Mwanamke mmoja amegusa nyoyo za watu baada ya kuonyesha uvumilivu na mapenzi ya dhati kwa kumsubiri mpenzi wake kwa muda wa miaka miwili hadi walipokutana tena nchini Macedonia.
Wawili hao walitengana baada ya mwanaume huyo kuhukumiwa kifungo cha gerezani. Baada ya kumaliza kifungo chake, wawili hao walikutana tena, huku furaha ikitawala baada ya kuwa mbali kwa muda mrefu.
Tukio hilo limezua hisia mbalimbali mitandaoni, ambapo wanamtandao wamempongeza mwanamke huyo kwa uvumilivu, upendo na kujali alikomuonyesha mpenzi wake licha ya changamoto walizopitia.