Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.

Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.

Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.

Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.

Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.

Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Umekariri.
Watu wanaenda clubs na bar na bado wanaoolewa, sio kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye adabu za kupitiliza maana wengi wao wanaboa.
Hata waliozaa wanaoolewa vizuri ni vile tu unavyojiweka.
 
Na wameshindikana mtaani kwao😀
 
Umekariri.
Watu wanaenda clubs na bar na bado wanaoolewa, sio kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye adabu za kupitiliza maana wengi wao wanaboa.
Hata waliozaa wanaoolewa vizuri ni vile tu unavyojiweka.
Haya, asante
 
.......hoja ya mtoa mada ina ukweli kwa kiasi kikubwa ingawa lazima tukubali pia sio wote wali-misbehave katika mahusiano, wengine ni utoto, wengine ni mikosi, wengine walikutana na wanaume wasiojitambua, wengine ni mapepo wamefungwa na viapo, wapo waliofiwa..........
........hivyo sio sahihi kusemana au kunyoosheana vidole hata kama upo kwenye ndoa njema bado hujui lini yatakukuta yaoi, Sasa ktk nyuzi kama hizi ambazo zipo offensive Kwa baadhi ya wahanga, niseme tu si vizuri sana kutajana majina au kumtag au kum-cc mtu hata kama unamfahamu kwamba ana changamoto zilizotajwa ktk hoja.......kila mmoja wetu anahitaji faraja na upendo ktkt yale magumu anayopitia regardless ni bahati mbaya au alijitakia(uzembe)..........
Unahekima sana wewe, Mungu akuongoze siku zote
 
Umekariri.
Watu wanaenda clubs na bar na bado wanaoolewa, sio kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye adabu za kupitiliza maana wengi wao wanaboa.
Hata waliozaa wanaoolewa vizuri ni vile tu unavyojiweka.
Nimekupenda au nimependa comment yako sijui hata
Missing you
 
Akothee, The President of single mother na mama wa watoto watano kila mmoja na baba yake juzi kati hapa kaolewa.
Mwanamke akitaka kuolewa anaolewa haijalishi Yupo kwenye hali gani ni vile tu anavyojiweka kwa mwanaume.

Miss you too babe...unapotea sana jamani.
 
Back
Top Bottom