Nimekaa mahala hapa, nakunywa chai. Nimewaza mbali sana mkuu. Nilikuwa nimeoa, mwanamke mzuri sana, akazingua kinoma kidogo nichanganyikiwe.
Nikaja pata mwanamke mzuri sana mwingine nikaona huyu ananiponya maumivu nikakubali kuishi hadi nje ya nchi kwa ajiri yake, na rasta zangu nikanyoa.. lakini kaninyooshaa ananipelekesha.. hadi nimeamua kunyoosha mikono, katumia sana ndoa yangu iliyopita kunipigia
Kweli mkuu!Kufail NDOA ni kufail MAISHA ya hapa duniani na yale maisha baada ya mwili kuludi mavumbini Ndio maana waswahili wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa
Tatizo wavulana wengi wanafanya maamuzi ya NDOA kwa kutumia kichwa cha chini i.e tamaa kitu ambacho ni hatari Sana
Acha uoga comrade, ume sahau kwenye descendants of the sun au moving .Honeymoon tunaenda zetu North Korea 🤭
Nimekaa mahala hapa, nakunywa chai. Nimewaza mbali sana mkuu. Nilikuwa nimeoa, mwanamke mzuri sana, akazingua kinoma kidogo nichanganyikiwe.
Nikaja pata mwanamke mzuri sana mwingine nikaona huyu ananiponya maumivu nikakubali kuishi hadi nje ya nchi kwa ajiri yake, na rasta zangu nikanyoa.. lakini kaninyooshaa ananipelekesha.. hadi nimeamua kunyoosha mikono, katumia sana ndoa yangu iliyopita kunipigia
Ndio nini mtaalamuTumia Numerology
saa nje ulifata nini ndo ulikuwa unaishi hukoMkuu mie sio wakulelewa kaka. Najimudu kaka
Hujaelewa hata.saa nje ulifata nini ndo ulikuwa unaishi huko
Ndiyo maana mm Sexless napendekeza watu waoane ndugu kwa nduguNdoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression.
Leo siamini amini, nimejikuta navizia kuchukua namba ya wahudumu kucheza na low profile , wakati nilikuwa napenda toto classic, sasa hivi naziogopa kama kifo dah .. inasikitisha sanaa . Ndoa noma sanaa, mapenzi ukijifanya unapenda unaweza kufa kabla ya mda wako
Mkuu ulichosema kweli kabisa. Ila nimejitoka kwenye mambo yanaitwa mapenzi. Nikiwa nahamu natafuta mpenzi wa mda mfupi napoa kila mtu anaendelea na maisha yake"Listen Big Balls , I hate to break it to you, but what people call 'love' is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Big Balls , then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage".
Haijalishi mtaendana na mtapendana kias gan kwenye ndoa ni lazima mmoja wenu akubali kuwa dhaifu ili mambo yaende, sasa utachagua uwe wewe au yeye and not otherwise.