Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

Ndoa sio ngumu kihivyo ni jinsi unavyotaka iwe ndivyo itakuwa.Shida dio mwanamke shida ni wewd mume kiongozi wa nyumba.Kijana kabla ya kuoa inabidi upate darasa la mahusiano ya kiutuzima.
 
Ndoa sio ngumu kihivyo ni jinsi unavyotaka iwe ndivyo itakuwa.Shida dio mwanamke shida ni wewd mume kiongozi wa nyumba.Kijana kabla ya kuoa inabidi upate darasa la mahusiano ya kiutuzima.
Mwanzo nilikuwa na mawazo na hisia kama hizi, na nikawa najua nitawamudu tu. Ila nimejikuta kuwamudu Hawa watu hadi aamue ummudu ila kama hataki ummudu atakuu kwa kihoro
 
Nimekaa mahala hapa, nakunywa chai. Nimewaza mbali sana mkuu. Nilikuwa nimeoa, mwanamke mzuri sana, akazingua kinoma kidogo nichanganyikiwe.

Nikaja pata mwanamke mzuri sana mwingine nikaona huyu ananiponya maumivu nikakubali kuishi hadi nje ya nchi kwa ajiri yake, na rasta zangu nikanyoa.. lakini kaninyooshaa ananipelekesha.. hadi nimeamua kunyoosha mikono, katumia sana ndoa yangu iliyopita kunipigia
Pole mkuu ulikosea sana kukubali kunyoa rasta zako
 
Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression.

Leo siamini amini, nimejikuta navizia kuchukua namba ya wahudumu kucheza na low profile , wakati nilikuwa napenda toto classic, sasa hivi naziogopa kama kifo dah .. inasikitisha sanaa . Ndoa noma sanaa, mapenzi ukijifanya unapenda unaweza kufa kabla ya mda wako
Pole sana mkuu, naona ulijiingiza kwenye mapenzi kwa pupa bila kufuata codes za "No Reform, No Election."
 
Back
Top Bottom