nikimkosea aniambie LAKINI KWA HUYU ALIYEKUA MKE WANGU, WAKUU NILIVYOOSHA MIKONO JUU. Mtu muda wote kanuna, ukiuliza unajibiwa kwa ukali sana kama anakemea pepo, nikimshtaki kwa wazazi wake ananiambia mimi ni mnafiki sana. Nikaona aaaaa kumbeee wewe hunijui, nikaachana naye na sasa hivi nayapenda maisha yangu na maendeleo nayaona INGAWAJE KUNAMUDA ROHO YA KUOA TENA INANISUMBUA SANA LAKINI NAOGOPA.
 
Jitathimini wewe mwenyewe kwanza. Unajiona eti wewe ni mpole, wewe umejuaje acha watu waseme upole wako.
 
Jitathimini wewe mwenyewe kwanza. Unajiona eti wewe ni mpole, wewe umejuaje acha watu waseme upole wako. Pengine wewe ndio tatizo.
 
Majaribu2013

Wanawake wa bongo ukijishusha ukawa mpole vita huwa wanaianzisha wao ila ukiwa mkorofi wao wanakuwa wapole so ulitakiwa kumlea kwa hali zote mbili AMANI na VITA.
Hapana mkuu sio kweli, ni tabia tu ya mtu,mimi mume wangu ni mpole sanaaa but sijawahi kufikila kumvunjia heshima hata siku moja,haitotokea.
 
kuna jambo lipo ilupande wako hasa inawezekana huna muda wa kutosha wa kukaa nae.nakushauri jipe muda mwingi wa kukaa na familia na hasa mkeo na kuwa makini kumchunguza mwishoni utapata jibu la tatizo ktk ndoa yako na itastawi.
ukishindwa onana na wanasaikolojia watakusaidia zaidi.
 
ungelikuwa imani yako inaruhusu ningekwambia nawewe uoe mwingine kama alivyomfanyia yule wa kwanza, ila kwakuwa pingu zenu huwa hazifunguki wepambanatu ila chondchonde usifikirie kujiua hiyo ni sawa nabure nibora uvunje agano uoetu mwingine .
 
hii hapa naona ni expectation vs reality gap...yani kinachokuumiza ni vile tu uliyoyataka hayajatimia,u expect perfection from ur wife jambo ambalo HALIPO,wewe mwenyewe ARE U PERFECT???
nadhani jitahidi uende tu na the flow of life inavokuja,mwanamke akikupenda jmn anakupenda kweli,appreciate her kwa mema anayokutendea usikomae kumbadilisha to someone else,
mahusiano bwn utayafurahia sana kama u manage ur expectations au kama una expect less,kila atakachokufanyia kita kusuprise na kukufurahisha pale atakapozidi expectations zako,
nobody is perfect but ukiona mpenzio anajitahidi kukushika na we unashikamana
 
Kapate ushuri kwa mme wake wa kwanza, unadhani haukuwa na akili mpaka kumuacha?
 
Back
Top Bottom