Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
sio kila kitu ni chakushangilia mtu kama kaenda kinyume hakuna atakaempa sapoti hata awe miongoni mwetu Himidini
Last edited by a moderator: