Kweli tunashindwa kujisjmamia sana lakin maranying wanaume ndo mnatuangusha bint anaejua huyu nilonae atanioa au lah?wengi tunatumia moyo kufanya maamuz unajikuta unakumbuka kuwa alikuwa na machaguo Saba dhidi Yako na unakuwa ushachelewaTunakoelekea hata alieliwa na 10 atakua anaonekana namba E kabisa kama magari ya japan tunayoletewa. Body count ya madem inatisha sku hizi mtu kapitiwa na watu 30+? Na unataka mume seriously?
Ila tukiacha masihara hili ata sio jambo la kuambiwa mwanamke inakuaje unawavulia wanaume 10 mpaka 20 chupi sio utamaduni wa muafrika halisi huu.. yan katika njemba 5 za mwanzo zote ulikua hujaweka malengo muoane?
😂😂😂mambo mazito sana na hali inasikitisha
Huu ni uungwana. Kukiri kosaSiku huwa hazifanani,sorry kama nimekukwaza
Mimi naomba kanyau ka stay forever. Nakubusu bila kanyau mchudo, ni sawa na kujibusu tu mwenyeweUsijali mamaa, kama itakupendeza kaondoe ka nyau plz🙏
Tupo mkuu, hakika nimemwelewa kabisaWakowapi masingo maza konki wa JF? Wapi To yeye, Unique Flower , Deborah9007, FaizaFoxy na wanazi wengine waliokuwa wanona wanaukomoa usichana?
Laifu izi mazafaka aisee
Tigo ndo Nini?Umedisqualify. Tigo ni ibada kwa mabasha. Na mapedeshee wengi ndio mabasha wa mji huu.
The best comment everMkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.
Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.
Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.
Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.
Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.
Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
Ahsante mkuu, among the best comment.Mkuu wangu ipo hivi

Kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata mume sahihi ni wakati akiwa na miaka 20-25; kutokana na umri huo, wengi kipindi hicho huwa wanachagua chagua aina za wanaume kwa kuangalia sifa za kijinga, tall, dark, 6 packs n.k na ndio wengi waliopo sasa wakiwa na miaka 34+ wakitafuta wachumba angalau wanaopumua tu.Mkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.
Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.
Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.
Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.
Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.
Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
Punguza spanaWaliuchezea usichana wao kwa kufanya umalaya, ulevi, kutoa mimba, kukesha bar, sasa hivi wamelegea mbele na nyuma wanalazimisha kuolewa... Na wengi wao ni single maza wanajifanya wapambanaji kumbe wakijifungia ndani wanalia kwa upumbav walioufanya wakat wakiwa mabinti...
Usiwasanue bhanaKipindi ambacho mwanamke anaweza kupata mume sahihi ni wakati akiwa na miaka 20-25; kutokana na umri huo, wengi kipindi hicho huwa wanachagua chagua aina za wanaume kwa kuangalia sifa za kijinga, tall, dark, 6 packs n.k mwisho wa siku wanaangukia pabaya, na wanaishia bila kuolewa.
Halafu bila aibu anakuja kigezo cha "awe na hofu ya Mungu". Hivi hawa wazinzi wanajielewa kweli? Yaani yeye kadanga mpk amezaa lkn anataka mume mwenye hofu ya Mungu. Shubamiti!, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.