Ndoa ngumu jamani

mwambie aende zake asimpe wakati mgumu mwenzake... mtu unasomeshwa unakuwa jeuri
 
huwa nikiskia stori kama hizi ndio nakosa hamu ya kuoa kabiiiisaaa.......!!!
 
Mwanamke mjinga ataibomoa nyumba yake yeye mwenyewe.
 
Uliyeleta uzi huu unaonekana unapenda wake za watu kwa vya bure, starehe gharama, mlipie ada km unampenda na uwe tayari kwa matatizo yote ya kifamilia maana wenzio wanajitahidi kywagharamia, kinachoa hapo ni gharama
 
Jeuri dawa yake ni kiburi.... Mwambie atakula chuya kwa uvivu wa kupembuaa...
 
Uliyeleta uzi huu unaonekana unapenda wake za watu kwa vya bure, starehe gharama, mlipie ada km unampenda na uwe tayari kwa matatizo yote ya kifamilia maana wenzio wanajitahidi kywagharamia, kinachoa hapo ni gharama

mwanamke afu ni rafiki yangu
 
Mwambie km anataka maisha achague mmoja na atulie ndo itakuwa suluhu maana akikaa kwenye mchepuko ataharibu, hebu fikiri ungekuwa ww unagharamia huku unajibana ungejisikiaje?
 
Uliyeleta uzi huu unaonekana unapenda wake za watu kwa vya bure, starehe gharama, mlipie ada km unampenda na uwe tayari kwa matatizo yote ya kifamilia maana wenzio wanajitahidi kywagharamia, kinachoa hapo ni gharama

Aliyeleta uzi ni mwanamke...jifunze kusoma mada yote ewe Ally
 
Uliyeleta uzi huu unaonekana unapenda wake za watu kwa vya bure, starehe gharama, mlipie ada km unampenda na uwe tayari kwa matatizo yote ya kifamilia maana wenzio wanajitahidi kywagharamia, kinachoa hapo ni gharama

hizi bangi hizi mbaya sana aisee?!
Hvi umeelewa maada? Au unaona nyota tu
 
huwa nikiskia stori kama hizi ndio nakosa hamu ya kuoa kabiiiisaaa.......!!!

Wala ht wasikutishe
We differ my frnd!

Huyu mwanamke na ndugu wanaompa kichwa hawana akili
Mi huyu mwanaume angekuwa ndugu yangu ningemwambia apige chini huu ujinga
Halafu wanasema ndoa ngumu kwa ujinga hui!!?
 
Mkuu alimaanisha adv form 5&6
Then kaenda dip ya ualim coz wazazi wake hawakuweza.kumsomesha chuo kikuu ndo nilivyoelewa kuna post kasema...
Ss siv et wazazi wanampa kichwa wanamshauri arudi tu km watt watalea!
Hao wazazi saiz ndo wanaona hyo mwanaume hafai?!I wonder
 
Aende shule na aendelee kuomba msamaha.! awe M kweli na azidishe vitendo vya upendo dakika tano zawezabadili nafsi ya Me.
 
Hapo umenipa mwanga
maana hata huyo shost niliyemzungumzia alikwenda Chuo cha ualimu huku kanda ya kati,
ikawa minazi kila usiku wa Dinner, kurudi ANAO
ndio maana nikasisitiza hivi Vyuo vya utu uzima wakikutana na watoto wageni walio kwenye Ndoa changa huwa zinavunjika
kwani huwa wanaona hiyo miti ya kucharazwa hewani ni ya maana kuliko kulea Ndoa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…