umegusa penyew na ndicho anachokiwaza huyo dada....
Haya mambo ya kuonja ukubwan nayo ya kero zake....
Uskute hata habar ya chumvin alikuwa haijui sasa kakutana na katoto ka chuo kamedeki hata choo mmama wa watu akili zmemruka haoni tena umuhim wa mume wake anamuona kama karunguyeye
we kima usinletee stress zako.Acha kushaur upumbavu,jiweke nafasi ya mtendwa(mwanaume)...hujui maumivu ya mapenzi haswa ndoa tulia,nyie ndo huwa mnapigwa risasi...hamfadhiliki,mnashindwa kujiheshimu...
Kwa mujibu wa imani zetu, wao ni mwili mmoja..!
Kama anaweza kulala nae uchi wa mnyama usiku mzima, simu ni kitu gani ili aifiche?
Sioni sababu mtu kuwa na total privacy ya simu kwa mwenza wake ili hali privacy ya uchi wake hana...!
we kima usinletee stress zako.
kondoo jalala we.
pita hv.
umeelewa nlichoandika?
risasi umeshindwa kumpiga mamako alipokuzaa ukiwa kichwa maji utanipiga mimi?
shwain!
ana wivu sana mmewe unajua wivu
pata picha rafiki yangu kwao dar wanaish kigoma but since2009 walivyooana kwao dada karudi mara moja tu
hey! Kwahyo ww bado unamuona mwanamke yuko sahihi na mkosaji n mwanaume?!
Sasa kama kakutwa na message kiburi cha nini? Kwani kujishusha sh ngapi? Angeomba msamaha yaishe...hamna mkate mgumu mbele ya Chai huyo mume angeelewa tu...
Sasa wakitengana ada atalipa nani? Kapewa mkopo au ndo mpango kando?
usemayo ni kweli kabisa tatizo wazazi wa kikeni wanamwambia kaa vp rudi tuu
hao watoto tutalea tuu
kasome asikubabaishe
uache kuvamia watu dogo.Tatizo lako ni kuwa mama ako hajakuambia mimi ni baba ako ndo maana unaongea hivyo,hili ni kosa la mama ako siyo lako,nimekusamehe kwa sababu wewe ni kubwa jinga..
Kwa mujibu wa imani zetu, wao ni mwili mmoja..!
Kama anaweza kulala nae uchi wa mnyama usiku mzima, simu ni kitu gani ili aifiche?
Sioni sababu mtu kuwa na total privacy ya simu kwa mwenza wake ili hali privacy ya uchi wake hana...!
Hapo nimeanza kumuelewa..
Ndoa nyingi zinavunjwa na ndugu na wazazi...
Ndio maana saa nyingine ukijua tabia ya ndugu zako unatakiwa usiwaweke karibu na ndoa yako...
Ingawa kuna ndugu wenye busara pia..
Najua ikija kwenye elimu ndugu wengi huo utakuwa ushauri wao...
Nakumbuka dada yangu alipata chance ya kusoma Ph.D mume wake akawa hataki...wakati yeye pia ni Ph.D holder...
Dada angu akukubali akasema ntasoma tu utake usitake...ila akasema sitaenda soma nje ntasomea hapa hapa ntakuwa na joint registration na chuo cha US ili muda mwingi niwe TZ...
Mumewe akaenda kumshitaki kwa baba...
Baba angu akamsema sana dada yangu kuwa si vizuri kujiamulia mambo bila kupata baraka za mumeo...dada yangu mpaka alilia mbele ya baba siku hiyo...hakuamini...
Baada ya siku moja baba kampigia simu dada yangu anamwambia, 'wewe ulitegemea niseme nini kwa mkwe wangu...acha ujinga nenda shule...yeye mbona msomi'
Kweli dada yangu sasa ana Ph.D na ndoa bado anayo...lakini she was ready for anything kwani alimuona mumewe selfish ...ila na baba nae ndio aliua kabisa...
Afu tukienda kwa baba anatusimulia huku anacheka xxx(shemeji yetu) anachekesha sana; anaogopa mkewe kusoma kwa kuwa watalingana...
uache kuvamia watu dogo.
yani uache kabisa!
hicho kitabu unachokifungua hutafika hat
ukurasa wa tatu!
sawa enh!
narudia pita hiv!
endelea kutoa point uwasaidie wenye mada!
hapa kuna tatizo zaid ya smsUmechakachua point yangu....suala sio kuanza mambo ukubwani bali ni kuanza kukutana na vishawishi ukubwani
lakn hata ww uliniambia unakamtindo ka kupekua...
Au ulikutana na mpasuko wa moyo ukaamua kuacha?