Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..
Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...
Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...
Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...
Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...
sms?
ndo masharti yote hayo?kazi ipo!
Wanaume wanapenda kunyenyekewa sana aisee
nyumba kubwa nimekupenda bureeeInategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..
Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...
Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...
Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...
Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...
aisee!.....hiv,,,...
Mbona unaongea kinyume chake.....ukioa darasa la saba siku akipata nafasi ya kuchangamana na watu tu umekwenda na maji.... Huyo dada alizoea kukaa boarding maana boarding ya diploma hasa ya ualimu haitofautiani sana na ya sekondari....alipoenda chuo akaona watu wanajiachia tu akaanza kujilaumu maskini mimi sijui nlikuwa nazkimbilia nini mimi kwa lile libaba. Lakini angekuwa ameshapita huko angekuwa nyani mzee aliyekwepa mishale mingi wala hakuna kitu kingeweza kumbadilisha.... Samahani nilikuwa najibu tu hii comment ya Mgirik simaanishi huyo dada ndo yuko hivyo
usemayo ni kweli kabisa tatizo wazazi wa kikeni wanamwambia kaa vp rudi tuu
hao watoto tutalea tuu
kasome asikubabaishe
usemayo ni kweli kabisa tatizo wazazi wa kikeni wanamwambia kaa vp rudi tuu
hao watoto tutalea tuu
kasome asikubabaishe
Ndio khabari yenyewe hutaki kukaguliwa simu yako kaa nyumbani uwe msimbe wa kubebwa na kila mtu. Mke hana amri juu ya mwili wake na alivyo navyo isipokuwa mume vivyo vivyo na mume pia . Siwezi mkataza mke asishike simu yangu hata kama nimeharibu nitakuwa mpole kwake na kutubu pia kumuomba ushauri wa jinsi ya kushinda vishawishi hivyo badala la kuficha na kuleta janga la ukimwi ktk familia.
Huwa nawashangaa watu wa aina hii....simu zenu zina nini?
tumshauri ili iweje firauni uyo! limechepuka likanogewa linasahau fadhila za mumewe, ndoa na watoto.. jitu lenyewe papuchi used liache liende kuliwa tigo
Au hiyo SMS ilikuwa inasemaje..........kwanza tujue ndio tushauri...........
umegusa penyew na ndicho anachokiwaza huyo dada....
Haya mambo ya kuonja ukubwan nayo ya kero zake....
Uskute hata habar ya chumvin alikuwa haijui sasa kakutana na katoto ka chuo kamedeki hata choo mmama wa watu akili zmemruka haoni tena umuhim wa mume wake anamuona kama karunguyeye
Ulikuwa hujijui?
usemayo ni kweli kabisa tatizo wazazi wa kikeni wanamwambia kaa vp rudi tuu
hao watoto tutalea tuu
kasome asikubabaishe
Hapo nimeanza kumuelewa..
Ndoa nyingi zinavunjwa na ndugu na wazazi...
Ndio maana saa nyingine ukijua tabia ya ndugu zako unatakiwa usiwaweke karibu na ndoa yako...
Ingawa kuna ndugu wenye busara pia..
Najua ikija kwenye elimu ndugu wengi huo utakuwa ushauri wao...
Nakumbuka dada yangu alipata chance ya kusoma Ph.D mume wake akawa hataki...wakati yeye pia ni Ph.D holder...
Dada angu akukubali akasema ntasoma tu utake usitake...ila akasema sitaenda soma nje ntasomea hapa hapa ntakuwa na joint registration na chuo cha US ili muda mwingi niwe TZ...
Mumewe akaenda kumshitaki kwa baba...
Baba angu akamsema sana dada yangu kuwa si vizuri kujiamulia mambo bila kupata baraka za mumeo...dada yangu mpaka alilia mbele ya baba siku hiyo...hakuamini...
Baada ya siku moja baba kampigia simu dada yangu anamwambia, 'wewe ulitegemea niseme nini kwa mkwe wangu...acha ujinga nenda shule...yeye mbona msomi'
Kweli dada yangu sasa ana Ph.D na ndoa bado anayo...lakini she was ready for anything kwani alimuona mumewe selfish ...ila na baba nae ndio aliua kabisa...
Afu tukienda kwa baba anatusimulia huku anacheka xxx(shemeji yetu) anachekesha sana; anaogopa mkewe kusoma kwa kuwa watalingana...
Mi ningekua huyo jamaa Ningemruhusu aende akasome ila kwa gharama zake tunavunja mahusiano kwa muda mpaka amalize kusoma akirudi tuna che k afya then maisha yanae ndeleausemayo ni kweli kabisa tatizo wazazi wa kikeni wanamwambia kaa vp rudi tuu
hao watoto tutalea tuu
kasome asikubabaishe