Ndoa ndoano

Ndoa ndoano

^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
heeeee inatishaa....siwezi mtendea mahabuba wangu hvo jmn dahh...tujifunze kusamehe,bora umpotezee tu mtu kuliko hivi
 
^^
Kila kusudio linapofanikiwa ipo haja ya kupongeza aliyekusudia... Sifanyi kazi ofisi ya takwimu bila shaka ningekupa,, hoja yangu ni kuwa matunda ya michango ya wanawake jukwaani hapa (pole kama we mgeni wa jukwaa hili) yamezaa matunda. Ombi langu waje wafurahie
^^

Mie sio mgeni ktk safu unavyodhani.Pili sioni jambo la kuwafanya wanawake wafurahie, hapo ni kuwakejeli tu.
 
nilijua tu lazima unitajetaje kwani usiponitaja huoni raha
nilikuwa machimbo mererani sasa nimecome back
ngoja nisiseme kitu hapa waje wengine waongee
kwani mm nina vidonda nikianza kujitonesha itakuwa :tape:
^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
 
mmhhh kila mmoja atetea upande wake all in all roho mbaya inategemea!
 
nilijua tu lazima unitajetaje kwani usiponitaja huoni raha
nilikuwa machimbo mererani sasa nimecome back
ngoja nisiseme kitu hapa waje wengine waongee
kwani mm nina vidonda nikianza kujitonesha itakuwa :tape:

^^
Huna jema!
Utajwa tatizo, Usitajwe tatizo,, wakati wa raha mnapenda kuitwa nyakati zinazohitaji hekima zenu mnakwepa!! Nani kinara wa kutetea haki za wanawake jf kuliko wewe?
Women learn to be yourselves
^^
 
^^
Awe mwanaume au Mwanamke, hapa tumeletewa endresult ya maamuzi yake, na hoja yangu hapa ni kuwa, SHANGILIENI maana mmepata mfano wa kuepuka humiliation za maneno na matendo ya wanaume
^^
Hamna cha kushangilia hapa, kunyanyasika hakutakiwi iwe mwanaume au mwanamke. Ukishangilia hapa lazima uwe na tatizo la akili.
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu kisa tamaa ya mali. Sasa yeye huyo mwanamke alifikiri kuolewa na huyo bwana ndio kupata nyumba na mengineyo. Halafu kuna mtu ana kesi ya aina hii ya kudai mali yaani nyumba bila kuangalia watoto aliowakuta kwenye nyumba hiyo. Wapo wanawake wakatili na wanaume katili, achukuliwe hatua za kisheria kwa unyama huu. Wanawake tujifunze kutafuta vyetu na si kudandia tulivyovikuta hata kama ni haki yetu tuidai kistaarabu si kwa mtindo huu.
 
^^
Tatizo ni kuwa natumia simu,, hoja yangu ni kuwa wanawake humu jukwaani wamekuwa wakiona kuwa wanaume pekee ndio viumbe katili na wao ni viumbe wema! Nenda kwenye mada alizowahi kuanzisha Ablessed kuna mada ya issue ya Bi Rehema
utajua nalozungumza
^^
Mkuu Himidini kuna nini hapa mbona sielewi elewi. Nimeisoma mada na kuona ukatili huu aliofanya mwanamama huyo kwa mumewe. Hata tukikwepa lkn huu utabaki kuwa ukatili na tunaposema mfumo dume haina maana kwamba wanawake wote wako safi hapana. Wapo wanawake wenye akili kama hizi na wapo wastaarabu vivyo hivyo wapo wanaume wastaarabu kama mume wangu na wapo wanaume wakorofi na watesaji kama wa kwenye ile mada niliyoipost mwaka jana . Huo wote ni ukatili na si vizuri kuufumbia macho kwa sababu zozote.
 
Last edited by a moderator:
^^
Nakubali wanaume ni wengi, hilo halina ubishi,, sasa kwa wanawake wachache waliojiwezesha wakaweza kufanya aliyofanya mwenzenu hapo juu, kwa nini msifurahi?
^^

Nadhani wewe ndiye mkatili uliyefurahia mwanaume mwenzio kumwagiwa mafuta ya moto!
Shangilia mwenyewe sasa!
Usipotoshe mada eti kujifanya wanawake tunafurahia vitendo vya kikatili! Ungeacha tutoe michango yetu ndipo utu judge!
Otherwise nakuona mwanaume flani uliyejawa na inferiority complex na mwenye kupenda kushindana na wanawake badala ya kutafuta hela!
 
Mie sio mgeni ktk safu unavyodhani.Pili sioni jambo la kuwafanya wanawake wafurahie, hapo ni kuwakejeli tu.

Exactly! Ana shida kwenye ubongo si bure! Muulize kasikia au kuona wapi wanawake wakifurahia mwanadamu wa jinsia yoyote kufanyiwa ukatili kama si chuki zake binafsi dhidi ya wanawake!
Ukiwa huna hela wanawake utawaona wabaya siku zote! Trust me! Tena wale unaowatamani halafu wakukatae lol.... lazima nyongo imwagike!
 
Nimesikitishwa sana na ukatili huu! Huyu mwanamke ni mnyama kupita wanyama wenyewe! Mungu amsaidie baba wa watu apate afya!
Nalaani kitendo hicho na vingine vyovyote vinavyofanywa ,na mtu yoyote kwa kisingizio cha kudai haki! Hata kujilipua na kuua watu wengine ni Ukatili!
 
Nadhani wewe ndiye mkatili uliyefurahia mwanaume mwenzio kumwagiwa mafuta ya moto!
Shangilia mwenyewe sasa!
Usipotoshe mada eti kujifanya wanawake tunafurahia vitendo vya kikatili! Ungeacha tutoe michango yetu ndipo utu judge!
Otherwise nakuona mwanaume flani uliyejawa na inferiority complex na mwenye kupenda kushindana na wanawake badala ya kutafuta hela!

^^
Don't be my opinion!
A man who has accrossed a river of mud, has learned to be curious to avoid stucking !!
^^
 
Haya wanaume jaman muamke, muanzishe mtandao wenu wa kulinda haki za wanaume,maana huku tunapoelekea pabaya, so sad,mambo ya jino kwa jino!pole mwalimu
 
Disappointments in life are supposed to make us smarter and stronger and not bitter and judgmental.

Kama kila mtu angekuwa hivi akipitia mapito basi maisha yangekuwa magumu sana.
Hebu fikiria idadi ya matukio ya kikatili yanayofanyika huko Mara kwa mfano. Unafikiri kuna watu wangetaka kuchangamana nao kama kila mtu angeamua kuogopa na kunyoshea vidole kiasi hiki?

Usichukulie vitu namna hiyo.
Sawa wanawake huwa tunaongea sana na kulaumu. Its probably our nature to do so. Ila hatuwezi kusherekea hivi vitendo mkuu.
Mwanamke mmoja akifanya kitendo cha kikatili basi anawakilisha nia za wanawake wengine? Ingekuwa tunadai haki zetu kwa namna hiyo mngepona kweli? Naomba uwe na amani kabisa.
Women are not as evil as you choose to believe.
I hope you find peace in your heart kwa kweli.
 
naona una lako jambo
nikusamehe bure,

:shocked::shocked::shocked:

kumbe unafahamu kuwa
mm ni mwalimu wa wanawake mjengoni hapa.


^^
Huna jema!
Utajwa tatizo, Usitajwe tatizo,, wakati wa raha mnapenda kuitwa nyakati zinazohitaji hekima zenu mnakwepa!! Nani kinara wa kutetea haki za wanawake jf kuliko wewe?
Women learn to be yourselves
^^
 
^^
Tangu zama mwanamke ndiye amekuwa akionewa na mwanaume, na jamii iliwajengea hofu wanawake wasijitetee, lakini sasa mambo ni mteremko, wanaweza kujitetea ili kuondoa mfumo dume! Here one has made it !!
Can't you celebrate? Eti miss chagga
^^
i will celebrate if u have a lot of money and some assets and business have ma name .... i will celebrate sana aisee... lakini kama unanjaa kali i will not
 
Back
Top Bottom