TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,214
- 13,058
Naamini hivyo.
I am very proud to be who l am. (To be a woman)
Kwa nini unaamini?
Hujathibitisha au hujathibitishiwa?
Naamini hivyo.
I am very proud to be who l am. (To be a woman)
Kwa nini unaamini?
Hujathibitisha au hujathibitishiwa?
^^
Awe mwanaume au Mwanamke, hapa tumeletewa endresult ya maamuzi yake, na hoja yangu hapa ni kuwa, SHANGILIENI maana mmepata mfano wa kuepuka humiliation za maneno na matendo ya wanaume
^^
Nimethibitishwa na TBS....
Unatoka nje ya mada kuniuliza mie tu...
Nami napinga hoja yako ya KUSHANGILIA kwani unyanyasaji tunaopigia kelele ndio huu uliofanyika kwa wanandoa hao, ni kitendo kile kile ila jinsia tofauti.
Si haki ya mwanamke kumtorture mwanaume na ni kosa kisheria ndio maana amekimbia.
Tushangilie vipi wakati hii ni sawa na kusupport vita vya wanandoa!!!!
Tbs walitumia vigezo gani kuthibitisha?
Je uliwahi kufikiria kuthibitishwa na ISO ambayo mimi ni mwakilishi wake hapa nchini?
Ivi TANMO... mbona watoka nje ya mada plssssss.....
Mie sithibitishwi na wewe etiiii...
^^
Tangu zama mwanamke ndiye amekuwa akionewa na mwanaume, na jamii iliwajengea hofu wanawake wasijitetee, lakini sasa mambo ni mteremko, wanaweza kujitetea ili kuondoa mfumo dume! Here one has made it !!
Can't you celebrate? Eti miss chagga
^^
Ok.
Back to topic: No comment.........
Well, kuna njia za kujikomboa, ila si kama hii aliyotumia yeye...
Hili ni kosa...
Hapo kwenye red unawea kutupa takwimu kati ya wanaume na wanawake ni kundi gani inayoongoza kuuwa mwenzake? Vitendo vyote hivyo vya ukatili sio nzuri kwa kila mtu.^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
^^
Ni kwa nini, anapofanya mwanaume kama aliyofanya huyu mwanamke, mnalalama sana kwamba wanawake hawana makosa?
^^
Hapo kwenye red unawea kutupa takwimu kati ya wanaume na wanawake ni kundi gani inayoongoza kuuwa mwenzake? Vitendo vyote hivyo vya ukatili sio nzuri kwa kila mtu.
To me, sisupport either kwa mwanaume au mwanamke ila kinachokufanya wewe ukaona kua wanawake tunakemea sana unyanyasaji wa wanawake ni kwasababu VITENDO VINGI VYA UNYANYASAJI WA WANAWAKE HUFANYWA NA WANAUME na NI WANAWAKE WACHACHE SANA HUFANYA UNYANTASAJI KWA WANAUME.
^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
^^
Haya wanawake shangilieni, mwenzenu kafanya mpendayo
^^
mimi sijapenda na siwezi kufurahia ukatili wowote unaofanywa kwa mwanaume/mwanamke/mtoto. umenikosea sana na umeniudhi kuniita nije kutoa pongezi utafikiri mimi ni mtetezi wa maovu.
^^
Nakubali wanaume ni wengi, hilo halina ubishi,, sasa kwa wanawake wachache waliojiwezesha wakaweza kufanya aliyofanya mwenzenu hapo juu, kwa nini msifurahi?
^^
Kwa hiyo wanawake tushangilie kwa kipi hapo mkuu??
Yani binadamu mwenzako akipata matatizo unamshangilia?
Umenisikitisha sana